Gucci gang
JF-Expert Member
- Jan 7, 2018
- 2,682
- 5,277
Aisee mpaka leo ukikumbuka unawaza ilikuwajeUliposema pisi mbovu umenikumbusha mbali sana maana hata mimi niliwahi kumiliki peugot moja ili kutoa wenge la upwiru. Ila nilipopata uzoefu wa kazi nilianza kulamba zile hotcake tu 😂 ni mapito Mungu anisamehe
😂😂😂kuna dada nasoma nae mpoleee, anawahi darasani, anakaa mbele tu, hakosi vipindi
jana kwenye mahangaiko yangu namuona anaongozana na mubaba pande la mtu
aisee
Huenda akawa ni Baba yake, stop making stupid conclusions!!kuna dada nasoma nae mpoleee, anawahi darasani, anakaa mbele tu, hakosi vipindi
jana kwenye mahangaiko yangu namuona anaongozana na mubaba pande la mtu
aisee
Sasa kijana kumbe upo bado kwenye mapambano basi ngoja nikupe ushauri wa kung’oa pisi hapo chuoni kwako kwa gharama chachekuna dada nasoma nae mpoleee, anawahi darasani, anakaa mbele tu, hakosi vipindi
jana kwenye mahangaiko yangu namuona anaongozana na mubaba pande la mtu
aisee
sina muda na madem wa chuo aiseeSasa kijana kumbe upo bado kwenye mapambano basi ngoja nikupe ushauri wa kung’oa pisi hapo chuoni kwako kwa gharama chache
Kabla hujamtokea mdada yeyote jikague kwanza kama unasikia njaa kama unasikia njaa tu usiende kwanza hio mida mibovu utakula invoice
Nenda wakati umeshiba tu
Inshort
Nenda saa 12 asubuhi
Saa 5
Saa 11
Saa 5 usiku
Nimemaliza
😂
Haya mkuusina muda na madem wa chuo aisee
Kuchukua mademu wa chuo Ni ulmbukeni, chuo tumefika Na hatukuwa Na time nao, wengi wao walikuwa cha wote, wengine washamba wamekuja kutoka kijijini huko walipofika walikuwa wachafuuu wakaingizwa mjini Na manungayembe wakajifanya washaujua mji waligraduate Na A, namaanisha AIDS.Kwema Wakuu!
Wakati tunakua moja ya mambo yaliyotupa hamasa ya kusoma mpaka kufika chuo ni stori za kuwa chuo kuna watoto wazuri alafu kuna Uhuru.
Ni kweli. Tuliofika chuo kikuu hasa vyuo vyenye wanafunzi wengi tulijionea maua ya Dunia. Kulikuwa na warembo wa kila namna.
Mimi ndoto yangu kubwa ilikuwa nitafute kidemu cha kimataifa, basa kichina maana huko ndio sikuwahi kúpita. Mpango wangu ungekamilika kwa kujiunga na darasa la kusoma lugha ya kichina huko ndiko nilijua ningepata connection na vitoto vya kichina. Utoto na ujana unamambo sana. Ngoja niachie hapa. Hii stori nitaileta siku nyingine.
Wakati wengine tukijivinjari na kufaidi fahari na maua ya Dunia. Kuna wenzetu walikuwa wakiteseka, na kuteswa na mapenzi. Mpaka wanamaliza mwaka wa mwisho wakiwa hawaamini nini kinaendelea kwenye maisha yao ya chuo. Walikuwa bilabila. Hawakupata Mwanamke yeyote.
Hujui maumivu ya kurusha jiwe kwenye kundi la Ndege wengi kama nyuki alafu usiambulie chochote. Hujui hayo maumivu.
Mbaya zaidi GPA nazo hazisomi, licha ya kutokuwa na demu lakini bado walishindwa kufikisha GPA ya 3.5 ambayo ni ya kawaida kabisa.
(Kunawatu watasema Taikon unasifa[emoji1][emoji1]).
Najua kuna ile kujidanganya kimoyomoyo kuwa wakipata kazi sijui pesa watalipiza kisasi au watafikia. My Friend, Haya maisha sivyo hivyo yalivyo. Wapo wenye pesa na wanakazi na bado mademu wanawakataa[emoji3].
Tatizo lenu vijana mnapenda kuwa serious sana na Maisha. Mnajifanya mnamalengo ya millenium. Saikolojia ya warembo haihitaji sampuli ya Watu hiyo.
Mademu wanapenda Sanaa na burudani. Ukiweza hayo hata uwe na mia mfukoni utawafaidi. Alafu yule mwenye milioni akabaki anapiga miayo huku akilaani.
Nimemaliza. Mwenye hasira aje tupigane.
Mkuu wewe ulikuwa mjanja kama mimiUkweli ni kwamba chuoni tulistuka wanafunzi wa kike wanatembea na walimu, watumishi wa serikali, wafanya biashara, swagga boys wa mitaani, n.k. Pia ikitoka Wanafunzi wa kiume tukiwa na Hao wenzetu tulikuwa hatuheshimiani, tulikuwa tunachapiana sana, demu anaonekana cha wote.
Hii ikafanya na sisi tuwe tunatembea na mabinti wa nje ya chuo wanaouza maduka, wapishi, mabinti wa mitaani mpaka mabeki Tatu. Mimi dem wangu wa kwanza chuoni alikuwaga wa mtaani ila waliotutangulia wakanisanua huyo cha wote nikamuacha , nikaja kuwa na mtoto wa mama ntilie, nikahamia kwa anaefua, nikahamia kwa Anaeuza duka la simu, nikaja kwa beki Tatu alieletwa sehem nayoishi namvusha geto kikomandoo,
Nadhani mada ilibidi iwe kwa wanaume wanaomaliza chuo bila kuwa na dem kabisa.
Bila ya Shaka ulifanya uwamuzi sahihi, Ni kama Mimi kaka yako, sikuwahi kuwa limbukeni wa pisi2010-2014 kuna wimbi kubwa la *WATOTO WA SALMA walijiunga chuo fulani.
Kwa udadisi wangu na uoga nikahisi kila ninayekutana naye ni miongoni mwa hao mabinti.
Kingine masomo yangu yalikuwa magumu sana.
By the way mapenzi ya chuo hutegemea boom ambapo mkimaliza masomo mwanaume anakuwa na hali ngumu huku binti akiwa huru kufanya mahusiano mapya na kumuacha yule wa chuo.
Kwa hiyo sikutaka kuwa na mahusiano ya aina hii.
So miaka minne yote sikupata demu chuo.
Na bado ninadhani nilifanya uamuzi sahihi sana.
Ki wolper ndio Nini?Kuna mtu alikutana na ki-wolper humu humu ikabidi aanze kutembea na gloves,mwingine akawa ananawia kidole na mafuta ya taa ndio ki-wolper kikapotea.
😂😂😂😂😂 wahuni walinisema sana hadi kufikia kunitenga ndipo nikarejea slogan yangu "Hommies over hoes" nikaitupa ile pijo. Ila nilipoanza kusaga valves kinanda kila muhuni alitamani kujua natumia ulimbo gani.Aisee mpaka leo ukikumbuka unawaza ilikuwaje
Mimi ni kama wewe mwanzo kuna toyota Bb ilikaa kwenye line niapita nayo baadae nilikua nakataa sijawahi miliki kile chombo😁
maisha yao hayajaharibika kwasababu ya kukukataa weweDaah, maisha haya, mie kuna Demu kipindi niko Chuo alinikataa,. Mtaani walinitupilia mbali nilikuwaga Rafu sana, nimemaliza Chuo mwaka 2020, Mtaani nimekaa wiki Moja tu.
Saizi nimuajiriwa serikalini, HOD wa Idara Flani katika Taasisi kubwa Mkoani Dodoma. Saizi huyo wa chuo ni Single Mother na anauza Genge na mwingin ni Single mother mkoa flani. Saizi nilishapata mke na nina Familia na mtoto mmoja.
Wasichana wakifika chuoni sijui huwa wanajiona akina nani. Baada ya Chuo akili huwa inawarudi.
Jinga sana. Halafu si ajabu naye kahitimu Chuo Kikuu!Liverpool au liverside[emoji16][emoji16]?
Sawa mkuuBila ya Shaka ulifanya uwamuzi sahihi, Ni kama Mimi kaka yako, sikuwahi kuwa limbukeni wa pisi
Sisi wengine tulikuwa wapenda sifa hatupitwi na kontena jipya.Kwema Wakuu!
Wakati tunakua moja ya mambo yaliyotupa hamasa ya kusoma mpaka kufika chuo ni stori za kuwa chuo kuna watoto wazuri alafu kuna Uhuru.
Ni kweli. Tuliofika chuo kikuu hasa vyuo vyenye wanafunzi wengi tulijionea maua ya Dunia. Kulikuwa na warembo wa kila namna.
Mimi ndoto yangu kubwa ilikuwa nitafute kidemu cha kimataifa, basa kichina maana huko ndio sikuwahi kúpita. Mpango wangu ungekamilika kwa kujiunga na darasa la kusoma lugha ya kichina huko ndiko nilijua ningepata connection na vitoto vya kichina. Utoto na ujana unamambo sana. Ngoja niachie hapa. Hii stori nitaileta siku nyingine.
Wakati wengine tukijivinjari na kufaidi fahari na maua ya Dunia. Kuna wenzetu walikuwa wakiteseka, na kuteswa na mapenzi. Mpaka wanamaliza mwaka wa mwisho wakiwa hawaamini nini kinaendelea kwenye maisha yao ya chuo. Walikuwa bilabila. Hawakupata Mwanamke yeyote.
Hujui maumivu ya kurusha jiwe kwenye kundi la Ndege wengi kama nyuki alafu usiambulie chochote. Hujui hayo maumivu.
Mbaya zaidi GPA nazo hazisomi, licha ya kutokuwa na demu lakini bado walishindwa kufikisha GPA ya 3.5 ambayo ni ya kawaida kabisa.
(Kunawatu watasema Taikon unasifa😄😄).
Najua kuna ile kujidanganya kimoyomoyo kuwa wakipata kazi sijui pesa watalipiza kisasi au watafikia. My Friend, Haya maisha sivyo hivyo yalivyo. Wapo wenye pesa na wanakazi na bado mademu wanawakataa😀.
Tatizo lenu vijana mnapenda kuwa serious sana na Maisha. Mnajifanya mnamalengo ya millenium. Saikolojia ya warembo haihitaji sampuli ya Watu hiyo.
Mademu wanapenda Sanaa na burudani. Ukiweza hayo hata uwe na mia mfukoni utawafaidi. Alafu yule mwenye milioni akabaki anapiga miayo huku akilaani.
Nimemaliza. Mwenye hasira aje tupigane.
kuwa mwanachuo ilikuwa cv ya kutosha kwa mabinti wa kitaa, wale wenzetu wa chuoni walikuwa pisi kali ila tulikuwa tunawajua vizuri sanaMkuu wewe ulikuwa mjanja kama mimi
Kwani hapakuwepo na option ya KUMWAGIA NJE?Sisi wengine tulikuwa wapenda sifa hatupitwi na kontena jipya.
Kilichoniponza ni kumwagia ndani sasa majukumu ni kama yote watoto wa3 wote ni wa university kutoka kwa mama tofauti.
Vijana someni mkiwa masomoni acheni mchezo na masomo..!