Huna binti anatred sana mtandaoni huyo hapo kwenye picha anaitwa LILIAN LEMA.
Huyu binti ana elimu nzuri tu na ana degree ya uchumi kutoka chuo kikuu cha taifa udsm
Amepata division one form 4. Na amepata division one form 6.
Baada ya kumaliza chuo kajiajiri kama kungwi mtandaoni anafundisha watu jinsi ya kupigana miti.
Imagine mzazi Mtu anapata mshahara wa 1 M kwa mwezi halafu analazimisha kulipa ada ya mtoto 3-4M kwa mwaka, huku pato lake kwa mwaka likienda 12M kabla ya kutoa kodi na matakataka mengine anajikuta zaidi ya 40% ya pato lake kwa mwaka analitumia kulipa ada, halafu baada ya kumaliza chuo mwanae huyo anaishia kuwa kungwi mtandaoni hapa ni lazima afe kwa msongo wa mawazo
Your browser is not able to display this video.
Hili ni somo kubwa sana kwamba hichi kizazi cha kisasa Kuliko usomeshe mtoto shule za gharama kwa kujinyima sana bora asome shule za kawaida tu. Maana ajira za maana hakuna. Hata angesoma shule za serikali ukungwi angeumudu tu
Duh! Hiki kizazi cha sasa.. Yani wasichana wadogo wanatengeneza content za kufundishana namna ya kumeza ngoma!! Halafu unajisifu una mtoto umefundisha.
Kwa maana nyengine, huyu ni malaya msomi. Kaamua kujiongeza zaidi ili ajipatie jina na kipato. Aisee, hii dunia inapokwenda!
kuna binti anatred sana mtandaoni huyo hapo kwenye picha anaitwa LILIAN LEMA. View attachment 2937684
huyu binti ana elimu nzuri tu na ana degree ya uchumi kutoka chuo kikuu cha taifa udsm
huyu binti hajasoma kayumba toka shule ya msingi ni shule za ada kubwa maarufu kama english medium.
baada ya kumaliza chuo kajiajiri kama kungwi mtandaoni. anafundisha watu jinsi ya kupigana miti
imagine mzazi Mtu anapata mshahara wa 1 M kwa mwezi...halafu analazimisha kulipa ada ya mtoto 3-4M kwa mwaka...huku pato lake kwa mwaka likienda 12M kabla ya kutoa kodi na matakataka mengine....anajikuta zaidi ya 40% ya pato lake kwa mwaka analitumia kulipa ada... halafu baada ya kumaliza chuo mwanae huyo anaishia kuwa kungwi mtandaoni hapa ni lazima afe kwa msongo wa mawazo
Acha kupondea kila kitu, kwani ukungwi ni kitu kipya? Acha mrembo atoe elimu maana hizi pisi zinajisahau sana hususa ni hapo kwenye upande wa kushika mic kutuma salamu
Acha kupondea kila kitu..kwani ukungwi ni kitu kipya?? Acha mrembo atoe elimu maana hizi pisi zinajisahau sana hususa ni hapo kwenye upande wa kushika mic kutuma salamu
kuna binti anatred sana mtandaoni huyo hapo kwenye picha anaitwa LILIAN LEMA. View attachment 2937684
huyu binti ana elimu nzuri tu na ana degree ya uchumi kutoka chuo kikuu cha taifa udsm
huyu binti hajasoma kayumba toka shule ya msingi ni shule za ada kubwa maarufu kama english medium.
baada ya kumaliza chuo kajiajiri kama kungwi mtandaoni. anafundisha watu jinsi ya kupigana miti
imagine mzazi Mtu anapata mshahara wa 1 M kwa mwezi...halafu analazimisha kulipa ada ya mtoto 3-4M kwa mwaka...huku pato lake kwa mwaka likienda 12M kabla ya kutoa kodi na matakataka mengine....anajikuta zaidi ya 40% ya pato lake kwa mwaka analitumia kulipa ada... halafu baada ya kumaliza chuo mwanae huyo anaishia kuwa kungwi mtandaoni hapa ni lazima afe kwa msongo wa mawazo
Unaposomesha mtoto unamtayarisha na maisha yake ya baadae sio kama kaona hiyo ndio fursa kwake na inampa kipato cha kujikimu ni maamuzi yake kinachokuumiza wewe nini somesha wako!