Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Hao wa kuwahonga mlikua mnawatoa wapi aisee, yaani uhonge hadi unaishiwa kabisa.2010-2014 kuna wimbi kubwa la *WATOTO WA SALMA walijiunga chuo fulani.
Kwa udadisi wangu na uoga nikahisi kila ninayekutana naye ni miongoni mwa hao mabinti.
Kingine masomo yangu yalikuwa magumu sana.
By the way mapenzi ya chuo hutegemea boom ambapo mkimaliza masomo mwanaume anakuwa na hali ngumu huku binti akiwa huru kufanya mahusiano mapya na kumuacha yule wa chuo.
Kwa hiyo sikutaka kuwa na mahusiano ya aina hii.
So miaka minne yote sikupata demu chuo.
Na bado ninadhani nilifanya uamuzi sahihi sana.
naungana na wewe hapa, kila somo nikigusa calculus hii hapaKingine masomo yangu yalikuwa magumu sana
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] imebaki historiaWengine tulipata na kuishi kama mke na mume, tukapeana ahadi za kuoana kedekede. Kiko wapi leo!!
Kila jambo na muda wake sahihinaungana na wewe hapa, kila somo nikigusa calculus hii hapa
mda wa kutongoza nisingeupata kwa kweli
kuna dada nasoma nae mpoleee, anawahi darasani, anakaa mbele tu, hakosi vipindiUkweli ni kwamba chuoni tulistuka wanafunzi wa kike wanatembea na walimu, watumishi wa serikali, wafanya biashara,
Watoto wa chuo wachunaji sana.Hao wa kuwahonga mlikua mnawatoa wapi aisee, yaani uhonge hadi unaishiwa kabisa.
Mim udsm 2009-2013 Coet2010-2014 kuna wimbi kubwa la *WATOTO WA SALMA walijiunga chuo fulani.
Kwa udadisi wangu na uoga nikahisi kila ninayekutana naye ni miongoni mwa hao mabinti.
Kingine masomo yangu yalikuwa magumu sana.
By the way mapenzi ya chuo hutegemea boom ambapo mkimaliza masomo mwanaume anakuwa na hali ngumu huku binti akiwa huru kufanya mahusiano mapya na kumuacha yule wa chuo.
Kwa hiyo sikutaka kuwa na mahusiano ya aina hii.
So miaka minne yote sikupata demu chuo.
Na bado ninadhani nilifanya uamuzi sahihi sana.
Wenyewe wanasema umetoka Chuo na Clean Sheet😂, hivi kweli mtu unakosa hata kujipoza na fest yia??😂😂😂 Haya ni matumizi mabaya ya rasilimaliKwema Wakuu!
Wakati tunakua moja ya mambo yaliyotupa hamasa ya kusoma mpaka kufika chuo ni stori za kuwa chuo kuna watoto wazuri alafu kuna Uhuru.
Ni kweli. Tuliofika chuo kikuu hasa vyuo vyenye wanafunzi wengi tulijionea maua ya Dunia. Kulikuwa na warembo wa kila namna.
Mimi ndoto yangu kubwa ilikuwa nitafute kidemu cha kimataifa, basa kichina maana huko ndio sikuwahi kúpita. Mpango wangu ungekamilika kwa kujiunga na darasa la kusoma lugha ya kichina huko ndiko nilijua ningepata connection na vitoto vya kichina. Utoto na ujana unamambo sana. Ngoja niachie hapa. Hii stori nitaileta siku nyingine.
Wakati wengine tukijivinjari na kufaidi fahari na maua ya Dunia. Kuna wenzetu walikuwa wakiteseka, na kuteswa na mapenzi. Mpaka wanamaliza mwaka wa mwisho wakiwa hawaamini nini kinaendelea kwenye maisha yao ya chuo. Walikuwa bilabila. Hawakupata Mwanamke yeyote.
Hujui maumivu ya kurusha jiwe kwenye kundi la Ndege wengi kama nyuki alafu usiambulie chochote. Hujui hayo maumivu.
Mbaya zaidi GPA nazo hazisomi, licha ya kutokuwa na demu lakini bado walishindwa kufikisha GPA ya 3.5 ambayo ni ya kawaida kabisa.
(Kunawatu watasema Taikon unasifa😄😄).
Najua kuna ile kujidanganya kimoyomoyo kuwa wakipata kazi sijui pesa watalipiza kisasi au watafikia. My Friend, Haya maisha sivyo hivyo yalivyo. Wapo wenye pesa na wanakazi na bado mademu wanawakataa😀.
Tatizo lenu vijana mnapenda kuwa serious sana na Maisha. Mnajifanya mnamalengo ya millenium. Saikolojia ya warembo haihitaji sampuli ya Watu hiyo.
Mademu wanapenda Sanaa na burudani. Ukiweza hayo hata uwe na mia mfukoni utawafaidi. Alafu yule mwenye milioni akabaki anapiga miayo huku akilaani.
Nimemaliza. Mwenye hasira aje tupigane.
Sawa UNCLEUzinzi haufai.Kuwa na Dem pasipo kuwa na lengo la kumuoa hakuna maana ni uzinzi tu.Tafuteni wake muwaoe acheni uzinzi Dunia inapita hii.
Kumbe mzee wetu Lowasa alikutana na mkewe chuo kikuu, sawa na Lisu, inawezekana mka anzia chuo mpaka mka zeeshanaKwema Wakuu!
Wakati tunakua moja ya mambo yaliyotupa hamasa ya kusoma mpaka kufika chuo ni stori za kuwa chuo kuna watoto wazuri alafu kuna Uhuru.
Ni kweli. Tuliofika chuo kikuu hasa vyuo vyenye wanafunzi wengi tulijionea maua ya Dunia. Kulikuwa na warembo wa kila namna.
Mimi ndoto yangu kubwa ilikuwa nitafute kidemu cha kimataifa, basa kichina maana huko ndio sikuwahi kúpita. Mpango wangu ungekamilika kwa kujiunga na darasa la kusoma lugha ya kichina huko ndiko nilijua ningepata connection na vitoto vya kichina. Utoto na ujana unamambo sana. Ngoja niachie hapa. Hii stori nitaileta siku nyingine.
Wakati wengine tukijivinjari na kufaidi fahari na maua ya Dunia. Kuna wenzetu walikuwa wakiteseka, na kuteswa na mapenzi. Mpaka wanamaliza mwaka wa mwisho wakiwa hawaamini nini kinaendelea kwenye maisha yao ya chuo. Walikuwa bilabila. Hawakupata Mwanamke yeyote.
Hujui maumivu ya kurusha jiwe kwenye kundi la Ndege wengi kama nyuki alafu usiambulie chochote. Hujui hayo maumivu.
Mbaya zaidi GPA nazo hazisomi, licha ya kutokuwa na demu lakini bado walishindwa kufikisha GPA ya 3.5 ambayo ni ya kawaida kabisa.
(Kunawatu watasema Taikon unasifa[emoji1][emoji1]).
Najua kuna ile kujidanganya kimoyomoyo kuwa wakipata kazi sijui pesa watalipiza kisasi au watafikia. My Friend, Haya maisha sivyo hivyo yalivyo. Wapo wenye pesa na wanakazi na bado mademu wanawakataa[emoji3].
Tatizo lenu vijana mnapenda kuwa serious sana na Maisha. Mnajifanya mnamalengo ya millenium. Saikolojia ya warembo haihitaji sampuli ya Watu hiyo.
Mademu wanapenda Sanaa na burudani. Ukiweza hayo hata uwe na mia mfukoni utawafaidi. Alafu yule mwenye milioni akabaki anapiga miayo huku akilaani.
Nimemaliza. Mwenye hasira aje tupigane.
AminaUliposema pisi mbovu umenikumbusha mbali sana maana hata mimi niliwahi kumiliki peugot moja ili kutoa wenge la upwiru. Ila nilipopata uzoefu wa kazi nilianza kulamba zile hotcake tu 😂 ni mapito Mungu anisamehe
watu wazima huwa hawazicheleweshikuna dada nasoma nae mpoleee, anawahi darasani, anakaa mbele tu, hakosi vipindi
jana kwenye mahangaiko yangu namuona anaongozana na mubaba pande la mtu
aisee
kuna dada nasoma nae mpoleee, anawahi darasani, anakaa mbele tu, hakosi vipindi
jana kwenye mahangaiko yangu namuona anaongozana na mubaba pande la mtu
aisee
Liverpool au liverside[emoji16][emoji16]?Kwann nipate tabu akati nilikua napita hapo liver side