GEMBESON
JF-Expert Member
- Apr 15, 2012
- 1,463
- 3,193
Na muda huo Dirisha la usajili wa CAF utakuwa umeshafungwaHuyu jamaa atakwenda Yanga 30/08/2022 siku mkataba wake na Simba utakapokwisha rasmi, kwa sasa awe mtulivu kama pesa anapata shida yake nini sasa.