Lijue Jeshi la North Korea - Uwezo wake na Nguvu zake. Kwanini USA wanaliogopa?

We boya kweli,sio kwamba kimedani North Korea anaweza mshinda USA big no ila anaweza sababisha some Madhara Kwake kumbuka pia Hawa Jamaa Wana uwezo wa Nukes ndio inawapa kiburi.

Nchi ikishamiliko nukes tayari ni mkubwa mwenzio.
Asante kwa kuikubari North Korea. Ndio maana USA anaufyata
 
We boya kweli,sio kwamba kimedani North Korea anaweza mshinda USA big no ila anaweza sababisha some Madhara Kwake kumbuka pia Hawa Jamaa Wana uwezo wa Nukes ndio inawapa kiburi.

Nchi ikishamiliko nukes tayari ni mkubwa mwenzio.
Acha uongo dogo,
Kazi kuiba kuku mtaani hapa, We endelea tutakukata miguu.
Rubish.
 
Lini utamaliza kuandika insha uliyotumwa na mwalimu wako?
Mods, huu uzi umejaa uongo, unajaza server bure.
Tafadhali unganisha na ule uzi wa:
 
Utawehuka si muda mrefu. Punguza ulaji wa bangi chooni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…