Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 16,096
- 49,651
Nadhani wangesema sababu nyingine ya ufinyu wa Bajeti ama nyingine lakini sio hiyo ya kuchagua upinzani.Mkuu point ๐๐๐
Lakini kwa hadhi ya Arusha, nahisi wanaonewa kukosa miundombinu ya uhakika pamoja na wao kuwa kitovu cha utalii