Licha ya kuwa kitovu cha mambo ya kimataifa hapa nchini jiji la Arusha lipo hoi kwenye miundombinu

Mkuu point πŸ‘πŸ‘πŸ‘
Nadhani wangesema sababu nyingine ya ufinyu wa Bajeti ama nyingine lakini sio hiyo ya kuchagua upinzani.

Lakini kwa hadhi ya Arusha, nahisi wanaonewa kukosa miundombinu ya uhakika pamoja na wao kuwa kitovu cha utalii
 
Wanataka kila kitu wapewe wao tu hata watu wa lindi, simiyu nao wanatamani hata hizo barabara zao za vumbi.
Haoa jamaa washamba huo mji kila siku wanajengewa majengo mfano uwanja wa kisasa ,jengo la posta ..
 
Mwamba nakukubali sana endelea kuwapopoa hawa wabwia unga wa chuga.
 
Toka lini Geniva wakalalamikia miundombinu mibovu, sijui barabara, masoko, mara stendi, hii ni Geniva gani tena?🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Miaka ya nyuma ilisemekana ni kutokana na wao kuchagua Upinzani.

Lakini majimbo yote kuanzia 2020 hadi sasa yapo chini ya Chama tawala lakini wameshindwa kujenga barabara wala stendi ya kisasa πŸ™Œ
Wapi walikojenga barabara nchi yote hii kutoa Dar, Dodoma wote tupo mavumbini.
 
Tulia wewe hujui kituπŸ˜‚πŸ˜‚ eti mtaalamu wa lugha😁😁😁
Kaangalie maana ya hilo neno πŸ˜…πŸ˜…nimekufundisha kijana ...Kaa utulie .!
 
Hili jiji linaongoza kwa ubadhirifu wa fedha
Sana yaani huduma za jamii zipo chini sana tofauti na linavyoongelewa hao abiria wanapanda vidala nusu kama wanafunzi na Trafiki sehemu yeyote anaweza kuwashusha abiria ili achukue rushwa kwa kigezo cha kuwatafutia gari ingine aisee Chuga ni kiboko..
 
Hi

Hiyo ndio geneva ulitaka wapande BRT, au train.
 
Kaangalie maana ya hilo neno πŸ˜…πŸ˜…nimekufundisha kijana ...Kaa utulie .!
Wewe ni kiazi hamna kituπŸ˜‚πŸ˜‚ hapo juu ulikuwa umeandika nimefundisha badala ya nimekufundishaπŸ˜‚πŸ˜‚

Eti mtaalamu wa lughaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wewe ni kiazi hamna kituπŸ˜‚πŸ˜‚ hapo juu ulikuwa umeandika nimefundisha badala ya nimekufundishaπŸ˜‚πŸ˜‚

Eti mtaalamu wa lughaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ebu soma tena yaani unaandika "taira" ndio elimu ya kuiba mitihani ,neno taira ukitamka kama mwanaume unakuwa kama mwanamke..πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Rudia kusoma nimeandika correct kabisa ... Huwezi kuchambua makosa ila angalia kwako kusoma hujui .
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Umebadilisha kiazi wewe
 
Mi naona ni mjadala wa kueleza mapungufu mausi ya nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…