Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu hayupo kwenye ujinga. Watu wake huangamia kwa kukosa maarifa.Wanasemaga sauti ya wengi ni sauti ya Mungu !! Na wengine wanasemaga Wengi wape !!!
Hakuna aliyebambikiwa kesi wala kuonewa.Kuhusu kubambikwa kesi kwa watu...
Suala hili lilikuwa sugu... unaweza ukapewa kesi ya mauwaji au hata wizi ambao huujui..
Nini kifanyike....
I) Polisi wa upelelezi wapewe msasa au mafunzo zaidi ya kuweza kujua undani wa suala hilo kwa mapana... Na wapunguze kama sio kuacha rushwa...
II) DPP bado anaweza kwenda kufanya ziara magerezani... Kuna watu wengi hawajui kujieleza na waoga.. Wamepewa makesi wapo kimya.. Wapewe kipaombele wasikilizwe ili kupata mwanga
III) Katiba Mpya
Wewe ndio mjinga hujui kitu ila kuwaza maslahi ya kundi la wanyonyaji wa umma. Umeandika kirefu ila kwa ujinga wako hujaweka chochote kutambua maisha ni mapambano ya kitabaka.
Nchi inaweza kupata maendeleo pale tu tabaka la wengi likiinuka kiuchumi na kudhibiti serikali.
Unalaumu eti wafanyakazi kutoongezwa mshahara kana kwamba fedha inatoka mbinguni. Huoni chochote kuhusu jitihada za kserikali kupata pesa. Serikali inapata hela kwa njia ya kodi. Sasa hao unaosema wamenyanyaswa na jpm kama je ni wafanyabiashara wanaokwepa kodi au watumishi wa serikali wanaofuja fedha ya serikali mishahara unayoona wafanyakazi wangeongezwa ingetoka wapi? Huu ni mfano mmoja tu. Hapo bado hatujszungumzia serikali kutoa huduma muhimu na kujenga miundombinu.
Kwa ufupi ulichoandika ndio ujinga. Wananchi waliyowengi tanzania wana akili zaidi yako.
Ondoa HOJA NYEPESI jukwaani, Kila thread mama vs JPM!!!!!!!!Kuondoa ujinga ni dhana Pana, haimaanishi kujua kusoma na kuandika tu ndio kuondoa ujinga. Moja kati ya fursa tuliyoipata katika awamu ya tano, ni kujua kwamba, kama taifa, tuna kundi kubwa sana la wajinga, ambalo, limekaa pale, linasubiri mtu alitumie tu, na litampa uhalali wa kutenda maovu makuu ya kuchukiza, ya kihayawani, na ya makufuru. Lakini, maovu hayo yatakuwa na uhalali wa sanduku la kura, kama ilivyokuwa kwa Hitler, na yeye alishinda kwa kura nyingi. Muovu ana uhalali wa kura! Hivyo ni kiongozi halali kikatiba!
Tuna kundi kubwa lililosherehekea utekwaji, mauaji, ukatili, kubambika kesi, kunyanyasa watumishi, dhuluma kwa wafanyabiashara, kundi Hilo kubwa ni la JPM.
Kama taifa, lazima tuwe na mikakati ya kuondoa ujinga katika kundi hili. Ujinga wa kuwafanya waelewe kwamba yale yalikuwa ni matendo ya kihayawani kabisa na hayafai katika nchi hii.
Fikiria mhitimu wa chuo kikuu asiye na ajira aliyekuwa anashangilia JPM kuzuia ajira serikalini na kuua uwezo wa sekta binafsi kuajiri.
Muajiriwa wa mfanyabiashara anafurahia uonevu dhidi ya bosi wake, baada ya mwezi kampuni inakufa, anakosa ajira
Fikiria mkulima wa korosho, mnazi mkubwa wa JPM japo aliona zao la korosho lilivyonajisiwa.
Tafakari mwananchi anayesifu sera za kunyima watumishi maslahi, halafu anaishi kwa kutegemea ndugu zake ambao ni watumishi ... Kila siku kupiga mizinga.
Fikiria watanzania waliokuwa wanashangilia kwa furaha kubwa kuona au kusikia fulani katekwa, mfanya biashara fulani kafilisiwa au kabambikwa mamia ya kesi, au kanyanganywa fedha zake zikizokuwa benki.
Mkuu wa Mkoa anaiba au kudhukumu magari, halafu anayawekea plate number za serikali, na like kundi la wajinga linatopea katika kumsifu sana kwamba ni kiongozi bora,gari ya wizi anaweka plate number za Mkuu wa Mkoa (RC)!
Nadhani kama nchi, tuandae programu maalum ya kuufuta ujinga huu ili kundi hili kubwa la wajinga,lipate uelewa. Haijalishi ni shilingi ngapi itatumika, lakini taifa litaponywa.
Kundi hili bado lipo, lina kiu ya damu ya watanzania wenzetu na halijashiba, ilibidi wengine wafukuziliwe Malawi, maana muda wote walikuwa wanaimba damu! Damu! Damu!.
Tutumie Redio,tv, na wasanii, shule, vyuo, viongozi katika hotuba kuufuta ujinga huu. Kila kiongozi akipata fursa ya hotuba aseme hili.
Kundi hili linahitaji elimu tu na uwazi wa taarifa ili kulivua utando wa propaganda za kipumbavu na kijinga kutoka awamu ya tano.
Kundi hili yule aliyefukuziliwa Malawi alikuwa anahangaika kuliweka pamoja ili limpe kura, jitihada zifanywe kuibomoa gundi iliyolishikamanisha, viongozi wanaoendelea kulitegemea ili wapate kura, wabomolewe kisiasa kabla hawajabomoa taifa.
Mama Samia amefanya makubwa sana kulijenga taifa na kulifanya liwe pamoja ...tumuunge mkono kwa namna yoyote ile
Magufuli alikuwa ni shetani ndani ya mwili wa mwanadamu. Kama hujui tafsiri ya neno SHETANI kwenye kamusi, basi angalia matendo ya MagufuliMkuu chiembe hakika umesema kweli yani mpaka najiuliza hili kundi linalomsifu muuwaji mtekaji mbambika kesi muuwa mifumo ya nchi mpenda sifa binafsi magufuli kwanini halijiulizi uhai kama wa kina Ben saa nane na Azory ulipotelea wapi? Yani hili kundi ni kama ukoo wa ibilisi akiguswa magufuli kwa uovu alioufanya wanakuwa kama wehu kwa kumtetea lakini hawajiulizi damu ya lissu ilimliliaje Mungu mpaka Mungu akamweka hai mpaka leo. KWA mtu mwenye imani hawezi kumtetea magufuli kamwe wewe jiulize Muujiza wa lissu kupona shambulio la risasi 16 ndani ya mwili wa nyama je haukuwa ukuu wa Mungu dhidi ya nduli Magufuli?
Saivi ni kula kwa urefu wa kamba.Kuondoa ujinga ni dhana Pana, haimaanishi kujua kusoma na kuandika tu ndio kuondoa ujinga. Moja kati ya fursa tuliyoipata katika awamu ya tano, ni kujua kwamba, kama taifa, tuna kundi kubwa sana la wajinga, ambalo, limekaa pale, linasubiri mtu alitumie tu, na litampa uhalali wa kutenda maovu makuu ya kuchukiza, ya kihayawani, na ya makufuru. Lakini, maovu hayo yatakuwa na uhalali wa sanduku la kura, kama ilivyokuwa kwa Hitler, na yeye alishinda kwa kura nyingi. Muovu ana uhalali wa kura! Hivyo ni kiongozi halali kikatiba!
Tuna kundi kubwa lililosherehekea utekwaji, mauaji, ukatili, kubambika kesi, kunyanyasa watumishi, dhuluma kwa wafanyabiashara, kundi Hilo kubwa ni la JPM.
Kama taifa, lazima tuwe na mikakati ya kuondoa ujinga katika kundi hili. Ujinga wa kuwafanya waelewe kwamba yale yalikuwa ni matendo ya kihayawani kabisa na hayafai katika nchi hii.
Fikiria mhitimu wa chuo kikuu asiye na ajira aliyekuwa anashangilia JPM kuzuia ajira serikalini na kuua uwezo wa sekta binafsi kuajiri.
Muajiriwa wa mfanyabiashara anafurahia uonevu dhidi ya bosi wake, baada ya mwezi kampuni inakufa, anakosa ajira
Fikiria mkulima wa korosho, mnazi mkubwa wa JPM japo aliona zao la korosho lilivyonajisiwa.
Tafakari mwananchi anayesifu sera za kunyima watumishi maslahi, halafu anaishi kwa kutegemea ndugu zake ambao ni watumishi ... Kila siku kupiga mizinga.
Fikiria watanzania waliokuwa wanashangilia kwa furaha kubwa kuona au kusikia fulani katekwa, mfanya biashara fulani kafilisiwa au kabambikwa mamia ya kesi, au kanyanganywa fedha zake zikizokuwa benki.
Mkuu wa Mkoa anaiba au kudhukumu magari, halafu anayawekea plate number za serikali, na like kundi la wajinga linatopea katika kumsifu sana kwamba ni kiongozi bora,gari ya wizi anaweka plate number za Mkuu wa Mkoa (RC)!
Nadhani kama nchi, tuandae programu maalum ya kuufuta ujinga huu ili kundi hili kubwa la wajinga,lipate uelewa. Haijalishi ni shilingi ngapi itatumika, lakini taifa litaponywa.
Kundi hili bado lipo, lina kiu ya damu ya watanzania wenzetu na halijashiba, ilibidi wengine wafukuziliwe Malawi, maana muda wote walikuwa wanaimba damu! Damu! Damu!.
Tutumie Redio,tv, na wasanii, shule, vyuo, viongozi katika hotuba kuufuta ujinga huu. Kila kiongozi akipata fursa ya hotuba aseme hili.
Kundi hili linahitaji elimu tu na uwazi wa taarifa ili kulivua utando wa propaganda za kipumbavu na kijinga kutoka awamu ya tano.
Kundi hili yule aliyefukuziliwa Malawi alikuwa anahangaika kuliweka pamoja ili limpe kura, jitihada zifanywe kuibomoa gundi iliyolishikamanisha, viongozi wanaoendelea kulitegemea ili wapate kura, wabomolewe kisiasa kabla hawajabomoa taifa.
Mama Samia amefanya makubwa sana kulijenga taifa na kulifanya liwe pamoja ...tumuunge mkono kwa namna yoyote ile
Moja ya lile taahira hili hapa, ni kulichapa kiboko tu. Tena kile OGBinafsi naona jambo hapa, yaani kujadiliwa mtu ambaye hayupo na anaumiza vichwa vya watu walio hai kuandika nyuzi za kumjadili tena kwa mabaya ilhali replies zinaonyesha kushindwa, basi ni ajizi kubwa.
Yule mzee aliwaweza kweli kweli aseee!.
Niambie nielewe kabisa.Ni kiazi kipi?Mviringo,kitamu au numbu?Kiazi wewe. Meathead kabisa.
Chinembe ndio huyo huyo Chiembe.
Mkuu nakuhakikishia asilimia hamsini (50%) ya kesi za kisiasa.. Kodi.. Sijui Ubadhirifu watu wamebambikwa...Hakuna aliyebambikiwa kesi wala kuonewa.
Swala la kutokulipa kodi wafanyabiashara walikua hawalipi.
Hao wanaosema wanabambikiwa ndio wale wahalifu ambao wana maisha ya aina mbili.
Yale ya gizani na yale ya kuzugia uraiani.
Mtu ni muuza madawa mzuri tu lakini ndio anaongoza kwa kutoa sadaka na kujenga nyumba za ibada.
Sasa huyo akishughulikiwa raia unaweza ona anaonewa.
Wezi tunaishi nao huko mtaani wengi tu na ndio wanaendesha maisha ya wengi, ni mfumo ambao upo deep sana kwenye jamii zetu.
Kuuondoa huo mfumo ni kazi kubwa na watu wengi wataumia.
Rais aliyepita alijitahidi kuuondoa mfumo huo wa kifisadi lakini aliishia kukumbana na kilichomkuta.
Mimi nivyoona mkuu issue sio watumish kuboreshewa maslahi, issue ni je wanapata huduma bora.Na ndio hayo matahira ambayo sasaivi yanakesha kumtukana Rais na January,
Wanachukia kwa Samia kuboresha maslai ya watumishi pamoja kuleta Uhuru wa kila mtu kujieleza bila kutekwa au kutiwa jela,
Kadri Samia na team yake wanavyofanya vizuri wao wanachukia!
Kipi kilichoboreka kwa mwananchi wa kawaida tangu mama ameingia madarakani?Kuondoa ujinga ni dhana Pana, haimaanishi kujua kusoma na kuandika tu ndio kuondoa ujinga. Moja kati ya fursa tuliyoipata katika awamu ya tano, ni kujua kwamba, kama taifa, tuna kundi kubwa sana la wajinga, ambalo, limekaa pale, linasubiri mtu alitumie tu, na litampa uhalali wa kutenda maovu makuu ya kuchukiza, ya kihayawani, na ya makufuru. Lakini, maovu hayo yatakuwa na uhalali wa sanduku la kura, kama ilivyokuwa kwa Hitler, na yeye alishinda kwa kura nyingi. Muovu ana uhalali wa kura! Hivyo ni kiongozi halali kikatiba!
Tuna kundi kubwa lililosherehekea utekwaji, mauaji, ukatili, kubambika kesi, kunyanyasa watumishi, dhuluma kwa wafanyabiashara, kundi Hilo kubwa ni la JPM.
Kama taifa, lazima tuwe na mikakati ya kuondoa ujinga katika kundi hili. Ujinga wa kuwafanya waelewe kwamba yale yalikuwa ni matendo ya kihayawani kabisa na hayafai katika nchi hii.
Fikiria mhitimu wa chuo kikuu asiye na ajira aliyekuwa anashangilia JPM kuzuia ajira serikalini na kuua uwezo wa sekta binafsi kuajiri.
Muajiriwa wa mfanyabiashara anafurahia uonevu dhidi ya bosi wake, baada ya mwezi kampuni inakufa, anakosa ajira
Fikiria mkulima wa korosho, mnazi mkubwa wa JPM japo aliona zao la korosho lilivyonajisiwa.
Tafakari mwananchi anayesifu sera za kunyima watumishi maslahi, halafu anaishi kwa kutegemea ndugu zake ambao ni watumishi ... Kila siku kupiga mizinga.
Fikiria watanzania waliokuwa wanashangilia kwa furaha kubwa kuona au kusikia fulani katekwa, mfanya biashara fulani kafilisiwa au kabambikwa mamia ya kesi, au kanyanganywa fedha zake zikizokuwa benki.
Mkuu wa Mkoa anaiba au kudhukumu magari, halafu anayawekea plate number za serikali, na like kundi la wajinga linatopea katika kumsifu sana kwamba ni kiongozi bora,gari ya wizi anaweka plate number za Mkuu wa Mkoa (RC)!
Nadhani kama nchi, tuandae programu maalum ya kuufuta ujinga huu ili kundi hili kubwa la wajinga,lipate uelewa. Haijalishi ni shilingi ngapi itatumika, lakini taifa litaponywa.
Kundi hili bado lipo, lina kiu ya damu ya watanzania wenzetu na halijashiba, ilibidi wengine wafukuziliwe Malawi, maana muda wote walikuwa wanaimba damu! Damu! Damu!.
Tutumie Redio,tv, na wasanii, shule, vyuo, viongozi katika hotuba kuufuta ujinga huu. Kila kiongozi akipata fursa ya hotuba aseme hili.
Kundi hili linahitaji elimu tu na uwazi wa taarifa ili kulivua utando wa propaganda za kipumbavu na kijinga kutoka awamu ya tano.
Kundi hili yule aliyefukuziliwa Malawi alikuwa anahangaika kuliweka pamoja ili limpe kura, jitihada zifanywe kuibomoa gundi iliyolishikamanisha, viongozi wanaoendelea kulitegemea ili wapate kura, wabomolewe kisiasa kabla hawajabomoa taifa.
Mama Samia amefanya makubwa sana kulijenga taifa na kulifanya liwe pamoja ...tumuunge mkono kwa namna yoyote ile
Kama mtu ambayo anahusika CAG ameweka wazi huo ufisadi unataka upembuzi gani Tena ?Pengine huelewi lugha za kwenye taarifa za ukaguzi. Waulize wajuvi wakufafanulie kabla ya kuonesha kiwango cha uwezo wako wa kujua mambo.
Kama mtu ambayo anahusika CAG ameweka wazi huo ufisadi unataka upembuzi gani Tena ?
Ben ndio takataka gani na wewe?
Kigoma tu hapo juzi wameuawa watu saba wa familia moja kwa mapanga, kwamba ben ndio mtu sana au?
Umesema kweli kabisa 101% !!Hakuna aliyebambikiwa kesi wala kuonewa.
Swala la kutokulipa kodi wafanyabiashara walikua hawalipi.
Hao wanaosema wanabambikiwa ndio wale wahalifu ambao wana maisha ya aina mbili.
Yale ya gizani na yale ya kuzugia uraiani.
Mtu ni muuza madawa mzuri tu lakini ndio anaongoza kwa kutoa sadaka na kujenga nyumba za ibada.
Sasa huyo akishughulikiwa raia unaweza ona anaonewa.
Wezi tunaishi nao huko mtaani wengi tu na ndio wanaendesha maisha ya wengi, ni mfumo ambao upo deep sana kwenye jamii zetu.
Kuuondoa huo mfumo ni kazi kubwa na watu wengi wataumia.
Rais aliyepita alijitahidi kuuondoa mfumo huo wa kifisadi lakini aliishia kukumbana na kilichomkuta.
maisha ya mtu mmoja tu Yana thamani Zaid ya flyover na man made things unazozijua ww joh we soldiers don't leave thy life behindMkuu watu wamekariri we acha tu maana unaweza kujiuliza huyo Ben alikuwa ni nani hasa? Maana matukio ya uhalifu bado yapo hayajawahi kuisha ila watu wamekariri Ben tu.
Muuaji si amekamatwa ? Au huna taarifa ndugu....Tunahitaji kumfahamu muhusika wa mauaji ya Ben piaBen ndio takataka gani na wewe?