Lile kundi linalofurahia utekaji, mauaji, kunywa damu, ukatili, kutofata sheria, bado lipo

Binafsi naona jambo hapa, yaani kujadiliwa mtu ambaye hayupo na anaumiza vichwa vya watu walio hai kuandika nyuzi za kumjadili tena kwa mabaya ilhali replies zinaonyesha kushindwa, basi ni ajizi kubwa.

Yule mzee aliwaweza kweli kweli aseee!.
Alijua kuwakeketa hawa mbwa
Hawatamsahau kwenye maisha yao.
 
Mkuu watu wamekariri we acha tu maana unaweza kujiuliza huyo Ben alikuwa ni nani hasa? Maana matukio ya uhalifu bado yapo hayajawahi kuisha ila watu wamekariri Ben tu.
Ben na Tundu ni ajenda maalumu, sio kwamba wanapendwa sana, Ila ni namna ya kuficha ndugu zao halisi magaidi ya kibiti yaliyoteketezwa na mwamba
 
Binafsi naona jambo hapa, yaani kujadiliwa mtu ambaye hayupo na anaumiza vichwa vya watu walio hai kuandika nyuzi za kumjadili tena kwa mabaya ilhali replies zinaonyesha kushindwa, basi ni ajizi kubwa.

Yule mzee aliwaweza kweli kweli aseee!.
Somo la history kwa asilimia kubwa huwahusu watu walioishatangulia mbele ya haki!
... sisi tulio hai tunasoma history ili TUSIRUDIE MAKOSA!
 
Wameuliwa na dhalimu? Kumbuka hata hao waliouliwa maiti zao zilikuwepo na wamezikwa. Je aki a Ben, Azory nk wamezikwa wapi?
Yeye ben ni wa kwanza kupotea?

Kipi kinachokufanya useme Magufuli ndio aliomua?

Vipi kama alipotea kama walivyouawa wale 7 wa kigoma?
 
Muuaji si amekamatwa ? Au huna taarifa ndugu....Tunahitaji kumfahamu muhusika wa mauaji ya Ben pia
Unataka ufahamu toka kwa nani?

Watu kibao wanauwa na kupotea kimyakimya na kesi zinaisha kimya kimya alafu huyo ben wenu ndio alikuwa nani hapa nchini?
 
At least umetuthibitishia alikuwa anapita kwa kura halali na kwamba alikuwa anapendwa na Watanzania wengi (majority).
 
Tuna kundi kubwa lililosherehekea utekwaji, mauaji, ukatili, kubambika kesi, kunyanyasa watumishi, dhuluma kwa wafanyabiashara, kundi Hilo kubwa ni la JPM.
Masalia bado yapo. Mama Samia anajitahidi kuyadidimiza lakini hayataisha leo.
 
Unataka ufahamu toka kwa nani?

Watu kibao wanauwa na kupotea kimyakimya na kesi zinaisha kimya kimya alafu huyo ben wenu ndio alikuwa nani hapa nchini?
Mleta mada anauliza wako wapi kumbe bado mpo🤣🤣
 
Bado mpo
 
Mbona ndiyo hao hao wapo kwenye system? Tungeanza na yule aliyesema Nondo alikuwa kwa demu wake
 
Wewe ni zoba , we si ndio ulikuwa mmoja WA wajinga waliokuwa wanamsifia mwendawazimu WA chato Yule kila siku humu ,?
Aisee tunakokwenda ni kuzuri huyu yamaa amebadilika. Leo amekubali kuwa walikuwa wajinga. Huyu ana ID nyingine Chinembe.


Wengine waliookoka kutoka kwenye laana ni

1. Imhotepu
2. Ndege john
3. The baptist
4.britanicca
Etc
 
Acha uongo. Tanzania sasa kuna amani.
Kama unakula unga we kula tu athari utaipata mwenyewe.
 
Lile kundi la wauaji akina Musiba lilikufa pamoja na dikteta wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…