Lile kundi linalofurahia utekaji, mauaji, kunywa damu, ukatili, kutofata sheria, bado lipo

Mkuu watu wamekariri we acha tu maana unaweza kujiuliza huyo Ben alikuwa ni nani hasa? Maana matukio ya uhalifu bado yapo hayajawahi kuisha ila watu wamekariri Ben tu.
Husikii wahusika wakikamatwa na wengi tuu wamehukumiwa ?? Muhusika wa ben, Tundulisu na wengineo kuna tatizo gani la kiunfundi halipo sawa mpaka hawajakamatwa mpaka leo ??
 
Magufuli alikuwa ni shetani ndani ya mwili wa mwanadamu. Kama hujui tafsiri ya neno SHETANI kwenye kamusi, basi angalia matendo ya Magufuli
Inatosha sasa.

Huoni aibu Kila siku unalazimisha watu wenye akili timamu Kuchambana juu ya mama vs Magu?

Nchi Ina changamoto nyingi kuzitatua mf:

1. Gharama za maisha kupanda.

2. Nishati isotosheleza na kuchelewa bwawa la JK,

3.Ripoti ya CAG kuripoti ubadhirifu Ule Ule Kila mwaka bila hatua stahiki kuchukuliwa.

4. Uwezo mdogo wa utendaji wa viongozi wa Serikali.

5.Katiba mbovu ilochakaa yenye viraka tele.

6. Bei za mafuta juu.

7. Migogoro ya ardhi isokwisha.

8. Unemployment Kwa vijana.

9. Kutoheshimika Kwa SANDUKU la Kura.

10. Magereza kujaa watu wasio hatia na wahanga wa KISIASA.

11.… .nk nk nk,................

Tutumie akili zetu vizuri kama ZIMO!!!

Ameeeeen
 
Bro kuwa serious kidogo, Huduma gani za maji tunafurahia ??

Wilayani kwangu hatujui huduma ya maji ya serikali since nmezaliwa mpaka dk hii navyoandika,

Pia huduma gani ya elimu unayoizungumzia hapa ?? Kuweni wa kweli aise mambo mengine ni kuumizana sisi wenyewe wananchi,, eti sababu ya kufurahisha moyo wako kwa hao viongozi unaowapenda



UPUMBAVU WA HALI YA JUU
 
Mkuu hongera, siku nyingi nilitaka kuandika andiko lenye ujumbe kama huu, nkakosa muda, afadhali umeandika

Napenda kusema, kwa kuwa hakuwa akufanya yeye kwenda field, basi waliokuwa wanafanya wapo na hata kama wamekufa baadhi, basi wengi bado wapo, hata wale waliokuwa wakimshangilia, ni hao hao sema hawakupewa kazi

Tuna kazi kubwa sana
 
Hivi unaelewa kilichoandikwa kweli?

Sio nyie mlimsifu alizuia ufisadi na wafanyakazu hewa? Kakusanya kodi kuliko wote?

Alishindwaje kuajiri na kuongeza mishahara ya wafanyakazi tena zoezi la kisheria kabisa? Ww kwa level ya ujinga wako unaona ni sawa kuvunja sheria?

Then, hayo aliyoyafanya ndo gharama yake iwe kutoa uhai wa watu? Kubambikia watu kesi na kuwateka? Kupiga risasi wasiomkubali? Kunyang'anya wafanyabiashara fedha zao?

Alafu, yy huyo Mungu wenu alitoa huduma kuliko wengine?
 
Pengine huelewi lugha za kwenye taarifa za ukaguzi. Waulize wajuvi wakufafanulie kabla ya kuonesha kiwango cha uwezo wako wa kujua mambo.
Lugha za kwenye ukaguzi ni kana zile za polepole za unakopa huku unaweka hapa?
 
Iko kazi !!
 
Kwahiyi alipokufa, hayo mabomba ya maji yaliibiwa?
 
Lakini ufahamu kwa mfano hapa jf wengi wanaopita humu ni wale ambao wanasoma tu sio members ! Hivyo ujue watu wengi wanapata habari na kujua nini kinachoendelea! Ukisema eti haileti impact yeyote sio kweli ! Serikali na taasisi zake kila mara wanatoa press release unafikiri ni kwa nini ? Ni kwa sababu ya watu wahabarishwe ili waweze kupata uungwaji mkono kwa yale yanayofanyika nchini! Hivyo kukiwa hakuna habari za upande wa pili wa shilingi ni rahisi kuwadanganya wananchi !! Habari ni silaha ya ushindi hata huko vitani !!
 
Kwahiyo kufanya ufisadi wa trillion 1.5 ulio bainishwa na CAG ndio uzalendo?.
Kuteka watu na kupoteza maisha ya watu siku hizi imekuwa ni uzalendo.
Samia amesha fanya ufisadi wa til13 mpaka sasa ...pia kama jpm alikuwa fisadi na nchi ilikuwa inajengeka hadi katutoa uchumi wa chini kuwa kati ..mimi nampongeza.
 
Rasimu ya Warioba irudi mezani SASA iwe KATIBA MPYA!

Itatuondolea hofu ya kuteka teka watu ovyo KILA KITU kitasimamiwa VIZURI!!!
 
#Tunza maneno yako vizuri, jpm hayupo lakini bado vitendo hivyo vinaendelea![emoji706]
 
Tatizo ni kuwa kadri wananchi wanavyoshuhudia yanayoendelea baada ya "dikteta" kufariki - kundi linazidi kukua.
Kuna hatari mwishoni ukajikuta umebaki mwenyewe na akina Nape na yule wa Gesi
 
maisha ya mtu mmoja tu Yana thamani Zaid ya flyover na man made things unazozijua ww joh we soldiers don't leave thy life behind
Kila awamu watu wamekufa na wengine kupotea na wengine kuteswa physically na wengine kuteswa saicologically !! Vitu hivyo vipo tu katika tawala nyingi duniani na hasa hasa katika dunia ya tatu !! Ndio maana watu wengi wamo kwenye social media with fake ID'S
 
Tatizo ni kuwa kadri wananchi wanavyoshuhudia yanayoendelea baada ya "dikteta" kufariki - kundi linazidi kukua.
Kuna hatari mwishoni ukajikuta umebaki mwenyewe na akina Nape na yule wa Gesi
Juhudi kubwa za dhati zinahitajika ! Wakiendelea kuwasikiliza praise team watajua kumbe walikuwa hawajui !!
 
nakubali dude but haibadili ukweli maisha ya mtu mmoja one of our own Yana thamani Zaid ya man made things
 
Hakustahili kufa kabla ya kujibu mashtaka yake mbele ya wanadamu aliowaumiza.
Hatuna huo utamaduni ws kuhoji viongozi waliotoka madarakani...katiba tuliyo nayo haitoi huo mwanya.

Kikwete katumia pesa nyingi kwa ajili ya mchakato wa katiba feki, mbona hajafunguliws mashitaka?
 

Acha kupanick sukuma gang.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…