Leo wajanja wengi mitandaoni wamekiri ni bora kuoa bikira. Lile pango limewatisha

Status
Not open for further replies.
Jamii zote mpaka wazungu unaowahusudu wapo wenye mtazamo wa kuoa wanawake bikira.
Dini karibu zote kubwa zinataka watu waoe wanawake wakiwa bikira.

Usitake kuzifanya jamii za afrika zionekane hamnazo.
Hakuna kitu kama hicho labda waarabu na waislam na sio wote, civilized society nyingi watakushangaa ukiongea hayo
 
Mabroo tunaposema muoe bikira mjue tunawatakia mema.

Eti ana degree tutasaidiana maisha, sawa mwanetu
​
bikra kwanza hana experience ya mapenzi.Ukioa bikra n taabu tele maana ukivumnja hiv ataanza kuchepuka maana atatakakutesti ladha ya madude.Ila ambaye hana bikra anaexperience ya mapenz pamoja na maisha.
 
Unataka malaya sio?
Jamaa wewe una hoja za kipimbi sana! Kuna jamaa yangu naye alikuwa anatambia watu bikira, kunbe kibinti ili kulinda bikira kilikuwa kinafumuliwa tigo! Mama weeeeee hilo pango sasa ni hatari! Kama umeoa bikira kamchunguze tigo!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…