Sir Bulbul
Senior Member
- Feb 3, 2024
- 151
- 324
Wengi wao wakawaida Tu wengine sura za baba hawana maajabu, sikuwahi kushoboka nao, tunasoma nao vimbetani, madarasani mpaka saa 6 za usiku lkn hatukuwahi kutia neno Wala kuwashobokea, labda wao ndio kushoboka Na njaa zao, maana kwao njaa haziishikuwa mwanachuo ilikuwa cv ya kutosha kwa mabinti wa kitaa, wale wenzetu wa chuoni walikuwa pisi kali ila tulikuwa tunawajua vizuri sana