Ligi ya Morrison na Simba kwenye suala 'Release letter' imefikia patamu

Ligi ya Morrison na Simba kwenye suala 'Release letter' imefikia patamu

Usajili wa caf mwisho ni 30 june. Kama ikipita hiyo tarehe Morrison hajapewa release letter yake ina maana atakosa usajilo wa xaf kwenye mechi za awali za ligi ya mabingwa hatocheza
Unabishana caf wenyewe!
 
Shabiki mwandamizi kama gentamycine anajisifia uchawi na kuziba riziki ya mtu kupitia ulozi kweli Kolo ni kolo
 
nyie Makolo wapumbavu sana tena wapuuzi wa mwisho, hata hamjui sheria za CAF zinasemaje, kwa taarifa yenu YANGA na Morrison wanawacheka tu. Kasomeni sheria za CAF wajinga nyie, "ukimsajiri mchezaj ambaye mkataba wake umebaki mwezi mmoja kuisha na mchezaj hatak tena kuendelea na hiyo club, Team inayotaka kumsajiri itatozwa Faini ya Million 11 na CAF na mchezaj huyo atakubaliwa usajiri wake mpya." Na makolo mlivyo wapumbavu zaid mkatoa hadi Public Notice 😂 kuwa mmemalizana na Morrison na mnamtakia maisha mema... Sasa kwa akili zenu fupi mnadhan Yanga itashindwa kulipa faini ya million 11..?😅😂 Mnajua GSM, Eng Hersi, Suma..?
Wewe yanga kesi yako na morrison umesahau huyo fala alikuacha kwenye mataa au?

Sahv unacomment unajipa na urafiki kabisa eti "morrison na yanga wanatucheka" we jamaaa acha kua mbovu wa fikra
 
Kupitia comment km hii ndipo unapata jibu sahihi Sasa kuwa wabongo wengi ni vilaza Sana pia wepesi wa kusahau na ndio maana kumtawala mbogo ni kazi rahisi Sana ,yeye ni fuata upepo tu wakisema huku nae anaunga tu wakisema vua suruali tukutie madole anavua tu bila hata kuhoji kuwa mbona hili haliko sawa?

Kipindi Morrison anawapelekea Moto cas nikikumbuka maneno mliokua mnalopoka napata mashaka snaa na mashabik wa yanga kuwa ni watu wa aina gani.
Hakuna adui wa kudumu kwenye soka

Huo uadui wenu wa kimbumbumbu pelekeni huko ukoloni ila sisi kwetu hatuna adui wa kudumu

Mwenyezi Mungu akijaalia BM3 atakuwa green and yellow next season.....tuseme Inshaallah
 
Wewe yanga kesi yako na morrison umesahau huyo fala alikuacha kwenye mataa au?

Sahv unacomment unajipa na urafiki kabisa eti "morrison na yanga wanatucheka" we jamaaa acha kua mbovu wa fikra
sasa wew kwa akili zako unataka kuleta uadui hadi ktk michezo, wanasiasa tu hawanuniani sembuse ktk mpira...
Wabongo tatzo lenu ni ujinga umewajaa hamjui sheria na mnapenda mabifu...
Someni sheria za CAF mjitoe ujinga
 
Uadui mliuleta nyie ambao mliona mchezaji ameenda kihalali na mkaenda CAS
Kama mkataba unaisha trh 14 subirini wakuu tarh 15 mchezaji wenu mnambeba mapeeema
 
Uadui mliuleta nyie ambao mliona mchezaji ameenda kihalali na mkaenda CAS
Kama mkataba unaisha trh 14 subirini wakuu tarh 15 mchezaji wenu mnambeba mapeeema
Simba ni timu kubwa
Wa 11 sasa Afrika tunawalk the talk tupo professionally
Ile ni mikataba
Sio umoja wa mama huruma hapo dar
 
Back
Top Bottom