king otaligamba
JF-Expert Member
- Oct 24, 2016
- 2,178
- 2,033
Imeisha hiyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama hivyo ndivyo, yeye kwanini anakuwa na papara na hiyo release letter? si asubiri mkataba wake uishe aondoke akasajiliwe na jina lake liende CAF?Acha uongo ndugu, Usajili unaanza tarehe 1 August unaisha tarehe 15, ili hali Mkataba wa Morrison unaisha tarehe 14
Ndiyo maana yakePia kuanzia August 16 na KUENDELEA timu yaweza kufanya usajili huku ikitakiwa kutoa faini ya dola elfu tano.
hakuna anayekataa Morison kucheza Yanga,angekuwa wa muhimu simba walikuwa na chance kubwa kuongezewa mkataba,mchezaji anaondokaje wakati mkataba haujaisha na hata hao Yanga hawataki kuja kuweka offer?mbona unakuwa popoma hivo ,hapo ni sheria inafuatwa hamna figisu ,release letter itatolewa akimaliza mkataba,Simba hawajakosea nye mburukenge ndo mnataka sheria ivunjwe.Njaa mbaya sana ulichokiandika hakifanani na Akili uliyonayo.Viposho vya Barbara vimechetua Akili yako.Mtake msitake Morrison atachezea Yanga na atawafunga goli zuri na litawakera sana mpaka mkome kudadadeki zenu.
Opondo na wewe tulia, wanaume tukiongea kaa kimya, hivi umeacha kuvaa skin jeans za dada zako..?Kwa ulichoandika hapa hujioni Kama wewe ndio mjinga na akili fupi? Unawatazama wenzako namna hiyo wakati unadhihirisha ujinga wako kwenye maandishi yako.
Yanga msimu huu klabu bingwa anaenda hadi fainali 2022/2023
MAMBWIGA wa kihistoria hawawezi kukuelewa.Katika hili niwaombe msitangulize hisia na muache sheria ifuate mkondo wake kwa manufaa ya club na wadhamini wa club, akili za Morisson wote mnazijua swala la kumruhusu akasajiliwe na club nyingine ikiwa mkataba wake haujaisha linaweza kuwageukia Simba Sc hapo baadae.
Vipi akija kugeuka na kusema Simba Sc ndo imevunja mkataba hivyo anaomba fidia? Au kwasababu nyinyi hamuhusiki na maswala ya kifedha pale Simba ndomaana mnaongea bila kuzingatia cautions zozote?
Simba Sc haina shida nae ila ni lazima sheria ifuatwe wakati wa kusajili na kuachana na mchezaji.
Sign ya mjinga nikukimbilia kutukana. Sitokutukana lakini amini hivyo wewe ni mjingaOpondo na wewe tulia, wanaume tukiongea kaa kimya, hivi umeacha kuvaa skin jeans za dada zako..?
Kutojichoresha kwako hapa kuwa ni mweupe ktk masuala ya soka.Haya hiyo elimu ya kandanda itanisaidia nini mie!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hakunaga timu iliyowai kufika fainali caf CL kwa beki mwenye mwili mdogoo kama wa kibwana shomari wa yanga au zimbwe wa simba.
Nusu fainali tu ili ufike lazima uwe na beki makinii sana na mwilii nyumbaa
Mimi ni shabiki tu, hayo mambo ya kuwa mweupe sijui elimu ya soka wala hayana faida kwangu maana mimi sio referee wala rise manKutojichoresha kwako hapa kuwa ni mweupe ktk masuala ya soka.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Katika wajinga watu wewe ni kiongozi wa wajinga aiseeKweli wewe ni mbumbumbu FC, 'Rise man' kwenye soka wanafanya kazi gani?
Sio wapumbavu ni mbumbumbu mwenyekiti rage alisema.Simba ni timu yangu ila naomba kwenye hili niwaite WAPUMBAVU.
Mmeshashindwana na mchezaji muacheni aondoke zake mivutano ya Nini?
Instagram hakuna ofisi ya Simba, afate taratibu
Inaelezwa kuwa Bernard Morrison anaomba release letter kwa Simba, lakini Simba hawana presha wanataka mpaka mkataba wake utamatike kisha wamkabidhi barua.
Inasemekana kuna muda aliwaambia kuna klabu ya nje inamtaka, Simba wakamwambia watume offer yao watapokea ofa na watampa release letter.
Taarifa za kuaminika ni kuwa anataka kujiunga na Yanga, Simba wanafahamu hilo kwa hiyo hawana tatizo zaidi ya kusubiri mwisho wa mkataba.
Naona watu wanaenda kisomi zaidi.
Msukule wa zungu pori unatoka povuSio wapumbavu ni mbumbumbu mwenyekiti rage alisema.
Wewe ndo mpumbavu ngoja nkutoe ujinga ww mwana simba "jina" , Morrison alitakiwa na Yanga,mkataba wake na simba haukuwa umeisha, hivyo kama SIMBA wangekurupuka kutoa release letter yawezekana yangetengenezwa mazingira ya inaonekana imevunja mkataba na Morrison na hivyo ingetakiwa imlipe Morrison..SSC siyo wapuuzi kama wale wazee wa CAS.Simba ni timu yangu ila naomba kwenye hili niwaite WAPUMBAVU.
Mmeshashindwana na mchezaji muacheni aondoke zake mivutano ya Nini?