Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
Angekuwa siyo mtu wa dhulma asingekuwa anafanya teuzi za watu wa hovyoRais Samia ni mtu wa vitendo sana kuliko sifa, ni mpenda haki na siyo mtu wa DHULUMA. Kikubwa anafanya kazi zake vizuri kwa ajili ya wananchi wa Tanzania. Wala hafanyi kwa ajili ya kutaka abakie madarakani mwaka 2025.
Kama hatutamtaka mwaka 2025 naamini atakaa pembeni lakini hawezi kufanya ule UHAYAWANI wa Magufuli wa kuiba chaguzi za vitongoji za 2019 na uchaguzi Mkuu wa 2020. Tuko mikono salama na Rais SSH
Wakati ndiyo utasema tusubiri 2025
Asingekuwa anawakumbatia wabunge feki 19 wanaolipwa mishahara kwa kodi zetu