Asalamaleko
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 2,699
- 7,726
Unaendelea kuonyesha kwamba hujui dunia iko wap kwasasa... ingia website ya CAF ujue kinacho endeleaUadui mliuleta nyie ambao mliona mchezaji ameenda kihalali na mkaenda CAS
Kama mkataba unaisha trh 14 subirini wakuu tarh 15 mchezaji wenu mnambeba mapeeema