Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
- Thread starter
- #121
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
USA hana Hypersonic Missile but NK anazo.
Hata madikteta wanaogopa kufa ndio maana kipindi cha corona putin alijitengenezea mmeza mrefeeefu ili asipate corona kwa kuogopa kifo sasa unaposema kiduku hana cha kupoteza hio sio kweli as long as he is human being naye pia anakiogopa kifo.
Sasa basi huyo n.korea anajua kabisa USA ana silaha bora na za kisasa kuliko zake na nuclear iliyoboreshwa anayo na anajua inaouwezo wa kufika piyongyang na kuleta mahafa zaidi ya hiroshima na nagasaki.
Msimtie kiburi huyo mtoto mtukutu na baadae mkaanza kulilaumu beberu kwa kuleta maafa.
Yeye aachwe atengeneze hiyo mizinga yake na kuijaribisha baharini siku akijitia uchizi walau likaleta madhara hapo s.korea achilia mbali USA ndio mtamsahau huyo kipipa wenu.
Yeye hatapata madhara , Korea sio Iraki kumbuka.Kinachosababisha USA asichukue maamuzi ya Vita na nk ni madhara atakayoyapata South Korea basi
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Unajua kuwa waislam ndo wanatabia kuifanya alam aleko kama ndo Salam ,ukikutana nae anakupa hiyo.Kabla sijasoma yote,salam yako imekaa kibaguzi sana.
Nitajie jinaWell wanazo na moja wapo in final test almost deployment LRHW.
Agm-183 was cancelled even though ni hypersonic.
Miaka ya 70s Ni moja ya nchi za kwanza ku test idea of hypersonic missiles.
Wali drop hiyo idea because back then waliona hakuna uhitaji, according to them walifocus zaid kwenye stealth research and application ambayo ilizaa akina SR-71, A-12, baadae akina nighthawk na F-22 na F-35
Mimi namuongelea mleta mada kwenye mada ambayo ipo JF na wewe ongea na hao unaokutana nao huko.Unajua kuwa waislam ndo wanatabia kuifanya alam aleko kama ndo Salam ,ukikutana nae anakupa hiyo.
Sijaona ubaya wa jamaa kusalim hivyo hapo.
Dah,mkuu unahasira sana.Mimi namuongelea mleta mada kwenye mada ambayo ipo JF na wewe ongea na hao unaokutana nao huko.
TUMSIFU YESU KRISTU!Kabla sijasoma yote,salam yako imekaa kibaguzi sana.
Ukisema hivyo nahisi mapepo yanatoka ananunaT
TUMSIFU YESU KRISTU!
MILELE AMINA BABA PAROKO.
Kuna kazi ninamalizia nitaendelea. Upo na swali jingine?Tayari umetaja vyote au umeingia chimbo kusaka mavitu?
Ngoja nikuongezee hiki ukute una googleTayari umetaja vyote au umeingia chimbo kusaka mavitu?
Malizia hiyo kazi uendelee kushusha madudeKuna kazi ninamalizia nitaendelea. Upo na swali jingine?
Vitu gani nimevitaja bongo vipo? Hebu orodhesha hapa au na wewe umeanza kuwa mbeya?Malizia hiyo kazi uendelee kushusha madude
Japo vitu vingine umevitaja sijaona maajabu yake kwa maana hata sisi huku bongo vipo na hakuna namna ambayo vinaweza kuongelewa kuwa ni tishio kwa USA.
N. Korea hajaweza kuwa tishio hata kwa jirani yake S. Korea
North Korea hawezi kumudu vita kwa misimu ya mavuno kwasababu ya njaa inayomkabili.
Achilia mbali hiyo, bado bajeti yake kwenye jeshi ni ndogo hamfikii hata nusu South Korea.
Mwaka 2020 GDP ya North Korea ilikuwa ni 12.5B$ wakati South Korea alikuwa na GDP ya 1.5T$.
Sasa huyu angeweza kumudu umbali awaliotumia Urusi na Ukraine kwenye vita?