Licha ya kuambiwa chuo kuna watoto wakali. Lakini kuna Watu walimaliza chuo bila kupata demu yeyote

Sawa kabisa
 
Tunasema umeupiga mwingi mkuu
 
Hao single mothers kama wanakushonokea wapige miti kisha uwapige chini, mademu wanao kataa kataa kila mwanaume sijui wana matatizo gani.
 
Haya mkuu
Ni njema pia

Ila jast in case

Usijaribu kwenda saa 8
Sisi wengine tulikuwa wapenda sifa hatupitwi na kontena jipya.

Kilichoniponza ni kumwagia ndani sasa majukumu ni kama yote watoto wa3 wote ni wa university kutoka kwa mama tofauti.

Vijana someni mkiwa masomoni acheni mchezo na masomo..!
Oa mmoja wapo, kama Imani inaruhusu basi oa wote.
 
kuwa mwanachuo ilikuwa cv ya kutosha kwa mabinti wa kitaa, wale wenzetu wa chuoni walikuwa pisi kali ila tulikuwa tunawajua vizuri sana
Kula mwanachuo labda uwe unasoma fani inayoheshimika chuo hicho kuliko fani ya huyo demu.
 
Dogo acha Ufala

Ushatuona MABWEGE mabroo wako.
 
Ukweli mtupu 1995,Nilimaliza CBE,kuna demu alikuwa ananisindikiza hapa Dodoma kwa Uncle tunakura msosi Safi, mjomba alikuwa demu wangu na namnyandua,Kumbe makini mie mshika pembe tuu ni story kula kwetu!
 
Rubbish
 
Ukweli mtupu 1995,Nilimaliza CBE,kuna demu alikuwa ananisindikiza hapa Dodoma kwa Uncle tunakura msosi Safi, mjomba alikuwa demu wangu na namnyandua,Kumbe makini mie mshika pembe tuu ni story kula kwetu!
Andika tena upya hujaeleweka mjomba nani anamnyandua nani ulikua unanyandiliwa na mjomba?
 
Nina mwanangu m'moja alikuwa na changamoto hii ya kupata demu chuo so mziki akauamishia kwa walinzi wa kike, wadada wanaofanya biashara ya kufua nguo, wafanya usafi, wapishi na wahudumu migahawa na kadhalika.
Huko kwa kuwala suma na wafanyausafi ni kujidhalisha, bora mtu ukae tu. Mi walinitongozaga kabisa nikawa nawakataa, na hakuna demu aliyewahi kunitongoza nikamkubali, wote niliwatolea nje, hata wanaoleta ishara za kushoboka shoboka nao nawapiga chini tu, raha ni demu umuwinde from zero mpaka akubali mwenyewe, hapo itakuwa ni magoli sana.
 
Andika tena upya hujaeleweka mjomba nani anamnyandua nani ulikua unanyandiliwa na mjomba?
Hakuna demu wangu mkuu niliishia kukata story nae bila kumla kimasihara.Na weekend tunaenda kwa mjomba wangu kubadilisha mlo,mjomba kwa akili yake alikuwa demu wangu wa chuo,Kumbe hamna lolote!Hapo je?!
 
Ukweli 100%...kunakipindi nilikuwa kuwadi mkubwa sana wa rafiki yangu tajiri sana lakini kila akitaka kuopoa mlupo anapigwa chini akinituma mimi chapu sana anaipiga papuchi....mpaka leo hii kaoa mke niliemuungia mimi tukikutana huwa anacheka sana..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…