Ligi ya Morrison na Simba kwenye suala 'Release letter' imefikia patamu

Ligi ya Morrison na Simba kwenye suala 'Release letter' imefikia patamu

Uadui mliuleta nyie ambao mliona mchezaji ameenda kihalali na mkaenda CAS
Kama mkataba unaisha trh 14 subirini wakuu tarh 15 mchezaji wenu mnambeba mapeeema
Unaendelea kuonyesha kwamba hujui dunia iko wap kwasasa... ingia website ya CAF ujue kinacho endelea
 
kwahiyo Kolo hizo hoja nyingine umeona huziwez kwasabab una akili ndogo... Msiwe mnakurupuka
Nimeizingatia hiyo hoja kwasababu ndiyo hoja mbaya zaidi kati ya hoja zako mbaya ulizotoa, vingenevyo sikutakiwa kabisa kujibu.

Ile kusema mkataba wa mchezaji sio valid kwasababu ya public notice, ni ishara ya kuugua utindio wa ubongo.
 
uliishia darasa la ngapi kolo..? Unaonekana huna akili hata za kuvukia barabara
 
Mwisho wa kutuma Majina CAF ni tarehe 14 August 2022 na Yeye Mkataba wake na Simba SC unaisha tarehe 16 August 2022 hivyo asiwe na Wasiwasi huko Yanga SC anakotaka kwenda ataenda Kuchezea ile ya Vijana ambayo inaweza baadae ikashiriki Ndondo Cup au ataenda Kukaa mpaka Dirisha Dogo la January 2023 ndipo aende huko Yanga SC.

Na Mwambieni Tanzania nzima hakuna Timu inayojua Kumroga Mchezaji na Kumfunika kabisa asifanikiwe Kokote aendako kama akiondoka vibaya kama Simba SC na Simba SC huwa haiishii hapo tu bali ukifanya nayo Masihara unaweza hata hii dunia ukaiaga kama walivyoiaga Wanafiki akina Ngumi Jiwe barabarani.

Na Simba SC haina tu 'Mafia' na Watoto wa Mjini ( wa Kihuni ) bali pia ina Watu Wasomi na Walewa wa Masuala mno.
Ina maana Simba inamkomoa Morrison ?
OKW BOBAN SUNZU Scars Ghazwat
 
Umeonae? Alafu eti wanajiita klabu inayoendeshwa kisasa wakati inaendekeza mambo ya hovyo Kama haya, uswahili mwingi. Hakika bado tuna safari ndefu Sana.
Fafanua mkuu, kosa LA simba hapo ni lipi????
 
Inaeleza Bernard Morrison anaomba release letter kwa Simba, lakini Simba hawana presha wanataka mpaka mkataba wake utamatike kisha wamkabidhi barua.

Inasemekana kuna muda aliwaambia kuna klabu ya nje inamtaka, Simba wakamwambia watume offer yao watapokea ofa na watampa release letter.

Taarifa za kuaminika ni kuwa anataka kujiunga na Yanga, Simba wanafahamu hilo kwahiyo hawana tatizo zaidi ya kusubiri mwisho wa mkataba.

Naona watu wanaenda kisomi zaidi.
Afya ya akili ya Morrison inatia mashaka.
 
Mkuu simba waliwahi kusema wameachana na Morrison? Ninachojua walisema wamempa likizo ashughulikie matatizo ya kifamilia na wakamtakia kila la kheri huko aendako.
Rejea kuisoma upya barua ya Simba dhidi ya Morrison. Utagundua kitu. Maneno ya mwishon yanasema hivi"Simba inamtakia kila laberi huko aendako katika safari yake ya soka".
 
Mwisho wa kutuma Majina CAF ni tarehe 14 August 2022 na Yeye Mkataba wake na Simba SC unaisha tarehe 16 August 2022 hivyo asiwe na Wasiwasi huko Yanga SC anakotaka kwenda ataenda Kuchezea ile ya Vijana ambayo inaweza baadae ikashiriki Ndondo Cup au ataenda Kukaa mpaka Dirisha Dogo la January 2023 ndipo aende huko Yanga SC.

Na Mwambieni Tanzania nzima hakuna Timu inayojua Kumroga Mchezaji na Kumfunika kabisa asifanikiwe Kokote aendako kama akiondoka vibaya kama Simba SC na Simba SC huwa haiishii hapo tu bali ukifanya nayo Masihara unaweza hata hii dunia ukaiaga kama walivyoiaga Wanafiki akina Ngumi Jiwe barabarani.

Na Simba SC haina tu 'Mafia' na Watoto wa Mjini ( wa Kihuni ) bali pia ina Watu Wasomi na Walewa wa Masuala mno.
Morrison si mzima kiakili.
 
Acha uongo ndugu, Usajili unaanza tarehe 1 August unaisha tarehe 15, ili hali Mkataba wa Morrison unaisha tarehe 14
Pia kuanzia August 16 na KUENDELEA timu yaweza kufanya usajili huku ikitakiwa kutoa faini ya dola elfu tano.
 
Morrison kama amesajiliwa Yanga, Atacheza ligi ya Mabingwa Afrika na ligi ya NbC .Ata kama baadhi ya mashabiki wa Simba watanuna lakini hakuna Jinsi.
HAKUNA mwenye Shida na Hilo Hata leo Simba wametoa taarifa Kwamba Morrison Ni mchezaji halali wa Simba na analipwa mshahara km kawaida.

Kama unamtaka kwa Sasa angali ktk mkataba Halali lazima uje MEZANI Biashara ifanyikie. Kinyume na hapo usubiri mkataba wake uishe umchukue akiwa huru. Kitu rahisi tu, HAKUNA njia ya mkato. Morrison na Yanga wanajua hilo. Wanataka tu kutingisha kiberiti. Ni ushamba Yanga na Morrison wanafanya.
 
kwahiyo Kolo hizo hoja nyingine umeona huziwez kwasabab una akili ndogo... Msiwe mnakurupuka
Ficha upumbavu wako mkuu. Mkataba hauvunjiwi kwenye magazeti. Sasa km ninyi ni vidume pelekeni jina la Morrison CAF. Kweli nyie Ni mazuzu.

Nionyeshe mahali kwenye sheria za FIFA zinazoruhusu mchezaji kusaini mkataba akiwa bado ndani ya mkataba. Na km nyie mna hiyo alternative basi msajilini Ili mkalipe hiyo mkononi 11.Kelele za nini.
 
sasa wew kwa akili zako unataka kuleta uadui hadi ktk michezo, wanasiasa tu hawanuniani sembuse ktk mpira...
Wabongo tatzo lenu ni ujinga umewajaa hamjui sheria na mnapenda mabifu...
Someni sheria za CAF mjitoe ujinga
Mpumbavu unapofundisha wajinga.
 
Back
Top Bottom