Sasa hao mafamba wanakataa nini au maeneo ya starehe wanajifanya hawayajui na jinsi wanawake wanavyojiweka kwa ajili ya kustarehesha wanaume? What's this?Manake sisi wenyewe tukita kufanya starehe tunaenda maeneo yenye wanawake wazuri ili kusudi tukishakunywa bia tunachagua chombo kimoko kwa ajili ya starehe.
Hata wenyewe wanajua.
Mr or Mrs? What's this?Nice
That's what you mean? And that is what they mean, to entertain you man nothing elseUmesema vyema mkuu 🤣🤣🤣
Jiulize kwa nini wanawake wanatutega wanaacha mapaja, matiti, wanavaa nusu uchi
Kwa sababu wanajua wana utamu au starehe ambayo wanaume tunaitaka
Tukinasa wanaenda kutustarehesha
Kimekuuma Nini wewe alichokuandikia Oscar kikakuhusu kiundani? What's this? Usikunje nditaNashangaa wapo wanaomtetea Oscar Oscar humu ndani, yule ni limbukeni wa mitandao aliyeamua kutafuta followers kwa njia yoyote, ana mambo ya kishamba sana sometimes, bora LHRC wameliona hilo watusaidie kumshusha wenge yule chizi.
Oooooh Lord!Naunga mkono hoja, ukikutana na mtamu unaweza toa urithi🤣🤣
Ndio mnasemaga hivyo huku mnazungusha macho mkiwa mnastarehesha, what's this?Oooooh Lord!
Wanawake waanze kujiheshimu kwanza kabla ya kuheshimiwa.Wapo sahihi, jamaa anadharirisha sana wanawake kwa maandishi yake. Bora vampire [emoji419] [emoji625] [emoji3470] hivyo hivyo.
Mpiganaji ulingoni huchagua sehemu za kupiga, LHRC wamechagua kupiga kwa Osca wakati kila nyimbo mpya ya msanii inadhalilisha mwanamke na hayo mavazi yao sasa.Mbona siwaoni hao wakikemea kauli chafu za matusi toka kwa;
a)wanasiasa
b) Wanamuziki..
Hivi hawa walishawahi kutoa tamko,Lisu alipwe fidia kwa kusababishiwa uremavu na CCM!?Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimekemea Vitendo vya Udhalilishaji vinavyofanywa na Mwanahabari Oscar Oscar kupitia habari picha za mzaha (Memes) anazozisambaza Mitandaoni....
Mkubwa wa hizi kazi acha HIO kuna hii mpya mpya kabisa kwenye maganda yake siku hizi mida ya JIONI Jioni wanapita na nguo transparent yaan juu transparent Chini transparent chupi unaiiona ileeee na huku JUU kila kitu mambo hadharani ukikutana nao unashtuka kwanza huyu kajisahau au kajisahaulisha? What's this?Wanawake waanze kujiheshimu kwanza kabla ya kuheshimiwa.
Enzi za nyuma hatukuwa hivi kama sasa ambapo hatuwezi kutofautisha nguovya ndani na nguo ya nje zinazovaliwa na hawa wanawake...
Sasa wakianza kufuatilia maudhui ya mtu mmoja mmoja kaposti nini kuhusu nini halafu wanukuu mikataba ya Kimataifa hapo kuna kesi kweli?Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimekemea Vitendo vya Udhalilishaji vinavyofanywa na Mwanahabari Oscar Oscar kupitia habari picha za mzaha (Memes) anazozisambaza Mitandaoni....
Wanatoa tamko kwa Mambo yasiyo na manufaa kwako Ila sijui hata km yana manufaa kwao pia maana wanapingana na ukweli uliowazi, waanze kupita huku manjiani wawavalishe nguo hawa watu wao wanaowatetea maana wanajiweka maalumu kwa ajili ya kustarehesha watu, copy that?Hivi hawa walishawahi kutoa tamko,Lisu alipwe fidia kwa kusababishiwa uremavu na CCM!?
NDIO ni Null and Void ab initioBila ushahidi wa meme hata moja usi huu ni batili