cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dah mtoto anaonekana akishika mic lazima liboro fc ishinde goli la mdomoni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dah mtoto anaonekana akishika mic lazima liboro fc ishinde goli la mdomoni
Nashangaa na mie hapo.Mahojiano yake na ayo tv amesema amesoma kurasini pr kisutu sec weruweru sec udsm sasa shule za ada kubwa hapo zipo wapi
Huwa unanikoshaa sanaa na michango yakoo, [emoji122][emoji122][emoji122]That's a right to self determination.
Hata ikiwa timu upinde, kama mtu kaamua kuwa timu upinde ni haki yake, hutakiwi kumlazimisha asiwe timu upinde wakati yeye ndiye kaamua kuwa hivyo.
Kama ambavyo yeye naye pia hatakiwi kukulazimisha ujiunge timu upinde kama wewe hupendo timu upinde.
Au unataka kuishi katika dunia ambayo mtu anaweza kukulazimisha uwe timu upinde hata kama wewe hupendi?
Asante.Huwa unanikoshaa sanaa na michango yakoo, [emoji122][emoji122][emoji122]
Umemaliza kila kitu.
Yani kutatuliwa linda ni haki ya mtu? 😂😂😂That's a right to self determination.
Hata ikiwa timu upinde, kama mtu kaamua kuwa timu upinde ni haki yake, hutakiwi kumlazimisha asiwe timu upinde wakati yeye ndiye kaamua kuwa hivyo.
Kama ambavyo yeye naye pia hatakiwi kukulazimisha ujiunge timu upinde kama wewe hupendi timu upinde.
Au unataka kuishi katika dunia ambayo mtu anaweza kukulazimisha uwe timu upinde hata kama wewe hupendi?
Sasa kama mwenyewe kapenda, marinda yake, kaamua yatatuliwe kwa hiyari yake, wewe kinachokuuma hasa ni kipi?Yani kutatuliwa linda ni haki ya mtu? 😂😂😂
We ni hasara kwa taifa.
Kwa vile kagusia unapopataka.Huwa unanikoshaa sanaa na michango yakoo, [emoji122][emoji122][emoji122]
Umemaliza kila kitu.
Watanzania wengi wanaoshikia bango kuyasema vibaya haya mambo ni wanafiki tu.Utakuta ukungwi unamlipa balaa, kuna yule video vixen wa ameloa....nae kungwi, ana group lina watu kama 300 hivi na ada kila mwezi kila mtu analipa 2000, kwa chap ni laki 6 hiyo mishahara ya mtu.
Nadhani kachangamkia fursa
Unaweza kuta alisha andika na bandiko hapa la kuomba ajira ila ndo hivyo tena mkampa kashfa na maneno ya dharau kaona bora aonyeshe kile wajinga wengi wa Tanzania wanapenda kuona na kusikia.Habari wadau.
Huna binti anatred sana mtandaoni huyo hapo kwenye picha anaitwa LILIAN LEMA.
Huyu binti ana elimu nzuri tu na ana degree ya uchumi kutoka chuo kikuu cha taifa udsm
Huyu binti hajasoma kayumba toka shule ya msingi ni shule za ada kubwa maarufu kama english medium.
Baada ya kumaliza chuo kajiajiri kama kungwi mtandaoni anafundisha watu jinsi ya kupigana miti.
Imagine mzazi Mtu anapata mshahara wa 1 M kwa mwezi halafu analazimisha kulipa ada ya mtoto 3-4M kwa mwaka, huku pato lake kwa mwaka likienda 12M kabla ya kutoa kodi na matakataka mengine anajikuta zaidi ya 40% ya pato lake kwa mwaka analitumia kulipa ada, halafu baada ya kumaliza chuo mwanae huyo anaishia kuwa kungwi mtandaoni hapa ni lazima afe kwa msongo wa mawazo
Hili ni somo kubwa sana kwamba hichi kizazi cha kisasa Kuliko usomeshe mtoto shule za gharama kwa kujinyima sana bora asome shule za kawaida tu. Maana ajira za maana hakuna. Hata angesoma shule za serikali ukungwi angeumudu tu
Wazazi wake walikufuata wakakwambia kuwa anawaumiza??Habari wadau.

Kwani wazazi wake wamelalamika? Kuwa kungwi ni kinyume na sheria? Kwa nini unafuatilia mambo yasiyokuhusu?Habari wadau.