Lijue Jeshi la North Korea - Uwezo wake na Nguvu zake. Kwanini USA wanaliogopa?

Hawa nasikia ni majamaa zetu.kwanini sasa wasitupe technology ya silaha zao.

Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
 
Walipigana na Japan aliyewatawala kimabavu ndani ya nchi yao.

Walimtwanga haswaa chini ya Kim ll Sung baba wa Taifa la Korea Kaskazi
Mwaka gani?

Hicho kipindi Korea ilikuwa ni moja haikuwa divided

So unapofikiria kumpa sifa North Korea uwe unautazama na mchango wa South Korea pia
 
Unaendelea kuhamisha magori tu mdogo wangu. Nimekuonesha nchi zenye vifaru vingi. Nikakuambia ulete proof how SK wanaweza kushinda NOKO.
Hebu tuendelee na main Battle Tanks

Chonma 216


 
Kwahiyo unadhani naandika uongo?
Mzee mimi siwezi nikaleta taarizfa za kubumba hata siku moja. Nafanya research kwanza ndio nakuja
hebu jaribu kupitia hapa kwanza ndio urudi

 
Mwaka gani?

Hicho kipindi Korea ilikuwa ni moja haikuwa divided

So unapofikiria kumpa sifa North Korea uwe unautazama na mchango wa South Korea pia
Hivi unajua during cold war marekani na washirika wake wamewahi kupigana na NK?
 
Mtoa post uzi mzima naona missiles na vifaru tu tena old models.

Sijaona fighter jets, destroyers, aircraft carriers (kama wanazo) n.k

Halafu bado unalinganisha na US?
 
Mtoa post uzi mzima naona missiles na vifaru tu tena old models.

Sijaona fighter jets, destroyers, aircraft carriers (kama wanazo) n.k

Halafu bado unalinganisha na US?
ICBM zipo badala ya fighter jet. Mambo ya fighter jet hayana maana sana.
Halafu nadhani huijui dunia vizuri. Hypersonic Missile USA hawana NK wanazo
 
Harafu kutumia kigezo Cha GDP kwenye maswala ya kijeshi ni kutudanganya Urusi ana GDP ngapi Leo anapigana na mataifa zaidi ya 30


Kaka sema urusi anapigana na ukraine inayosaidiwa vifaa vya kijeshi na mafunzo lna zaid ya mataifa 30 ukisema anapigana na mataifa 30 maana yake mataifa hayo yanaishambulia direct urusi na majeshi yake

Yaan tunazungunzia kama vile germany kwenye vita za dunia zote mbili

Germany ndo physical alikuwa anapigana mataifa mengi yaani alikuwa anapambana kupiga na kuzuia from all
Angle east west south and north

Urusi anapigana na mataifa ya europe kitu tunaita proxy war.. na hata urusi anajua hili ndo
Maana hatumi silaha kal kama nuke sababu anajua kufanya hivuo ndo rasmi kuileta WW3 maana hayo mataifa 30 wakipeleka vikosi uwanja wa mapambano basi tayar hiyo ni WW3
 
Urusi inatumia dollar bilioni 10 kwa mwezi wakati Ukraine inatumia dollar bilioni 4.

Mpaka sasa Ukraine amepata misaada zaidi ya $150 billion, mpaka sasa ni miezi 18, ukidivide hapo unapata almost $9.350billion kwa mwezi hio nne wewe umeitolea wapi?.

Ukraine ndo anatumia pesa nyingi kwenye hii vita hata majarida ya hao hao west walichambua vizuri sana.

Mwisho, Unafaham Russia maeneo anayoshikiria yana worths $12 trillion?, na bad news wanachimba madini kwenye haya maeneo.

Russia hana hasara maana atafidia kwenye maeneo anayoshikilia vipi kuhusu Ukraine??
 

Ukiongelea budget ya Jeshi hapa napingana na wewe, Russia budget yake ni $60B lakini anapigana na NATO na anawamudu, vita sio budget maana kama ni budget NATO wangekuwa NK, na Russia.
 
We mkurya mbona una ubishi wa kizamani sana

Hicho kifaru ambacho ndio tegemeo kwa North Korea ni cha zamani hakiwezi kumudu modern war.

Unakazania kusema vifaru ving kama ndio hojai huku ukijua kabisa kuwa vyote hivyo ni vya kizamani vimechoka haviwezi ku handle vita vya kisasa.

Nimekuonesha kifaru cha South Korea ambacho ni superior maradufu kuliko hicho cha North Korea.

Nitajie kifaru latest cha North Korea
 
Tatizo lako unakuwa mvivu wa kusoma. Nimeweka muda mrefu sana humu. Pitia hapa




Currently, the new North Korean Main has no official name. The design of the turret seems very similar to the American M1A2 Abrams
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…