Licha ya uzuri na elimu, dada yangu hapati mwanaume wa kumuoa

Hajawahi kufanya hayo mambo ya kujipost
 
Mwambie ahame hapo nyumbani kwenu akapange,aanze pia kujichangaya na watu miaka 28 sio mbaya
Inashangaza miaka 28 una elimu una kazi bado unaishi kwenu?kuna muoaji ataona hauko serious
Sasa unaposema atoke nyumbani akapange na hajaolewa, si ndo atapewa tu mimba huko? Bado tunaimani kua atatoka nyumbani atakapo olewa
 
Ana trakooo...
Maana yake tuanzie hapo kwanza?😀
 
Atulie tu mi Dada yake nipo kwenye 30 na kitu ila huyu mwanaume niliyenae nishamchoka tayari badala ya kutamani kuolewa, natamani niwe single hili pepo la kukaa mwenyewe linaniandama kweli
 
Kipi kinavutia kutoka kwa dada Yako mpaka una muona mzuri?
 
Wanaume hawaoi elimu wala ujuzi. Wanaoa mwanamke mwenye respect na upendo. Period.
 
She should not worry about getting a husband. She should let life be. And tell her marriage is not about feelings. Its about making babies
 
Niunganishe naye kwani na mimi natafuta mwenzi,vigezo na masharti tutaambizana tukikutana
 
Kama amefika 28 atakuwa na matatizo yeye binafsi
 
Sasa unaposema atoke nyumbani akapange na hajaolewa, si ndo atapewa tu mimba huko? Bado tunaimani kua atatoka nyumbani atakapo olewa
Shauri yako,yaani mtu unakazi bado unakaa kwenu,alokwambia kupanga ndo kutafuta mimba ni nani,
Serious mwambie atoke kwenu la sivyo mtaendelea kutafuta mchawi.
 
Atulie tu mi Dada yake nipo kwenye 30 na kitu ila huyu mwanaume niliyenae nishamchoka tayari badala ya kutamani kuolewa, natamani niwe single hili pepo la kukaa mwenyewe linaniandama kweli
Ushachoka wewe. 30+ ni shangazi pro max kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…