Ukweli ni kwamba chuoni tulistuka wanafunzi wa kike wanatembea na walimu, watumishi wa serikali, wafanya biashara, swagga boys wa mitaani, n.k. Pia ikitoka Wanafunzi wa kiume tukiwa na Hao wenzetu tulikuwa hatuheshimiani, tulikuwa tunachapiana sana, demu anaonekana cha wote.
Hii ikafanya na sisi tuwe tunatembea na mabinti wa nje ya chuo wanaouza maduka, wapishi, mabinti wa mitaani mpaka mabeki Tatu. Mimi dem wangu wa kwanza chuoni alikuwaga wa mtaani ila waliotutangulia wakanisanua huyo cha wote nikamuacha , nikaja kuwa na mtoto wa mama ntilie, nikahamia kwa anaefua, nikahamia kwa Anaeuza duka la simu, nikaja kwa beki Tatu alieletwa sehem nayoishi namvusha geto kikomandoo,
Nadhani mada ilibidi iwe kwa wanaume wanaomaliza chuo bila kuwa na dem kabisa.