Ni sawa hata mimi kwa mara ya kwanza demu aliyenifungulia dunia nione yaliyomo yeye alishakua mkongwe kwenye tasnia ila mi ndo ilikua mara ya kwanza, sema sasa ukisema mwanaume anazinduliwa kuna namna kama haijakaa powa hivi....tumia msamiati mwingine.Utakapoanza kwa mara ya kwanza kama wewe ni mwanaume wakati mwanamke ni mzoefu utakuwa unazinduliwa, mkiwa mnaanza wote kwa mara ya kwanza mtakuwa mnazinduana.
Kuzinduliwa ni kuzinduliwa tu, ulizinduliwa maisha yanaendelea.Ni sawa hata mimi kwa mara ya kwanza demu aliyenifungulia dunia nione yaliyomo yeye alishakua mkongwe kwenye tasnia, sema sasa ukisema mwanaume anazinduliwa kuna namna kama haijakaa powa hivi....tumia msamiati mwingine.
Hii ni hoja nyepesi sana(kama sio ya kipumbavu) ambayo huwa inajitokeza mara kwa mara kwenye mijadala ya bikira. Waumini wa hiyo hoja mnatakiwa kuelewa kitu rahisi kabisa. Kwenye mahusiano wajibu na matarajio kijinsia ni tofauti, hivyo basi mwanaume na mwanamke hawahukumiwi kwa vigezo vinavyofanana.Kwani na nyie wanaume mnaoa mkiwa bikra au used??
Inasikitisha sana ,kama yupo UDSM ni SHimo La tewa ,mpaka akija kuolewa inakuwa STRAIT OF HORMUZ.Kuna mrembo wa UDSM katuunganisha Watanzania
Kasura kazuri ila sasa huko chini handaki
Ni vizuri ungesema kwa Tanzagiza au Africa ukiiondoa Africa Kusini.Kwenye mahusiano wajibu na matarajio kijinsia ni tofauti, hivyo basi mwanaume na mwanamke hawahukumiwi kwa vigezo vinavyofanana.
Vigezo vinavyomuhukumu mwanaume ni finance/provision and stability. Vigezo vinavyomuhukumu mwanamke ni purity /virgin and loyalty.
Mwanaume hata akiwa na maex wengi akiamua kuoa past yake haitamchafulia CV, lakini kwa mwanamke oast kama hiyo ni kipengere kinachoweza kumkosesha ndoa. Mwanamke hata akiwa masikini asiye na hela hata ya kujinunulia pedi anaweza kuingia ndoani na kupewa mahitaji yake na mwanaume, lakini mwanaume masikini hawezi kuoa.
Ukitaka mwanaume na mwanamke wawe uniform, wanaume nao watahoji kipengere cha finance/provision. Katika dunia ambayo mwanaume na mwanamke wamepewa fursa sawa kwenye kila kitu kwanini mwanaume abebe mzigo wa kumuhudumia mwanamke. Kila mmoja ajihudumie mwenyewe. Wanawake watakua tayari kukubali hilo takwa na kuachana kabisa na mentalityya entitlement kwenye hela na mali za mwanaume ambazo hawajashiriki kuzitafuta? Bila shaka jibu ni hapana
Nimefanya rejea ya standards zetu waafrika. Sijajichanganya sana na watu wa mabara mengine kwaiyo sijui kwa undani kuhusu standards zao kwenye suala la mahusiano/ndoaNi vizuri ungesema kwa Tanzagiza au Africa ukiiondoa Africa Kusini.
uko kwa wenzetu kukoje?Ni vizuri ungesema kwa Tanzagiza au Africa ukiiondoa Africa Kusini.
Kumbe jamaa ni supporter wa upinde.!Huyo kijana mwanzoni nilikuwa namuona smart hasa akipigania mambo sijui ya Uhuru
Lakini niligundua ni wale wenye matatizo makubwa ya Uhuru wa kijinga uliopitiliza.
Fikiria kijana asiyeona ubaya wa ushoga.
Ataonaje ubaya WA kuoa mwanamke asiye na bikra.
Ni tofauti kabisa, huko nje duniani ulimwengu wa kwanza hakuna anayejali kusaka bikira, hata hapo bondeni tu kwa Madiba walishavuka huu ujima. Pia hata hapa Tanzagiza kuna tofauti kubwa kati ya Pwani na wachunga kwa ng'ombe wa bara kwenye visa vingi sana vya mauaji ya wenza, Pwani wanaume wanaoa tu bila kujali bikira.uko kwa wenzetu kukoje?
Ninaona ubaya wa Usabato kupunguza soko la kitimoto na Kambale ila siwezi kushadadia au kutokwa povu Usabato uzuiwe/upigwe ban Tanzania.Huyo kijana mwanzoni nilikuwa namuona smart hasa akipigania mambo sijui ya Uhuru
Lakini niligundua ni wale wenye matatizo makubwa ya Uhuru wa kijinga uliopitiliza.
Fikiria kijana asiyeona ubaya wa ushoga.
Ataonaje ubaya WA kuoa mwanamke asiye na bikra.
Hizo ni faraja tu huwa wanawake wanatoa kukupa moyo ukipiga show mbovu. Mwanamke aliekunwa kisawa sawa hawezi kusema hayo hapo hapo. Labda aseme siku nyingine kabisa lakini sio hapo hapo baada ya tendo tuNa Sisi tumegundua njia, ni kuwafuatlia tu hao wake wanaosemwa waliolewa wakiwa bikira. Ukimpata unapiga show ambazo hajakutana nazo! Nilimbahatisha maza mmoja, mpaka akabaki anashangaa kwamba kumbe naye ni mwanamke? Maana kwenye ndoa yake hajawahi kufika Mawenzi na Kibo! Alikuwa analia kama sungura kila akifika kwenye kilele!
handaki au nyie mna vibamia?Kuna mrembo wa UDSM katuunganisha Watanzania
Kasura kazuri ila sasa huko chini handaki
Huna uzoefu, inaonekana na wewe ulitunza bikira yako!Hizo ni faraja tu huwa wanawake wanatoa kukupa moyo ukipiga show mbovu. Mwanamke aliekunwa kisawa sawa hawezi kusema hayo hapo hapo. Labda aseme siku nyingine kabisa lakini sio hapo hapo baada ya tendo tu
Nimefanya kazi miaka mingi sana kwenye miradi ya HIV pamoja issues za GBV. Ushuhuda tulioupata huko ni kama huo unyanyapaa wa mwenye bikira na asiye na bikira. Ikafika mahali kwenye jamii zilizokuwa zinasisitiza mke lazima awe bikira mabinti wakawa wanatoa nyuma ili wasiharibiwe bikira zao. Hivi asilimia kubwa ya wanaooa bikira siku hizi ama amebaki nayo baada ya kuingiliwa nyuma au anayo ile fake! Mianaume ya siku hizi hata haijui hizo ghost virgin zipo! Kazi kweli kweli! Tuhitimishe kwamba uke ni uke tu!Mnavyozing'ang'ania hizo bikra utadhani za kwenu! Bikra bikra bikra khaaah!!
Kama vipi muwe mnaweka booking tangu watoto wakiwa tumboni ili muwakuze mje kuwabikiri vizuri! Or else mnatuchosha tu!
Haiwezekani mtu aishi maisha yake huko we uje ukutane nae ukubwani ulazimishe awe bikra! Kalagabhahooo!!