Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We jamaa ni kilaza sijapata kuona alafu na wewe unajiona una akili balaaa kumbe kiazi mmoja tu.Utaratibu gani huo kama sio umbumbumbu na upumbavu. Umetangaza hadharani kuwa umeachana na mtu fulani kwanini usimpe barua ya kumwachia sasa
Una macho kweli au ndo umburura wenyewe ,wapi wamesema wameachana na Morrison ? Hiyo barua imekaa kiakiri Sana kiasi kwamba kilaza km wewe huwez elewa kitu hapoKwani ile barua waliandika simba ilijielezaje? Simba si wamesema wameachana na Morrison asa kama umeshasema mmefikia makubaliano ya kuachana kwanini wasimpe talaka yake?View attachment 2267389
Nikamshtaki nani? Kwani kipi nilichokuwa na maslahi nacho mpaka nipeleke mashtaka?Nenda ukashitaki cas sio kushupaza shingo
Kwa maslahi mapama ya soka lake inabidi anunue tu mkataba wake au avunje mkataba, aache kuishi kiujanja ujanja. La sivyo atajikuta muda wa kutuma majina ya usajili CAF unapita.Wakuu KWA MFANO TU
.
Katika funzo la hili sakata la Bernard Morrison na uzoefu wa tukio hili huko nyuma.
.
Kipi kinaweza kutokea?
.
1- Klabu mpya kuwasilisha ofa ya kuununua mkataba wa miezi miwili iliyobaki?
.
2- Simba Sc watabaki na mkataba wa Bernard Morrison mpaka mwisho wake?
.
3- Bernard Morrison anaweza kuununua mkataba wake uliobaki.?
.
CHAMBUA
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Ila we jamaa Mambo ya mpira yamekupiga chenga snaa ,pia hata maana ya Sheria huelew kabisa.Kwahiyo kaishaitwa kusaini mkataba mpya baada ya awali unaoishia? Mchezaji hajaachwa inakuaje unamtakia heri ktika safari yake mpya ya soka?
Kwakua CAFCL ni ya baba yenu sio?Morrison kama amesajiliwa Yanga, Atacheza ligi ya Mabingwa Afrika na ligi ya NbC .Ata kama baadhi ya mashabiki wa Simba watanuna lakini hakuna Jinsi.
Hapa Sasa ndio umeongea point ya msingi Sana ,huyu alitakiwa wamkatae Simba na yanga maana hizi timu anazitumia atakavyo ,nikisoma comments za Wana yanga humu Hadi naishiwa pozi yaan washasahau kila kitu saiz Morrison anapambwa balaa ,Sasa naelewa kwann ni rahisi Sana kumuongoza mtanzania kwenye nyanja yoyote ileIla tu kwavile ni ujinga tu wa viongozi wa Yanga kama ni kweli wanataka kumrejesha Morrison. Ila wangekuwa viongozi wa Yanga wako smart basi ilikuwa ni fursa nzuri sana ya Morrison kulipwa ujira wake kwa vitendo alichowanyia Yanga. Ila imekuwa viongozi wa Yanga kazi yao kucheza ngoma ya Morrison. Akili zingine hizi za viongozi zinashindwa hata watu walioishia darasa la 7B. Viongozi wa Simba wanaakili kubwa sana kwenye hili anayeumia ni Morrison ila ujinga wa Yanga inaweza kukuta nawao inawaumiza
Kwamba sikuhizi mikataba inavunjwa kwa public notice? Ficha ujinga wako utopolo.nyie Makolo wapumbavu sana tena wapuuzi wa mwisho, hata hamjui sheria za CAF zinasemaje, kwa taarifa yenu YANGA na Morrison wanawacheka tu. Kasomeni sheria za CAF wajinga nyie, "ukimsajiri mchezaj ambaye mkataba wake umebaki mwezi mmoja kuisha na mchezaj hatak tena kuendelea na hiyo club, Team inayotaka kumsajiri itatozwa Faini ya Million 11 na CAF na mchezaj huyo atakubaliwa usajiri wake mpya." Na makolo mlivyo wapumbavu zaid mkatoa hadi Public Notice [emoji23] kuwa mmemalizana na Morrison na mnamtakia maisha mema... Sasa kwa akili zenu fupi mnadhan Yanga itashindwa kulipa faini ya million 11..?[emoji28][emoji23] Mnajua GSM, Eng Hersi, Suma..?
Ndio shida ya kukurupuka km huku ,Simba sio mafala kukomalia Sheria ifuatwe hawataki Kona Kona ili baadae yaje yawapate km watani zao.Mm siwajali Utopolo. Nachojali ni maslahi ya Simba. KAMA HATUMTAKI, HATUMTUMII TUNAMSHIKILIA WA NN? KWA FAIDA GANI?
Kwakua ni ma mbumbumbu hamjui mlifanyalo.Kwakua CAFCL ni ya baba yenu sio?
kwahiyo Kolo hizo hoja nyingine umeona huziwez kwasabab una akili ndogo... Msiwe mnakurupukaKwamba sikuhizi mikataba inavunjwa kwa public notice? Ficha ujinga wako utopolo.
Kupitia comment km hii ndipo unapata jibu sahihi Sasa kuwa wabongo wengi ni vilaza Sana pia wepesi wa kusahau na ndio maana kumtawala mbogo ni kazi rahisi Sana ,yeye ni fuata upepo tu wakisema huku nae anaunga tu wakisema vua suruali tukutie madole anavua tu bila hata kuhoji kuwa mbona hili haliko sawa?Yani hata wasipotoa hiyo release letter ikifika tar 15 atakuwa huru na tupo tayar kulipa m 11 ziende caf kuliko m 70 kuwapa makolo
Kumbuka kwamba Simba na Yanga siku zote ni kama huwa wanategeana tu, mmoja ateleze, then afumuliwe na mwenzake, hasa katika haya mambo ya mikataba ya wachezaji na kuuziana wachezaji. Hii imetokea mara nyingi. Bahati nzuri, mfano wa hivi karibuni zaidi unaoonyesha hilo unamhusisha Morrison huyo huyo. Kumbuka lile sakata namna ambavyo Simba na Yanga 'walivyoshikana mashati' hadi FIFA huko.Kwahiyo kaishaitwa kusaini mkataba mpya baada ya awali unaoishia? Mchezaji hajaachwa inakuaje unamtakia heri ktika safari yake mpya ya soka?
uko simba yes ina una ujinga wa kitopolo.Simba ni timu yangu ila naomba kwenye hili niwaite WAPUMBAVU.
Mmeshashindwana na mchezaji muacheni aondoke zake mivutano ya Nini?
Yule kwisha habari yake huoni domo lake linavyonuka kama yai vizaMbona yule mzungu wa mchongo msemaji mmeshindwa mfunika nyotaa yake
wameshindwana?kwa vipi,wakati ni mchezaji wao halali na mkataba upo,na mshahara wanamlipa.wabongo mnapenda sana shotikati,fuateni sheriaSimba ni timu yangu ila naomba kwenye hili niwaite WAPUMBAVU.
Mmeshashindwana na mchezaji muacheni aondoke zake mivutano ya Nini?
Mafia alikuwa Zakary Hanspope, hao wengine waliobakia Ni mapoyoyo tu wakiongozwa na poyoyo namba moja Barabraa.Pale Simba waliobaki kwenye uongozi wote wamekuja na mbio za mwenge Kwa mujibu wa Ismail Aden Lage Sasa uo umafia mtautoa wapi?