Licha ya kuambiwa chuo kuna watoto wakali. Lakini kuna Watu walimaliza chuo bila kupata demu yeyote

2010-2014 kuna wimbi kubwa la *WATOTO WA SALMA walijiunga chuo fulani.

Kwa udadisi wangu na uoga nikahisi kila ninayekutana naye ni miongoni mwa hao mabinti.

Kingine masomo yangu yalikuwa magumu sana.

By the way mapenzi ya chuo hutegemea boom ambapo mkimaliza masomo mwanaume anakuwa na hali ngumu huku binti akiwa huru kufanya mahusiano mapya na kumuacha yule wa chuo.

Kwa hiyo sikutaka kuwa na mahusiano ya aina hii.

So miaka minne yote sikupata demu chuo.

Na bado ninadhani nilifanya uamuzi sahihi sana.
Hao wa kuwahonga mlikua mnawatoa wapi aisee, yaani uhonge hadi unaishiwa kabisa.
 
2010-2014 kuna wimbi kubwa la *WATOTO WA SALMA walijiunga chuo fulani.

Kwa udadisi wangu na uoga nikahisi kila ninayekutana naye ni miongoni mwa hao mabinti.

Kingine masomo yangu yalikuwa magumu sana.

By the way mapenzi ya chuo hutegemea boom ambapo mkimaliza masomo mwanaume anakuwa na hali ngumu huku binti akiwa huru kufanya mahusiano mapya na kumuacha yule wa chuo.

Kwa hiyo sikutaka kuwa na mahusiano ya aina hii.

So miaka minne yote sikupata demu chuo.

Na bado ninadhani nilifanya uamuzi sahihi sana.
Mim udsm 2009-2013 Coet
Mademu wa3 ud
Dem1 udom
Dem1 chuo cha magogon posta pale
 
Kwema Wakuu!

Wakati tunakua moja ya mambo yaliyotupa hamasa ya kusoma mpaka kufika chuo ni stori za kuwa chuo kuna watoto wazuri alafu kuna Uhuru.

Ni kweli. Tuliofika chuo kikuu hasa vyuo vyenye wanafunzi wengi tulijionea maua ya Dunia. Kulikuwa na warembo wa kila namna.

Mimi ndoto yangu kubwa ilikuwa nitafute kidemu cha kimataifa, basa kichina maana huko ndio sikuwahi kúpita. Mpango wangu ungekamilika kwa kujiunga na darasa la kusoma lugha ya kichina huko ndiko nilijua ningepata connection na vitoto vya kichina. Utoto na ujana unamambo sana. Ngoja niachie hapa. Hii stori nitaileta siku nyingine.

Wakati wengine tukijivinjari na kufaidi fahari na maua ya Dunia. Kuna wenzetu walikuwa wakiteseka, na kuteswa na mapenzi. Mpaka wanamaliza mwaka wa mwisho wakiwa hawaamini nini kinaendelea kwenye maisha yao ya chuo. Walikuwa bilabila. Hawakupata Mwanamke yeyote.

Hujui maumivu ya kurusha jiwe kwenye kundi la Ndege wengi kama nyuki alafu usiambulie chochote. Hujui hayo maumivu.

Mbaya zaidi GPA nazo hazisomi, licha ya kutokuwa na demu lakini bado walishindwa kufikisha GPA ya 3.5 ambayo ni ya kawaida kabisa.

(Kunawatu watasema Taikon unasifa😄😄).

Najua kuna ile kujidanganya kimoyomoyo kuwa wakipata kazi sijui pesa watalipiza kisasi au watafikia. My Friend, Haya maisha sivyo hivyo yalivyo. Wapo wenye pesa na wanakazi na bado mademu wanawakataa😀.

Tatizo lenu vijana mnapenda kuwa serious sana na Maisha. Mnajifanya mnamalengo ya millenium. Saikolojia ya warembo haihitaji sampuli ya Watu hiyo.

Mademu wanapenda Sanaa na burudani. Ukiweza hayo hata uwe na mia mfukoni utawafaidi. Alafu yule mwenye milioni akabaki anapiga miayo huku akilaani.

Nimemaliza. Mwenye hasira aje tupigane.
Wenyewe wanasema umetoka Chuo na Clean Sheet😂, hivi kweli mtu unakosa hata kujipoza na fest yia??😂😂😂 Haya ni matumizi mabaya ya rasilimali
 
Semester ya kwanza nkitoka kipindi tu napanda gari narudi geto na kama pana interval kubwa ya vipindi nlikesha computer lab... ndani ya chuo semester 1 nkatoka na clean sheet

Tulivorudi nkaanza kua interactive sana kuchill vimbwetani tunacheza magemu, discussion za hapa na pale, nkaanza kushiriki events za chuo....ndo mambo yakaanza kua mazuri ila mwisho wa siku nlienjoy Kampan za wadada wa nje ya chuo zaidi
 
Kwema Wakuu!

Wakati tunakua moja ya mambo yaliyotupa hamasa ya kusoma mpaka kufika chuo ni stori za kuwa chuo kuna watoto wazuri alafu kuna Uhuru.

Ni kweli. Tuliofika chuo kikuu hasa vyuo vyenye wanafunzi wengi tulijionea maua ya Dunia. Kulikuwa na warembo wa kila namna.

Mimi ndoto yangu kubwa ilikuwa nitafute kidemu cha kimataifa, basa kichina maana huko ndio sikuwahi kúpita. Mpango wangu ungekamilika kwa kujiunga na darasa la kusoma lugha ya kichina huko ndiko nilijua ningepata connection na vitoto vya kichina. Utoto na ujana unamambo sana. Ngoja niachie hapa. Hii stori nitaileta siku nyingine.

Wakati wengine tukijivinjari na kufaidi fahari na maua ya Dunia. Kuna wenzetu walikuwa wakiteseka, na kuteswa na mapenzi. Mpaka wanamaliza mwaka wa mwisho wakiwa hawaamini nini kinaendelea kwenye maisha yao ya chuo. Walikuwa bilabila. Hawakupata Mwanamke yeyote.

Hujui maumivu ya kurusha jiwe kwenye kundi la Ndege wengi kama nyuki alafu usiambulie chochote. Hujui hayo maumivu.

Mbaya zaidi GPA nazo hazisomi, licha ya kutokuwa na demu lakini bado walishindwa kufikisha GPA ya 3.5 ambayo ni ya kawaida kabisa.

(Kunawatu watasema Taikon unasifa[emoji1][emoji1]).

Najua kuna ile kujidanganya kimoyomoyo kuwa wakipata kazi sijui pesa watalipiza kisasi au watafikia. My Friend, Haya maisha sivyo hivyo yalivyo. Wapo wenye pesa na wanakazi na bado mademu wanawakataa[emoji3].

Tatizo lenu vijana mnapenda kuwa serious sana na Maisha. Mnajifanya mnamalengo ya millenium. Saikolojia ya warembo haihitaji sampuli ya Watu hiyo.

Mademu wanapenda Sanaa na burudani. Ukiweza hayo hata uwe na mia mfukoni utawafaidi. Alafu yule mwenye milioni akabaki anapiga miayo huku akilaani.

Nimemaliza. Mwenye hasira aje tupigane.
Kumbe mzee wetu Lowasa alikutana na mkewe chuo kikuu, sawa na Lisu, inawezekana mka anzia chuo mpaka mka zeeshana
 
Mi hata sijui nimepiga MU first year tupa ndoano nikakataliwa live siku hiyo nimetulia Sina mbele wala nyuma nashangaa napokea zawadi ya picha na zawadi zingine Toka Makumira kuangalia ni aliyekuwa group member Cha six tukiwa likizo nikakuta namba ya sim na baadhi ya sms
Anaishi Dar na Mi Dar kwenye mawasiliano wao wakawahi kufunga kabla yetu akaja Moro kakuta nangoja li paper la DS penzi likaanza tena akiwa sealed kutoka hapo hata sikuwa na ham na wa MU maana alichenguka sometimes anakuja hata kati ya semester ila wanawake wakipenda wa ajabu sana
Anyway kwenye break up to be honest mi ndie nilizingua so she get married and settle while am still fucking around all the best my best you were a truly friend you deserve all you have
 
Back
Top Bottom