Lijue Jeshi la North Korea - Uwezo wake na Nguvu zake. Kwanini USA wanaliogopa?

Sofa kubwa ya wakorea hawaogopi kufa we watandike bado watakuja tofauti na wamarekani wanajeshi wao walianza kufa wananchi wataanza kuhoji hiyo Vita wanapigana kwa maslahi ya Nani?
Nchi ya kidikteta raia hawewezi kuhoji hata wenzao wakichinjwa kama kuku.
Korea Kaskazini hata wakijua unataka kuhamia West wanakupiga kitanzi.
 
Harafu kutumia kigezo Cha GDP kwenye maswala ya kijeshi ni kutudanganya Urusi ana GDP ngapi Leo anapigana na mataifa zaidi ya 30
Urusi inatumia dollar bilioni 10 kwa mwezi wakati Ukraine inatumia dollar bilioni 4.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…