Lijue Jeshi la North Korea - Uwezo wake na Nguvu zake. Kwanini USA wanaliogopa?

Lijue Jeshi la North Korea - Uwezo wake na Nguvu zake. Kwanini USA wanaliogopa?

North Korea super-large multiple rocket launcher systems

nuclear-capable​

1694948722933.png
 
Marekani anaogopa nyuklia kuliko kitu kingine kumbuka korea akiingia vitani hana cha kupoteza sasa haofii wananchi watasema nini ikitokea maafa tofauti na marekani ambaye bomu la nyuklia likipigwa pale washington nini kitatokea
Hata madikteta wanaogopa kufa ndio maana kipindi cha corona putin alijitengenezea mmeza mrefeeefu ili asipate corona kwa kuogopa kifo sasa unaposema kiduku hana cha kupoteza hio sio kweli as long as he is human being naye pia anakiogopa kifo.

Sasa basi huyo n.korea anajua kabisa USA ana silaha bora na za kisasa kuliko zake na nuclear iliyoboreshwa anayo na anajua inaouwezo wa kufika piyongyang na kuleta mahafa zaidi ya hiroshima na nagasaki.

Msimtie kiburi huyo mtoto mtukutu na baadae mkaanza kulilaumu beberu kwa kuleta maafa.

Yeye aachwe atengeneze hiyo mizinga yake na kuijaribisha baharini siku akijitia uchizi walau likaleta madhara hapo s.korea achilia mbali USA ndio mtamsahau huyo kipipa wenu.
 
Bila kupoteza muda. Tumsifu YESU KRISTU.

Leo nataka niongelee kuhusu uwezo wa Jeshi la North Korea. Kwanini hawa jamaa wanatisha sana? Na kwanini West wanaeneza propaganda nyingi sana ili tu waweze kuwapoteza? Kwanini Marekani anawekeza sana kwenye nchi za Japan na South Korea ili kupambana na hawa jamaa?

Kwanza kabisa historia inaanzia kipindi cha Cold war wakati West na East wakitafuta utukufu duniani. Kitendo kicho kilifanya Korea kugawanyika na kuwa katika sehemu mbili. Huku korea ya kusini ikipiga magoti kwa Western wakati Korea ya kaskazini ikijiimarisha na kulinda heshima yake.

NK iemeendelea kuimarisha jeshi lake tangu kipindi hicho kujua kwamba adui wao nambari moja ni Marekani. Huyu marekani amekuwa akitumia ushawishi wake huko UN na kuweka vikwazo rukuki NK. Akitegemea hawa jamaa watampigia magoti lakini wapi. Miaka inazidi kwenda tu.

Waziri wa Ulinzi wa Korean People's Army ni Comrade General Kang Sun-nam

Huku General Staff Department (GSD) Akiwa ni Comrade Vice Marshal Ri Yong-gil

IDADI YA WANAJESHI

NK Army linakadiliwa kuwa na Active Personnel 1,320,000 ombapo inaelezwa kuwa ni jeshi kubwa la nne duniani baada ya China, India na Marekani.

Jeshi hili limegawanyika katika kamadi tano:-
  1. KPA Ground Forces
  2. KPA Naval Forces
  3. KPA Air Force
  4. KPA Strategic Force
  5. KPA Special Operation Force
Nembo ya jeshi hili la korea ni

Usikae mbali na uzi huu nitakuletea hatu kwa hatua uwezo wa jeshi hili.....
Kwa hiyo Uwezo wa Korea Kijeshi ndiyo huu umesimulia hapa na uwezo wa Marekani ni hofu?
Hapo ndiyo umeringanisha Majeshi ya nchi zote mbili?
 
Haya kamsafishie haraaa mqoundou wako halafu ukaubinue kwa kisingizio cha kumuabudu huku ukipayuka kiarabu ulichokariri.

Bladisangay
Mashoga hua mnaamini kua mkifanyacho basi watu wote pia hukifanya kama nyinyi,

Wazazi wako wana hasara kubwa sana.
 
Hata madikteta wanaogopa kufa ndio maana kipindi cha corona putin alijitengenezea mmeza mrefeeefu ili asipate corona kwa kuogopa kifo sasa unaposema kiduku hana cha kupoteza hio sio kweli as long as he is human being naye pia anakiogopa kifo.

Sasa basi huyo n.korea anajua kabisa USA ana silaha bora na za kisasa kuliko zake na nuclear iliyoboreshwa anayo na anajua inaouwezo wa kufika piyongyang na kuleta mahafa zaidi ya hiroshima na nagasaki.

Msimtie kiburi huyo mtoto mtukutu na baadae mkaanza kulilaumu beberu kwa kuleta maafa.

Yeye aachwe atengeneze hiyo mizinga yake na kuijaribisha baharini siku akijitia uchizi walau likaleta madhara hapo s.korea achilia mbali USA ndio mtamsahau huyo kipipa wenu.
Kim Jong ni muoga sana ndio maana hata safari ndefu za Urusi na China huwa anatumia treni za bullet proof tu.
 
Vipi muddy muanzilishi wa dini yenu alikuwa anapaka wanja na hina. Na kumnyonya na kumlamba mwanamme mwenzake msikitini akiwa uchi.

Kinyaaa mxiuuuu
Mimi naongea na wewe,siongelei kukashifu imani za watu,

Wewe shoga naona imekukolea kama vile umewekwa ndimu,unajishaua tu hapa na umeamua kujianika indirect hapa kua wewe ni choko.
 
Back
Top Bottom