Lijue Jeshi la North Korea - Uwezo wake na Nguvu zake. Kwanini USA wanaliogopa?

Ungefanya research usingekuja na uzi wenye tittle ya kitoto kama hii, this is pure ridiculous.

Halafu unaweka link kutoka kwenye site ambayo mwandishi ameandika maoni yake na akikiri kuwa yupo tayari kukosolewa, we unamtumia kama source sasa nikuulize, unaelewa source aliyotumia?
 
Halafu sio kuweka tu mipicha, weka na specs zake ili watu wajue ni gape gani ambalo USA anazidiwa na North Korea
Ngoja tuanze hapa nitakuwa nakupatia specification
Hwasong-8 hypersonic glide vehicle

Length 18.5 m (61 ft)
Diameter 1.8 m (5.9 ft)
Warhead 'nuclear'
Maximum speed Mach 6
 
Chonma-ho VI Main Battle Tank

North Korean armed forces have unveiled a large number of new combat vehicles and main battle tanks. Analysis and pictures of new military equipment shown at the North Korean military parade by Army Recognition team.
 
Hivi unajua during cold war marekani na washirika wake wamewahi kupigana na NK?
Mbona husemi Soviet na China waliungana kuisapoti North Korea?

Unataka ionekane ilikuwa vita kati ya US na North Korea wakati kulikuwa na collaboration ya communist za Soviet na wachina?
 
Songun-ho II

The Songun-ho is a new development of North Korean Main Battle Tank (MBT) based on the Pokpung-ho, it was first shown during the Pyongyang military parade in 2010. At the parade of February 2018, the new version called Songun-ho II, was presented fitted with reactive armour mounted at the front of the turret, on each side of the main armament. The roof of the turret is also equipped with additional armament.
 
Mbona husemi Soviet na China waliungana kuisapoti North Korea?

Unataka ionekane ilikuwa vita kati ya US na North Korea wakati kulikuwa na collaboration ya communist za Soviet na wachina?
Soviet hakushiriki katika hilo mzee. Nenda kasome vitabu vya historia.

NATO na UN walishiriki kupambana na North Korea. Huku upande wa pili North Korea na China walishirikiana.

NATO (France, German, USA, CANADA, UK etc) + South Korea, Wote hao walishiriki kupambana na North Korea
 
Mbona husemi Soviet na China waliungana kuisapoti North Korea?

Unataka ionekane ilikuwa vita kati ya US na North Korea wakati kulikuwa na collaboration ya communist za Soviet na wachina?
Pokpung-ho IV Main Battle Tank
 
Kupigana na anayejitoa mhanga hiyo siyo vita.
 
USA aogope jeshi la Korea Kaskazini?Are you okay ghorofani?
 
Mbona husemi Soviet na China waliungana kuisapoti North Korea?

Unataka ionekane ilikuwa vita kati ya US na North Korea wakati kulikuwa na collaboration ya communist za Soviet na wachina?
Twende kazi mtu wangu

KN-09 300mm MLRS Multiple Launch Rocket System
The KN-09 is 300mm caliber MLRS (Multiple Launch Rocket System) designed and manufactured in North Korea.

Maximum firing range 100–200 km
Payload capacity 75 kg TNT equivalent
 
Nchi nyingi kwa sasa zina nyuklia mwambie huyo marekani ajaribu halafu aone kama hatojibiwa mwisho tutakuja kufanya tathimini ya maafa ni nani aliyepata madhara zaidi
 
Marekani haliogopi jeshi la N.Korea anacho kiogopa ni maamuzi ya Kim Jong-Un
Watu kama Kim jong wasiotabirika ktk maamuzi yao ndo wanahitajika kuifanya dunia itawalike
 
Nuke moja ya North Korea yenye uwezo wa 300kt inaweza kuteketeza New York City yote kwa sekunde tu

hwasong-18 inaweza kubeba vichwa vya nuclear zaidi ya kimoja.
 
Sawa niwekee na specs zake nifanye comparison
 
ICBM zipo badala ya fighter jet. Mambo ya fighter jet hayana maana sana.
Halafu nadhani huijui dunia vizuri. Hypersonic Missile USA hawana NK wanazo
Marekani hajaamua tu kuwa nazo soma vizuri walishafanya research kadhaa kuhusu hypersonic missile.
 
Marekani hajaamua tu kuwa nazo soma vizuri walishafanya research kadhaa kuhusu hypersonic missile.
Basi vs North Korea hajaamua kuwa na Fighter jet. Yeye naye amefanya research nyingi tu. Na sasa tayari yupo Urusi kwaajili ya mombers
 
Maximum firing range yake inazidiwa na 270-M ya Egypt inayopiga hadi 300KM

Kwa maana hiyo Egypt ni superior na anatakiwa kuogopwa na North Korea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…