Lijue Jeshi la North Korea - Uwezo wake na Nguvu zake. Kwanini USA wanaliogopa?

USA hana Hypersonic Missile but NK anazo.

Well wanazo na moja wapo in final test almost deployment LRHW.
Agm-183 was cancelled even though ni hypersonic.

Miaka ya 70s Ni moja ya nchi za kwanza ku test idea of hypersonic missiles.
Wali drop hiyo idea because back then waliona hakuna uhitaji, according to them walifocus zaid kwenye stealth research and application ambayo ilizaa akina SR-71, A-12, baadae akina nighthawk na F-22 na F-35
 

Kuna watu wanaipenda Sana Marekani kiasi kwamba wanamini hakuna taifa lingine linaweza kufanya kitu kizuri .Marekani sio mjuvi wa Kila kitu na vingine anategemea wengine . Alichoweza ni kuwateka kifikra watu kupitia propaganda na simema zake. Kuna nchi watu wanaishi vizuri kuliko Marekani. Chambueni Kwa hoja sio mahaba
 
Nitajie jina
 
Unajua kuwa waislam ndo wanatabia kuifanya alam aleko kama ndo Salam ,ukikutana nae anakupa hiyo.

Sijaona ubaya wa jamaa kusalim hivyo hapo.
Mimi namuongelea mleta mada kwenye mada ambayo ipo JF na wewe ongea na hao unaokutana nao huko.
 
Kupigana na Korea Kaskazini ni kupigana na China na Urusi.


Soma kuhusu Korea kutenganishwa kuwa Korea ya Kaskazini na Korea ya Kusini baada ya vita kuu ya pili ya dunia, Pia soma kuhusu vita vya Korea 1950-53 utaelewa kuwa vita ya huko si ya kimchezo mchezo.
 
Tayari umetaja vyote au umeingia chimbo kusaka mavitu?
 
Kuna kazi ninamalizia nitaendelea. Upo na swali jingine?
Malizia hiyo kazi uendelee kushusha madude

Japo vitu vingine umevitaja sijaona maajabu yake kwa maana hata sisi huku bongo vipo na hakuna namna ambayo vinaweza kuongelewa kuwa ni tishio kwa USA.

N. Korea hajaweza kuwa tishio hata kwa jirani yake S. Korea

North Korea hawezi kumudu vita kwa misimu ya mavuno kwasababu ya njaa inayomkabili.

Achilia mbali hiyo, bado bajeti yake kwenye jeshi ni ndogo hamfikii hata nusu South Korea.

Mwaka 2020 GDP ya North Korea ilikuwa ni 12.5B$ wakati South Korea alikuwa na GDP ya 1.5T$.

Sasa huyu angeweza kumudu umbali awaliotumia Urusi na Ukraine kwenye vita?
 
Vitu gani nimevitaja bongo vipo? Hebu orodhesha hapa au na wewe umeanza kuwa mbeya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…