LHRC yamuonya Oscar Oscar kwa Vitendo vya Udhalilishaji dhidi Wanawake

LHRC yamuonya Oscar Oscar kwa Vitendo vya Udhalilishaji dhidi Wanawake

Manake sisi wenyewe tukita kufanya starehe tunaenda maeneo yenye wanawake wazuri ili kusudi tukishakunywa bia tunachagua chombo kimoko kwa ajili ya starehe.
Hata wenyewe wanajua.
Sasa hao mafamba wanakataa nini au maeneo ya starehe wanajifanya hawayajui na jinsi wanawake wanavyojiweka kwa ajili ya kustarehesha wanaume? What's this?
 
Umesema vyema mkuu 🤣🤣🤣

Jiulize kwa nini wanawake wanatutega wanaacha mapaja, matiti, wanavaa nusu uchi

Kwa sababu wanajua wana utamu au starehe ambayo wanaume tunaitaka

Tukinasa wanaenda kutustarehesha
That's what you mean? And that is what they mean, to entertain you man nothing else

Pardon my French
 
Nashangaa wapo wanaomtetea Oscar Oscar humu ndani, yule ni limbukeni wa mitandao aliyeamua kutafuta followers kwa njia yoyote, ana mambo ya kishamba sana sometimes, bora LHRC wameliona hilo watusaidie kumshusha wenge yule chizi.
Kimekuuma Nini wewe alichokuandikia Oscar kikakuhusu kiundani? What's this? Usikunje ndita
 
Serikali ikidhalilisha utu wakiambiwa wafatilie wao wanalala mbele

Endapo Wanajali hilo ,imekuwaje yule nesi mirembe mpaka Amekutana na lisu ndo tujue
 
Wapo sahihi, jamaa anadharirisha sana wanawake kwa maandishi yake. Bora vampire [emoji419] [emoji625] [emoji3470] hivyo hivyo.
Wanawake waanze kujiheshimu kwanza kabla ya kuheshimiwa.

Enzi za nyuma hatukuwa hivi kama sasa ambapo hatuwezi kutofautisha nguovya ndani na nguo ya nje zinazovaliwa na hawa wanawake.

Juzi J3 niliona aibu mwenyewe baada ya kumpita mwanamke aliyevalia gauni liloishia magotini, halafu bahati mbaya akawa amebeba mkoba mkubwa begani bila kujua kuwa mkoba umeibana gauni na kuivuta juu wakati anauvaa huo mkoba hadi tight ikawa inaonekana kwa nyuma.

Mimi nilikuwa natembea zangu kwa mwendo wa haraka kama kawaida yangu ndipo mbele nikamfikia huyo mwanamke aliyekuwa anatembea kwenye uelekeo ule niliokuwa naenda.

Tulikuwa wanaume wawili tukiwa kila mtu anaenda uelekeo ule ambapo tulimfikia huyo mwanamke na kuona vile.

Mimi nilikuwa wa pili kuona vile baada ya yule jamaa wa kwanza kumfikia na kuona, nilifikiri labda jamaa angemtonya ili arekebishe gauni lakini akawa hajafanya hivyo. Mimi nikataka nimwambie ila nikasita na kuamua kutembea fast ili nimpite kwani nilifikiria jinsi ambavyo angepokea hicho kitendo maana tayari kwa mbele kulikuwa na kijiwe cha Bajaj na wauza matunda wakiwa wamekaa pembeni mwa barabara.

Niliwahi kusema hivi kipindi cha nyuma Hili suala la wanawake kuvaa nguo fupi halafu wakianza kutembea/kukaa wanapata tabu, mnakera sana

Pia kuhusu Oscar Oscar sidhani kama ni yeye pekee anayeandika hizo memes, hivi vitu vimejaa mitandaoni. Labda tuseme kuwa haovwa mitandaoni ambao ni vigumu kuwatambua inakuwa sio rahisi kuwawajibisha na wakaona bora wamuangushie msala huyu ambaye wanamjua.
 
Mbona siwaoni hao wakikemea kauli chafu za matusi toka kwa;
a)wanasiasa
b) Wanamuziki..
Mpiganaji ulingoni huchagua sehemu za kupiga, LHRC wamechagua kupiga kwa Osca wakati kila nyimbo mpya ya msanii inadhalilisha mwanamke na hayo mavazi yao sasa.
 
Wanawake waanze kujiheshimu kwanza kabla ya kuheshimiwa.

Enzi za nyuma hatukuwa hivi kama sasa ambapo hatuwezi kutofautisha nguovya ndani na nguo ya nje zinazovaliwa na hawa wanawake...
Mkubwa wa hizi kazi acha HIO kuna hii mpya mpya kabisa kwenye maganda yake siku hizi mida ya JIONI Jioni wanapita na nguo transparent yaan juu transparent Chini transparent chupi unaiiona ileeee na huku JUU kila kitu mambo hadharani ukikutana nao unashtuka kwanza huyu kajisahau au kajisahaulisha? What's this?
 
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimekemea Vitendo vya Udhalilishaji vinavyofanywa na Mwanahabari Oscar Oscar kupitia habari picha za mzaha (Memes) anazozisambaza Mitandaoni....
Sasa wakianza kufuatilia maudhui ya mtu mmoja mmoja kaposti nini kuhusu nini halafu wanukuu mikataba ya Kimataifa hapo kuna kesi kweli?
 
Hivi hawa walishawahi kutoa tamko,Lisu alipwe fidia kwa kusababishiwa uremavu na CCM!?
Wanatoa tamko kwa Mambo yasiyo na manufaa kwako Ila sijui hata km yana manufaa kwao pia maana wanapingana na ukweli uliowazi, waanze kupita huku manjiani wawavalishe nguo hawa watu wao wanaowatetea maana wanajiweka maalumu kwa ajili ya kustarehesha watu, copy that?
 
Back
Top Bottom