Licha ya kuwa kitovu cha mambo ya kimataifa hapa nchini jiji la Arusha lipo hoi kwenye miundombinu

Mkuu mimi pia mwenyeji Ar jamaa ana hoja sio wa kumpuuza ni kweli barabara karibia zote ni nyembamba mfano kutoka clock tower kwenda mbauda barabara sio ya hadhi ya mji kama Ar.
Pia barabara za mitaa ni nyembamba sana ukiacha ile ya uzunguni toka sanawri hadi impala, barabara za mitaa ni nyembamba kwa kasi ya ukuaji wa mji sio siku nyingi folen zitakuwa kama Dar. Mji unahitaji barabara quality na wide kama hii ya toka tengeru hadi Ngaramtoni
 
Wanataka kila kitu wapewe wao tu hata watu wa lindi, simiyu nao wanatamani hata hizo barabara zao za vumbi.
Ngosha acha chuki Chato mmepewa kila kitu Mwanza mmepewa airport mkaharibu ramani, daraja la ghali, meli 2 kama sikosei, stand nzuri standard zipo 2 na kadhalika wewe mradi gani mkubwa umepelekwa Ar miaka 6 au7 iliyopita?
 
Arusha is overrated 😁😁
 
Wao raha yao wanatamani hata arusha iondoke tanzania kwa chuki zao
Wanashida sana hawa jamaaπŸ˜€
 
Majengo gani serikali imejengea Arusha??
Stand tu hakuna
Lile jengo la EAC ,Hili jengo la posta ,uwanja ...Hotels zote ni uwezekezaji kutokana na promo ya serikali ili kuwa mji wa kitalii sambamba na zenji
 
Lile jengo la EAC ,Hili jengo la posta ,uwanja ...Hotels zote ni uwezekezaji kutokana na promo ya serikali ili kuwa mji wa kitalii sambamba na zenji
Basi ngosha toa hayo majengo mawili alafu leta idadi ya magorofa kati ya arusha na mwanza 🀣🀣
 
Basi ngosha toa hayo majengo mawili alafu leta idadi ya magorofa kati ya arusha na mwanza 🀣🀣
Majengo mengine yapi ya maajabu pale Arusha πŸ˜…πŸ˜…hata kufananisha na Mombasa haingii hata nusu ,utaweka lile la Tecno pale paliyobaki na mahotel au kuna jipyaπŸ˜…πŸ˜….

Hivi mtu anaweza kwenda Arusha kushangaa magorofa kweli? Kama mnazo skyscrappers eti niambie zipo upande gani?
 
Unaumia na sumbawanga yako fala wewe πŸ˜‚πŸ˜‚
Acha kulinganisha Swax na vitu vya kijinga kijinga.

Technically Arusha bila mbeleko ya Serikali hamna kitu.😁😁

Conclusion ni kwamba Arusha is overrated
 
Lile jengo la EAC ,Hili jengo la posta ,uwanja ...Hotels zote ni uwezekezaji kutokana na promo ya serikali ili kuwa mji wa kitalii sambamba na zenji
Hamna jengo la serikali hapo bwege wewe alafu we mtu mzima au mtoto hovi jengo ni miundombinu??
 
Acha kulinganisha Swax na vitu vya kijinga kijinga.

Technically Arusha bila mbeleko ya Serikali hamna kitu.😁😁

Conclusion ni kwamba Arusha is overrated
Lakini sumbawanga kuna stendi kali arusha hatujapewa hiyo mbeleko bado mkuu
 
Hakuna stand Arusha hakuna University hakuna international Airport
Alafu unasema mbeleko?
-International Airport ya nini wakati KIA is primarily for Arusha? On top of that Kuna Arusha Airport mpyaa kabisa.

-Arusha hakuna University? Au unataka university hapo Mbauda ndio ujue ipo? Nelson Mandela ni kitu gani? Arusha University ni nini? Kwanza Arusha Ina higher learning Institutions nyingi kushinda Mwanza tena Zenye upekee Fulani.eg Gemological Centre

Mwisho mambo ya stand sijui masoko ni kama ujenzi umeanza kule Bondeni City na wewe unajua ingawa hamtakaa mlingane na Jiji la Dar au Dom the Capital City
 
Jawabu ni serikali majimbo 40% ya kodi ibaki Arusha mfano 2022 TRA ukitoa utalii ilikusanya bilioni 450 ni jiji la pili mapato Baada ya Dar, 40% % ni bilioni 200 kwa mwaka ziboreshe miundombinu ya Arusha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…