Ligi ya Morrison na Simba kwenye suala 'Release letter' imefikia patamu

Ligi ya Morrison na Simba kwenye suala 'Release letter' imefikia patamu

Unaendelea kuonyesha kwamba hujui dunia iko wap kwasasa... ingia website ya CAF ujue kinacho endelea
Mbona mnahangaika Sana, fanyeni Hilo unalowaza.

Simba imeshasema Morrison Ni mchezaji halali na analipwa stahiki zake km kawaida. Unamtaka njoo MEZANI. Au subiri awe huru mchukue free. Ndivyo utaratib ulivyo.Punguza utoto na maneno mengi yasiyo na weledi.

Hayo yako ni mbinu za Porini, lkn Simba km klabu inasimama kwenye sheria,kanuni na taratibu za kimkataba. Hizi zako Ni porojo za humu mtandaoni.




itapelekwa caf
 
Simba wala hawana shida ila tatizo yule nguruwe pori ana mdomo sana alitubua deal la gsm kwa simba na hapa pia anatibua mambo maana kukaa kimya hawezi yule
 
Simba wamnyime hiyo barua ili asi saini yanga, na kwa kufanya hivyo simba watakuwa wametu saidia sana wananchi wa hii nchi kuepukana na huyo mweu
 
Simba ni mke alieachwa alafu hataki ku move on anachofanya ni kumkomoa mumewe kupitia mtoto
 
Simba wangempa tu hiyo Reliase Latter.
Wangemsikiliza kama bado wanamtaka basi wa wangesema tu ili awe na amani.
Kama hawataki wamwachie tu kwani akija Yanga Simba itakosa nini?

Ngoja niombe kazi ya kuwa Mshauri wa Simba Sports.
Unaomba kazi ya kuwa mshauri simba wakati hiyo ni nafas ya naibu raisi na mkuu wa mkoa mstaafu ndugu Makonda Albert
 
nyie Makolo wapumbavu sana tena wapuuzi wa mwisho, hata hamjui sheria za CAF zinasemaje, kwa taarifa yenu YANGA na Morrison wanawacheka tu. Kasomeni sheria za CAF wajinga nyie, "ukimsajiri mchezaj ambaye mkataba wake umebaki mwezi mmoja kuisha na mchezaj hatak tena kuendelea na hiyo club, Team inayotaka kumsajiri itatozwa Faini ya Million 11 na CAF na mchezaj huyo atakubaliwa usajiri wake mpya." Na makolo mlivyo wapumbavu zaid mkatoa hadi Public Notice 😂 kuwa mmemalizana na Morrison na mnamtakia maisha mema... Sasa kwa akili zenu fupi mnadhan Yanga itashindwa kulipa faini ya million 11..?😅😂 Mnajua GSM, Eng Hersi, Suma..?
Mwenye akili fupi alishafahamika baada ya kupoteza kesi CAS.
 
CAF YATUMA BARUA YANGA SC 🔖

Kocha msaidizi wa Yanga SC Cedric Kaze 🇧🇮 akiongea na wanahabari leo amethibitisha kuwa klabu ya Yanga SC 🇹🇿 imepokea barua kutoka (CAF) ikiwataarifu kuwa wamesogeza mbele michuano ya (CAF) na dirisha la usajili Kuelekea msimu ujao (2022/23)

Amesema (CAF) wamesogeza mbele kwa mwezi mmoja michuano ya klabu bingwa Africa na kombe la Shirikisho.

Michuano hiyo itaanza September 9 hadi 11/2022 badala ya August 12/2022 kama ilivyokuwa imetangazwa awali.

Mabadiliko hayo yamepelekea kusogezwa mbele pia kwa DIRISHA LA USAJILI ambalo sasa litafunguliwa August 1/2022 hadi August 15/2022 kwa timu kusajili pasipo kupigwa faini yoyote na (CAF)

Ni ruksa sasa kuanza kusajili Wachezaji kuanzia July 1 hadi August 15/2022.

Baada ya August (15/2022) klabu zitalazimika kulipa faini ya USD $ 5,000 kwa kila mchezaji ili kuingiza majina kwenye mfumo wa CAF ndani ya siku (10)

Cedric Kaze amesema (CAF) wameisaidia Yanga SC kujiandaa vizuri kwa kuhakikisha wanasajili Wachezaji bila shinikizo kuelekea michuano ya klabu bingwa Africa.
 
Mwisho wa kutuma Majina CAF ni tarehe 14 August 2022 na Yeye Mkataba wake na Simba SC unaisha tarehe 16 August 2022 hivyo asiwe na Wasiwasi huko Yanga SC anakotaka kwenda ataenda Kuchezea ile ya Vijana ambayo inaweza baadae ikashiriki Ndondo Cup au ataenda Kukaa mpaka Dirisha Dogo la January 2023 ndipo aende huko Yanga SC.

Na Mwambieni Tanzania nzima hakuna Timu inayojua Kumroga Mchezaji na Kumfunika kabisa asifanikiwe Kokote aendako kama akiondoka vibaya kama Simba SC na Simba SC huwa haiishii hapo tu bali ukifanya nayo Masihara unaweza hata hii dunia ukaiaga kama walivyoiaga Wanafiki akina Ngumi Jiwe barabarani.

Na Simba SC haina tu 'Mafia' na Watoto wa Mjini ( wa Kihuni ) bali pia ina Watu Wasomi na Walewa wa Masuala mno.
Ha ha ha caf wamebutua,game over
 
Katika hili niwaombe msitangulize hisia na muache sheria ifuate mkondo wake kwa manufaa ya club na wadhamini wa club, akili za Morisson wote mnazijua swala la kumruhusu akasajiliwe na club nyingine ikiwa mkataba wake haujaisha linaweza kuwageukia Simba Sc hapo baadae.

Vipi akija kugeuka na kusema Simba Sc ndo imevunja mkataba hivyo anaomba fidia? Au kwasababu nyinyi hamuhusiki na maswala ya kifedha pale Simba ndomaana mnaongea bila kuzingatia cautions zozote?

Simba Sc haina shida nae ila ni lazima sheria ifuatwe wakati wa kusajili na kuachana na mchezaji.

Sent using Jamii Forums mobile app
Pita kwa Mangi pata chochote nalipa mie.
 
Aaghh! Huwa inachosha sana kila wakati hasa hizi nyakati za usajili anazungumziwa mchezaji mmoja tu. [emoji57]
Mtani si ufurahi wakili msomi, anakuja kuwafuta jasho za CAS, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Rejea kuisoma upya barua ya Simba dhidi ya Morrison. Utagundua kitu. Maneno ya mwishon yanasema hivi"Simba inamtakia kila laberi huko aendako katika safari yake ya soka".
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aiseeeeh kazi ipo hapa.
 
Simba ni mke alieachwa alafu hataki ku move on anachofanya ni kumkomoa mumewe kupitia mtoto
Nikajua wee ni mwanasoka na una Elimu ya Kandanda, kumbe ni hollah, khaaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom