Lijue Jeshi la North Korea - Uwezo wake na Nguvu zake. Kwanini USA wanaliogopa?

Lijue Jeshi la North Korea - Uwezo wake na Nguvu zake. Kwanini USA wanaliogopa?

Bila kupoteza muda. Tumsifu YESU KRISTU.

Leo nataka niongelee kuhusu uwezo wa Jeshi la North Korea. Kwanini hawa jamaa wanatisha sana? Na kwanini West wanaeneza propaganda nyingi sana ili tu waweze kuwapoteza? Kwanini Marekani anawekeza sana kwenye nchi za Japan na South Korea ili kupambana na hawa jamaa?

Kwanza kabisa historia inaanzia kipindi cha Cold war wakati West na East wakitafuta utukufu duniani. Kitendo kicho kilifanya Korea kugawanyika na kuwa katika sehemu mbili. Huku korea ya kusini ikipiga magoti kwa Western wakati Korea ya kaskazini ikijiimarisha na kulinda heshima yake.

NK iemeendelea kuimarisha jeshi lake tangu kipindi hicho kujua kwamba adui wao nambari moja ni Marekani. Huyu marekani amekuwa akitumia ushawishi wake huko UN na kuweka vikwazo rukuki NK. Akitegemea hawa jamaa watampigia magoti lakini wapi. Miaka inazidi kwenda tu.

Waziri wa Ulinzi wa Korean People's Army ni Comrade General Kang Sun-nam


Huku General Staff Department (GSD) Akiwa ni Comrade Vice Marshal Ri Yong-gil


IDADI YA WANAJESHI

NK Army linakadiliwa kuwa na Active Personnel 1,320,000 ombapo inaelezwa kuwa ni jeshi kubwa la nne duniani baada ya China, India na Marekani.

Jeshi hili limegawanyika katika kamadi tano:-
  1. KPA Ground Forces
  2. KPA Naval Forces
  3. KPA Air Force
  4. KPA Strategic Force
  5. KPA Special Operation Force
Nembo ya jeshi hili la korea ni


Usikae mbali na uzi huu nitakuletea hatu kwa hatua uwezo wa jeshi hili.....
Hawa nasikia ni majamaa zetu.kwanini sasa wasitupe technology ya silaha zao.

Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
 
Walipigana na Japan aliyewatawala kimabavu ndani ya nchi yao.

Walimtwanga haswaa chini ya Kim ll Sung baba wa Taifa la Korea Kaskazi
Mwaka gani?

Hicho kipindi Korea ilikuwa ni moja haikuwa divided

So unapofikiria kumpa sifa North Korea uwe unautazama na mchango wa South Korea pia
 
Hii ni generation ya pili na ya kwanza yani ni kifaru cha kizee kama T-62

Angalia specs zake, ina mass ya 40 metric tones yani haifiki hata kwa old model K1 ya South Korea ambayo ina mass ya metric tone 51.

Sasa angalia latest hii ya K1A2 ya South Korea ya mwaka huu ambayo ina 54.5 metric tons.


View attachment 2752713

Huyu ni South Korea tu ambaye kwenye list ya nchi zenye bajeti kubwa za jeshi yeye ni wa 10 wakati North Korea hata kwenye top 15 hayupo.

Halafu unakuja kumfananisha na USA ambaye ni number uno?
Unaendelea kuhamisha magori tu mdogo wangu. Nimekuonesha nchi zenye vifaru vingi. Nikakuambia ulete proof how SK wanaweza kushinda NOKO.
Hebu tuendelee na main Battle Tanks

Chonma 216
1695009594926.png

1695009621580.png

1695009648665.png
 
Main battle nimejibu post mbili zilizopita nasubiri respond yako

Halafu tukubaliane source ya kutumia kama references maana kuna viashiria nimeana kuviona vya kupinga data wakati wewe hujatuambia hizo data zako umezitoa kwenye source gani ya kuaminika
Kwahiyo unadhani naandika uongo?
Mzee mimi siwezi nikaleta taarizfa za kubumba hata siku moja. Nafanya research kwanza ndio nakuja
hebu jaribu kupitia hapa kwanza ndio urudi

 
Mwaka gani?

Hicho kipindi Korea ilikuwa ni moja haikuwa divided

So unapofikiria kumpa sifa North Korea uwe unautazama na mchango wa South Korea pia
Hivi unajua during cold war marekani na washirika wake wamewahi kupigana na NK?
 
Mtoa post uzi mzima naona missiles na vifaru tu tena old models.

Sijaona fighter jets, destroyers, aircraft carriers (kama wanazo) n.k

Halafu bado unalinganisha na US?
 
Mtoa post uzi mzima naona missiles na vifaru tu tena old models.

Sijaona fighter jets, destroyers, aircraft carriers (kama wanazo) n.k

Halafu bado unalinganisha na US?
ICBM zipo badala ya fighter jet. Mambo ya fighter jet hayana maana sana.
Halafu nadhani huijui dunia vizuri. Hypersonic Missile USA hawana NK wanazo
 
Harafu kutumia kigezo Cha GDP kwenye maswala ya kijeshi ni kutudanganya Urusi ana GDP ngapi Leo anapigana na mataifa zaidi ya 30


Kaka sema urusi anapigana na ukraine inayosaidiwa vifaa vya kijeshi na mafunzo lna zaid ya mataifa 30 ukisema anapigana na mataifa 30 maana yake mataifa hayo yanaishambulia direct urusi na majeshi yake

Yaan tunazungunzia kama vile germany kwenye vita za dunia zote mbili

Germany ndo physical alikuwa anapigana mataifa mengi yaani alikuwa anapambana kupiga na kuzuia from all
Angle east west south and north

Urusi anapigana na mataifa ya europe kitu tunaita proxy war.. na hata urusi anajua hili ndo
Maana hatumi silaha kal kama nuke sababu anajua kufanya hivuo ndo rasmi kuileta WW3 maana hayo mataifa 30 wakipeleka vikosi uwanja wa mapambano basi tayar hiyo ni WW3
 
Urusi inatumia dollar bilioni 10 kwa mwezi wakati Ukraine inatumia dollar bilioni 4.

Mpaka sasa Ukraine amepata misaada zaidi ya $150 billion, mpaka sasa ni miezi 18, ukidivide hapo unapata almost $9.350billion kwa mwezi hio nne wewe umeitolea wapi?.

Ukraine ndo anatumia pesa nyingi kwenye hii vita hata majarida ya hao hao west walichambua vizuri sana.

Mwisho, Unafaham Russia maeneo anayoshikiria yana worths $12 trillion?, na bad news wanachimba madini kwenye haya maeneo.

Russia hana hasara maana atafidia kwenye maeneo anayoshikilia vipi kuhusu Ukraine??
 
Hii ni june ya mwaka huu, raia wanalia ubao
View attachment 2752679

Vita ya njaa hujaweza kuidhibiti ndio ije vita ya jeshi?

Twende kwenye bajeti ya jeshi

Nioneshe North Korea kwenye list namimi nikuoneshe matiti ya nyoka yalipo
View attachment 2752683

Ukiongelea budget ya Jeshi hapa napingana na wewe, Russia budget yake ni $60B lakini anapigana na NATO na anawamudu, vita sio budget maana kama ni budget NATO wangekuwa NK, na Russia.
 
Unaendelea kuhamisha magori tu mdogo wangu. Nimekuonesha nchi zenye vifaru vingi. Nikakuambia ulete proof how SK wanaweza kushinda NOKO.
Hebu tuendelee na main Battle Tanks

Chonma 216
View attachment 2752993
View attachment 2752994
View attachment 2752995
We mkurya mbona una ubishi wa kizamani sana

Hicho kifaru ambacho ndio tegemeo kwa North Korea ni cha zamani hakiwezi kumudu modern war.

Unakazania kusema vifaru ving kama ndio hojai huku ukijua kabisa kuwa vyote hivyo ni vya kizamani vimechoka haviwezi ku handle vita vya kisasa.

Nimekuonesha kifaru cha South Korea ambacho ni superior maradufu kuliko hicho cha North Korea.

Nitajie kifaru latest cha North Korea
 
We mkurya mbona una ubishi wa kizamani sana

Hicho kifaru ambacho ndio tegemeo kwa North Korea ni cha zamani hakiwezi kumudu modern war.

Unakazania kusema vifaru ving kama ndio hojai huku ukijua kabisa kuwa vyote hivyo ni vya kizamani vimechoka haviwezi ku handle vita vya kisasa.

Nimekuonesha kifaru cha South Korea ambacho ni superior maradufu kuliko hicho cha North Korea.

Nitajie kifaru latest cha North Korea
Tatizo lako unakuwa mvivu wa kusoma. Nimeweka muda mrefu sana humu. Pitia hapa


1695020203908.png


Currently, the new North Korean Main has no official name. The design of the turret seems very similar to the American M1A2 Abrams
1695020255152.png
 
Back
Top Bottom