CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 11,635
- 21,347
Kama kweli yanga wanamtaka tena huyu jamaa basi ni wajinga maradufu.
Hawana haja naye nia yao kumtoa nishai tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama kweli yanga wanamtaka tena huyu jamaa basi ni wajinga maradufu.
mkataba unaisha agost 4,wanamhitaji watume ofa wakae mezani, hutaki subiri mwezi agosti awe huru umchukue.Simba wasipo mpa hiyo barua ya kumruhusu watakuwa wameisaidia Yanga na siyo kuwakomoa, hasara itakuwa ya Simba wenyewe na Morisson.
Nashangaa uto wanacomment as if ndiyo mara ya kwanza issue hii kutokea wakati juzi tu walipigwa mbinyo na vita.Mkatana uheshimiwe bwana. Tatizo utopolo much known ukijumlisha kejeli za zungu poro roporopo sasa waje tu kuomba release letter. Sema yanga hawawez kuja wanapenda vya bure. Ndio maana hata wakongo wao awamu iliyopita hawakushiriki CAF CL kwa maana walishindwa kuvunja mikataba wakasubiria mpaka iishe
Wasingemhitaji kama wana uhakika wa kufanya vizuri. NBC League sio CAFLHapo wanamkomoa mchezaji coz hao Yanga hata bila BM3 bado watafanya vizuri zaidi
Simba wameshaweka wazi , yaani waneshatoa taarifa, Kwamba Kama Kuna timu inahitaji morissoni time ofa wakae mezani. Na wanasema hadi Sasa HIVI hawajapokea ofa yyte. Hakuna maneno mengi, Ni hivyo tu.Wakuu KWA MFANO TU
.
Katika funzo la hili sakata la Bernard Morrison na uzoefu wa tukio hili huko nyuma.
.
Kipi kinaweza kutokea?
.
1- Klabu mpya kuwasilisha ofa ya kuununua mkataba wa miezi miwili iliyobaki?
.
2- Simba Sc watabaki na mkataba wa Bernard Morrison mpaka mwisho wake?
.
3- Bernard Morrison anaweza kuununua mkataba wake uliobaki.?
.
CHAMBUA
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kwani mkataba umeshaisha? Kwani usajili umeshaisha? Wewe unajuaje kama wataamua kuongeza mkataba na BM3?Kwahiyo kaishaitwa kusaini mkataba mpya baada ya awali unaoishia? Mchezaji hajaachwa inakuaje unamtakia heri ktika safari yake mpya ya soka?
Hapo wameandika wamempa mapumziko umepaona?Kwani ile barua waliandika simba ilijielezaje? Simba si wamesema wameachana na Morrison asa kama umeshasema mmefikia makubaliano ya kuachana kwanini wasimpe talaka yake?View attachment 2267389
Na baada ya kushinda kesi akawadhihakiHuyo Morson unafikiri aliondoka Yanga kirahisi tu na kwenda Simba?.
Yanga waliweka hadi mawakili wakaenda kufungua kesi Fifa
Anayeomba kupewa barua ni yeye kama kaomba kwa maandishi na kwa kufata taratibu wamwache tu.Jamaa mkataba wake si bado haujaisha,kwa akili zake Morrisson ukakaa nae chini ukisitisha mkataba wake huko mbeleni anaweza kukushinda na ukamlipa yeye,Mapungufu ya kisheria waliyoyafanyaga Yanga yaliwagharimu kama ivyo wakajikuta wanapeleka kesi Cas,
Wewe zuzu kweli. Kwaiyo Simba wao Wana wachezaji wa bure. Unakuja unachukua free tu. Au vipi. Morrison ana mkataba Hadi Agost 4,wanaomtaka watume ofa Simba , wakae mezani unauziwa mtu.Kama hutaki subiri mkataba wake uishe umchukue free. Rahisi tu.Umeonae? Alafu eti wanajiita klabu inayoendeshwa kisasa wakati inaendekeza mambo ya hovyo Kama haya, uswahili mwingi. Hakika bado tuna safari ndefu Sana.
Ulitaka kusema ya kimwili?Hawana mahusiano gani mema?
Kwa matusi nyie hamuwezekani, Ni mabingwa kwelikweli.Wewe zuzu kweli. Kwaiyo Simba wao Wana wachezaji wa bure. Unakuja unachukua free tu. Au vipi. Morrison ana mkataba Hadi Agost 4,wanaomtaka watume ofa Simba , wakae mezani unauziwa mtu.Kama hutaki subiri mkataba wake uishe umchukue free. Rahisi tu.
Yaani utopolo mmeona KABISA Simba anagawa wachezaji wa bure, Kwamba unakuja unajibebea tu, mikataba Haina maana
Unawaza kwa kumtumia Makal*o/ Masaburi.
Ina maana mazuzu wote wa utopoloni hamjui km jamaa ana mkataba na Simba, na km unamtaka LAZIMA mkae mezani uvunje mkataba ndiyo aweze kuwa huru.
Basi Yanga na BM3 wasubiri wasiwe na presha ya kudai release letterShirikisho la soka Afrika (CAF) linatoa nafasi ya kusajili wachezaji wa kigeni hata kama dirisha la usajili limefungwa.
Kwa mujibu wa kanuni za (CAF) za usajili, baada ya dirisha la usajili kufungwa (CAF) inatoa siku (12) kukamilisha usajili, lakini unapaswa kulipa faini ya USD $ 5000/=.
$ 5,000. ni sawa na Tsh 11 Milioni.
Simba ni watu wenye za husda,roho mbaya na roho za kinyongoliloUlitaka kusema ya kimwili?
Yanga ni wasaga kunguni
Kama ukisemacho kinaukweli, basi itakuwa vizuri sana. Binafsi sifurahishwi na ujio wa Morrison Yanga kama nilivyochukizwa na Manara kuja YangaMkuu ninachokiona ni kuwa Yanga wana kinyongo na Morrison Kwa jinsi alivyowachezesha mayenu na hatimaye akawabwaga na wao Yanga kulazimika kumlipa mamilioni hivyo kinachoendelea ni mkakati wao kulipa kisasi kuhakikisha kuwa Morrison hachezi mpira msimu unaokuja. Morrison ujanja wake wote ameshindwa kung'amua mchezo huu mchafu. Yanga wanajua Simba hawawezi kumpa hiyo barua wakijua kuwa anaenda Yanga. Hata kutangaza mapema kuwa Morrison anakwenda Yanga na kisha kumuachia yeye msala wa kuidai release letter hiyo ni uthibitisho kuwa wanamchezea mchezo mchafu.
Simba wangempa tu hiyo Reliase Latter.
Wangemsikiliza kama bado wanamtaka basi wa wangesema tu ili awe na amani.
Kama hawataki wamwachie tu kwani akija Yanga Simba itakosa nini?
Ngoja niombe kazi ya kuwa Mshauri wa Simba Sports.
Simba wangempa tu hiyo Reliase Latter.
Wangemsikiliza kama bado wanamtaka basi wa wangesema tu ili awe na amani.
Kama hawataki wamwachie tu kwani akija Yanga Simba itakosa nini?
Ngoja niombe kazi ya kuwa Mshauri wa Simba Sports.
Pole sana! Haya unayo yawazia kamwe hayawezi kutokea msimu huu. Na msipokuwa makini, yatatokea upande wenu wa Makolo fc.Inamaanisha Morrison hataweza kucheza preliminary round kwa kuwa jina lake litachelewa CAF, na kwa kuwa Yanga hatoboi hiyo hatua ndio itakuwa Morrison hatagusa CAF kwa next season.