Lijue Jeshi la North Korea - Uwezo wake na Nguvu zake. Kwanini USA wanaliogopa?

MKUU NIMEKUFUATA HUKU PRIVATE ILI KUKUTIA MOYO. BAADA YA RUSSIA KUTUANGUSHA SASA NADHANI TUIPAMBANIE KOREA. RUSSIA WAMEKUWA WADWANZI SANA. TULIWAPAMBA KUMBE WA HOVYO TU. SASA TUANZE NA KOREA. MAANA CHINA NAO WALITUANGUSHA LILE SUALA LA TAIWAN
 
Mzee hapa siyo Private. Also unaongea as if mimi na wewe tupo na makubaliano. Russia keshemaliza kazi huko. Tayari west wanahaha.
 
Nchi yeyote ambayo Ina uwezo wa Kutengeneza silaha yenyewe iogope sana.
 
The idea kwamba marekani wanawaogopa north korea it too outdated.
Kama ni ICBMs even america anazo pia, for a logn time.

Hapa tofauti ni kuwa yupi mwenye guts za kubonyeza kitufe
 
Mzee hapa siyo Private. Also unaongea as if mimi na wewe tupo na makubaliano. Russia keshemaliza kazi huko. Tayari west wanahaha.
Daaaaah.... nimechanganya. Sijui nafutaje. Sorry nimekosea kupost huku tuendelee kule kule kama ambavyo huwa tunafanya. Russia amewapiga sana West. Na sasa wanalia lia tu kila kona. Na hapo hajaingia Korea. Uongo? Huyu ndo Taifa kubwa Duniani lenye nguvu kwa sasa. Hatari sana kwa jeshi lake. Nimeona ulivyodadavua. West wataomba poooh. Uongo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…