This is...
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 5,050
- 5,204
Mbona mnahangaika Sana, fanyeni Hilo unalowaza.Unaendelea kuonyesha kwamba hujui dunia iko wap kwasasa... ingia website ya CAF ujue kinacho endelea
Simba imeshasema Morrison Ni mchezaji halali na analipwa stahiki zake km kawaida. Unamtaka njoo MEZANI. Au subiri awe huru mchukue free. Ndivyo utaratib ulivyo.Punguza utoto na maneno mengi yasiyo na weledi.
Hayo yako ni mbinu za Porini, lkn Simba km klabu inasimama kwenye sheria,kanuni na taratibu za kimkataba. Hizi zako Ni porojo za humu mtandaoni.
itapelekwa caf