Ligi ya Morrison na Simba kwenye suala 'Release letter' imefikia patamu

Acha uongo ndugu, Usajili unaanza tarehe 1 August unaisha tarehe 15, ili hali Mkataba wa Morrison unaisha tarehe 14
Kama hivyo ndivyo, yeye kwanini anakuwa na papara na hiyo release letter? si asubiri mkataba wake uishe aondoke akasajiliwe na jina lake liende CAF?
 
Njaa mbaya sana ulichokiandika hakifanani na Akili uliyonayo.Viposho vya Barbara vimechetua Akili yako.Mtake msitake Morrison atachezea Yanga na atawafunga goli zuri na litawakera sana mpaka mkome kudadadeki zenu.
hakuna anayekataa Morison kucheza Yanga,angekuwa wa muhimu simba walikuwa na chance kubwa kuongezewa mkataba,mchezaji anaondokaje wakati mkataba haujaisha na hata hao Yanga hawataki kuja kuweka offer?mbona unakuwa popoma hivo ,hapo ni sheria inafuatwa hamna figisu ,release letter itatolewa akimaliza mkataba,Simba hawajakosea nye mburukenge ndo mnataka sheria ivunjwe.
 
Simba watoe release later wasitoe mchezaji anaondoka Bure na anakwenda kucheza NBC premier league na CAF champion league.
 
Kwa ulichoandika hapa hujioni Kama wewe ndio mjinga na akili fupi? Unawatazama wenzako namna hiyo wakati unadhihirisha ujinga wako kwenye maandishi yako.
Opondo na wewe tulia, wanaume tukiongea kaa kimya, hivi umeacha kuvaa skin jeans za dada zako..?
 
Yanga msimu huu klabu bingwa anaenda hadi fainali 2022/2023

Hakunaga timu iliyowai kufika fainali caf CL kwa beki mwenye mwili mdogoo kama wa kibwana shomari wa yanga au zimbwe wa simba.

Nusu fainali tu ili ufike lazima uwe na beki makinii sana na mwilii nyumbaa
 
MAMBWIGA wa kihistoria hawawezi kukuelewa.
 
Opondo na wewe tulia, wanaume tukiongea kaa kimya, hivi umeacha kuvaa skin jeans za dada zako..?
Sign ya mjinga nikukimbilia kutukana. Sitokutukana lakini amini hivyo wewe ni mjinga
 
Hakunaga timu iliyowai kufika fainali caf CL kwa beki mwenye mwili mdogoo kama wa kibwana shomari wa yanga au zimbwe wa simba.

Nusu fainali tu ili ufike lazima uwe na beki makinii sana na mwilii nyumbaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kutojichoresha kwako hapa kuwa ni mweupe ktk masuala ya soka.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi ni shabiki tu, hayo mambo ya kuwa mweupe sijui elimu ya soka wala hayana faida kwangu maana mimi sio referee wala rise man
 
Simba ni timu yangu ila naomba kwenye hili niwaite WAPUMBAVU.

Mmeshashindwana na mchezaji muacheni aondoke zake mivutano ya Nini?
Sio wapumbavu ni mbumbumbu mwenyekiti rage alisema.
 
Instagram hakuna ofisi ya Simba, afate taratibu
 
Lazima ifuatwe utaratibu hii sio bar umalize bia uhamie bar ingine hii ni organization yenye mikakati na taratibu zake huwezi amka nakusema sitaki hiki halafu unaondoka tu bila sababu za msingi halafu watu wasichukue mamuzi na taratibu zao lazima uulizwe dah ,kwanini imekuwaje ndio ufanyiwe utaratibu.
Kama mkataba hujaisha malizia uendee.
 
Simba ni timu yangu ila naomba kwenye hili niwaite WAPUMBAVU.

Mmeshashindwana na mchezaji muacheni aondoke zake mivutano ya Nini?
Wewe ndo mpumbavu ngoja nkutoe ujinga ww mwana simba "jina" , Morrison alitakiwa na Yanga,mkataba wake na simba haukuwa umeisha, hivyo kama SIMBA wangekurupuka kutoa release letter yawezekana yangetengenezwa mazingira ya inaonekana imevunja mkataba na Morrison na hivyo ingetakiwa imlipe Morrison..SSC siyo wapuuzi kama wale wazee wa CAS.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…