Leo wajanja wengi mitandaoni wamekiri ni bora kuoa bikira. Lile pango limewatisha

Status
Not open for further replies.
Kataa ndoa ni taasisi imara, haipokei wajinga wasio jielewa.

Yaani soda upewe mpya, sahani ununue mpya, halafu arghh wapi
 
Umasikini na ujima tu unawasumbua na kuwasababishia inferiority complex, Bilionea wa $ Tiger Woods sasa hivi yuko na Vanessa Trump mwenye watoto wawili wa DJT Jr. makapuku mko Tandahimba, Tanzagiza mnahangaika kusaka bikira😁
 
Tukiwa tuna ongea usipende kutoa mifano isiyo na reference katika maisha ya mtu mweusi,.

Historia ya mtu mweusi ikoje katika masuala ya ndoa?, au tiger woods ndio ancestors wako huko kolomije?
 
Ni wewe bwashee , bikra kwangu ni usumbufu tu haina faida yoyote kwangu ,na binafsi sivutiwi na watoto wadogo ambao hata kufua kufuli ni shida

Usumbufu wa Siku moja ukizindua mgodi kwa mwanamke atakayeitwa mkeo na mama watoto wako kwetu watibeli haidhuru.

Katika vitu Watibeli hatuvumilii ni usumbufu kwa mwanamke ambaye sio bikira. Yaani mwanamke bikra Hana alafu akusumbue😂😂

Kuna vijamaa vinateswa Sana. Unabaki kumuuliza huyo demu anayekupelekesha ulimjyta bikra anasema hamna. Unaishia kumdharau tuu Mshikaji.

Demu hujamkuta bikra. Kuna wakulungwa kibao wamepita.
Demu uzuri wenyewe mpaka ajipodoe
Umbo mpaka avae kimini😂
Sura kama lenzi mbinuko
Pesa hana
KAZI hana
Anakupelekesha. Yaani 😅😅

Ndipo unagundua Mfalme huwaga ni mmoja kati ya maelfu ya watu.

Wewe uliwahi kuona watoa bikra wakipelekeshwa na wanawake au mapenzi?
 
Tukiwa tuna ongea usipende kutoa mifano isiyo na reference katika maisha ya mtu mweusi,.

Historia ya mtu mweusi ikoje katika masuala ya ndoa?, au tiger woods ndio ancestors wako huko kolomije?
Majizo kamuoa Lulu,
Gigy money kaolewa na ustadh.
Aziz K kamuoa Hamisa
Mandela alimuoa Graca Machel
Unataka niendelee kukupa mifano dogo au inatosha?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…