Lethergo
JF-Expert Member
- Aug 7, 2023
- 6,534
- 11,421
Sasa hao mafamba wanakataa nini au maeneo ya starehe wanajifanya hawayajui na jinsi wanawake wanavyojiweka kwa ajili ya kustarehesha wanaume? What's this?Manake sisi wenyewe tukita kufanya starehe tunaenda maeneo yenye wanawake wazuri ili kusudi tukishakunywa bia tunachagua chombo kimoko kwa ajili ya starehe.
Hata wenyewe wanajua.