Leta experience yako kwenye haya mambo( pain ya kuliwa naul na demu, Raha ya kula nauli ya me na inawezekanaje watu wanaendelea kutuma nauli?)

Wakishajiona wana chura wanaona wanayo haki ya kula bwerere pesa ya kila mwanaume........hawa viumbe ni shida sana, mwingine anakukomalia umsaidie pesa wakati hataki kutoa ushirikiano wa kuliwa.
 
Issue isipokufaa kaaa kimyah tu....wapo watu wa KILA aina kuna mtu anapoteza Mda(burudani),kuna mtu anaelimika,kuna mtu analeta chai yaani usianze kuleta real life hapa KWA kuponda mleta uzi kama haukufai pita vile nyuzi zipo nyiiingi ........
Ungetaka kumuelimisha ungetumia lugha njema sio kuponda tu na kutumia lugha mbaya ..
NB;Ukielewa maana ya maturity hutakuwa unasumbuka na watu maishani au hapa JF
 
Mimi binafsi nilishwah kuliwa nauli 10k na precious, japo nikampat mbelen ila the moment nauli ililiw iliniuma mno. Toka apo sijawahi tuma Tena Kwa yyote.
[emoji3]
Umenikumbusha Mbali nilishawahi liwa nauli na pisi mbili tu tofauti, kiukweli iliniuma sn ile moment baada ya kugundua nmepgwa changa la macho mkuu

Tangu pale haijawah ntokea tena maana nipo makini kinoma na Hv viumbe vinavyobleed kila mwez
 
Nauli yangu hailiwi bure.. Lazima nikuroge! Nimewaroga sana halafu nimewarogea gundu la kimavi
[emoji3]
Naomba hyo formula mkuu mshana, nahc dawa yao iliyobaki kwa nyakat hz ndio hyo tu
 
Huyo mwehu unatakiwa umtafute mkuu ajae kweny 18 umfundshe adabu
 
Hiyo ya U-Fresh aache kupiga kelele
Siku akiliwa million ndo alete makelele tumsikilize [emoji12]
Sometime sio suala la hela muda unathamani sana unajua unakuta mtu anavunja ratiba zake muhimu sana kwaajili yako hivi Hilo mnakuaga mnaliangalia?
 
Yani anazima simu siku 3 kisa amekula 20k
Hiyo simu naamini ni kwa ajili ya kula nauli tu , na huyo ni demu ni jobless
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…