Mwaikibaki
JF-Expert Member
- Mar 19, 2015
- 3,004
- 3,695
Wala..wapuuzi wachache wamemchafua sio yeye.Huyu ndiye analiwa ndogoz na dogo Aslay?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wala..wapuuzi wachache wamemchafua sio yeye.Huyu ndiye analiwa ndogoz na dogo Aslay?
Hivi hiyo para ya mwisho kweli ilikuwa inahitajika kabisa kwenye huu mjadala baini yetu?….This tells your ageAlmost eight years. mimi 2016 hata mtoto sina, biashara sina, nilikua nafuga nguruwe nalisha na kuzoa uchafu bandani kila asubuhi sina mbele wala nyuma. Lakini sasahivi nigga, i can even make your mama happy.
Kwanza elimu ya mtoto sio kwa faida yako,Habari wadau.
Huna binti anatred sana mtandaoni huyo hapo kwenye picha anaitwa LILIAN LEMA.
Huyu binti ana elimu nzuri tu na ana degree ya uchumi kutoka chuo kikuu cha taifa udsm
Huyu binti hajasoma kayumba toka shule ya msingi ni shule za ada kubwa maarufu kama english medium.
Baada ya kumaliza chuo kajiajiri kama kungwi mtandaoni anafundisha watu jinsi ya kupigana miti.
Imagine mzazi Mtu anapata mshahara wa 1 M kwa mwezi halafu analazimisha kulipa ada ya mtoto 3-4M kwa mwaka, huku pato lake kwa mwaka likienda 12M kabla ya kutoa kodi na matakataka mengine anajikuta zaidi ya 40% ya pato lake kwa mwaka analitumia kulipa ada, halafu baada ya kumaliza chuo mwanae huyo anaishia kuwa kungwi mtandaoni hapa ni lazima afe kwa msongo wa mawazo
Hili ni somo kubwa sana kwamba hichi kizazi cha kisasa Kuliko usomeshe mtoto shule za gharama kwa kujinyima sana bora asome shule za kawaida tu. Maana ajira za maana hakuna. Hata angesoma shule za serikali ukungwi angeumudu tu
Maisha mkuuHivi mchagga kweli na ukungwi wapi na wapi? Hakika wajinga ndio waliwao…..
Logical non sequitur. Unalinganisha mambo ya public health, ambayo by definition yanakuhusu kama sehemu ya public, na mambo ya personal behavior za watu baki, ambayo hayakuhusu.Logically inconsistent...hujielewi mkuu
We unadhani anayekuhusu ni mwanao tu au sio?
Binadamu ni social being we kiande
Jiulize kwa nini wakati wa corona waliokuwa infected waliwekwa quarantine?
Nakusaidia kukujibia tu wewe kiazi...ni kukulinda wewe ambaye unasema watu wengine hawakuhusu.
Aliyeandika huu uzi ni ndugu yake huyo dem .....au jirani yao kwakoHabari wadau.
Huna binti anatred sana mtandaoni huyo hapo kwenye picha anaitwa LILIAN LEMA.
Huyu binti ana elimu nzuri tu na ana degree ya uchumi kutoka chuo kikuu cha taifa udsm
Huyu binti hajasoma kayumba toka shule ya msingi ni shule za ada kubwa maarufu kama english medium.
Baada ya kumaliza chuo kajiajiri kama kungwi mtandaoni anafundisha watu jinsi ya kupigana miti.
Imagine mzazi Mtu anapata mshahara wa 1 M kwa mwezi halafu analazimisha kulipa ada ya mtoto 3-4M kwa mwaka, huku pato lake kwa mwaka likienda 12M kabla ya kutoa kodi na matakataka mengine anajikuta zaidi ya 40% ya pato lake kwa mwaka analitumia kulipa ada, halafu baada ya kumaliza chuo mwanae huyo anaishia kuwa kungwi mtandaoni hapa ni lazima afe kwa msongo wa mawazo
Hili ni somo kubwa sana kwamba hichi kizazi cha kisasa Kuliko usomeshe mtoto shule za gharama kwa kujinyima sana bora asome shule za kawaida tu. Maana ajira za maana hakuna. Hata angesoma shule za serikali ukungwi angeumudu tu
Siongelei familia yangu kwenye masuala ya kufikirika.
Pia, huyo ni mtu anayenihusu, si mtu asiyenihusu.
Inaonekana uwezo wako wa kufuatilia mantiki ni mdogo.
Mimi nakuambia huna haki ya kumpangia maisha mtu asiyekuhusu, wewe unaniuliza swali la mfano wa mtu anayenihusu.
Hata huelewi hoja.
Logical fallacy. Logical non sequitur.
But I doubt you will get that through your head.
Kwa hoja zako hizi ndio wanakusifia humu.Logical non sequitur. Unalinganisha mambo ya public health, ambayo by definition yanakuhusu kama sehemu ya public, na mambo ya personal behavior za watu baki, ambayo hayakuhusu.
Kwa hiyo wanaofumuliwa marinda unaogopa watakuambukiza kufumuliwa marinda?
Unataka kuwaweka quarantine?
Nani anakupa haki hiyo?
Na wao wakikuweka wewe quarantine utakubali?
Hajasoma shule za gharama huyo labda humjuiHabari wadau.
Huna binti anatred sana mtandaoni huyo hapo kwenye picha anaitwa LILIAN LEMA.
Huyu binti ana elimu nzuri tu na ana degree ya uchumi kutoka chuo kikuu cha taifa udsm
Huyu binti hajasoma kayumba toka shule ya msingi ni shule za ada kubwa maarufu kama english medium.
Baada ya kumaliza chuo kajiajiri kama kungwi mtandaoni anafundisha watu jinsi ya kupigana miti.
Imagine mzazi Mtu anapata mshahara wa 1 M kwa mwezi halafu analazimisha kulipa ada ya mtoto 3-4M kwa mwaka, huku pato lake kwa mwaka likienda 12M kabla ya kutoa kodi na matakataka mengine anajikuta zaidi ya 40% ya pato lake kwa mwaka analitumia kulipa ada, halafu baada ya kumaliza chuo mwanae huyo anaishia kuwa kungwi mtandaoni hapa ni lazima afe kwa msongo wa mawazo
Hili ni somo kubwa sana kwamba hichi kizazi cha kisasa Kuliko usomeshe mtoto shule za gharama kwa kujinyima sana bora asome shule za kawaida tu. Maana ajira za maana hakuna. Hata angesoma shule za serikali ukungwi angeumudu tu
Naomba usinijadili mimi wala hoja zangu, jadili hoja.Kwa hoja zako hizi ndio wanakusifia humu.
Toka lini mchaga akawa kungwi?.........alafu hata hajawahi kuolewa na hata ndoa Moja!😂😂Accumen Mo na darcity hawajaiona hii?
Haina shida hiyo . Inategemea na tafsiri yako.Hivi hiyo para ya mwisho kweli ilikuwa inahitajika kabisa kwenye huu mjadala baini yetu?….This tells your age
Wala hamjui, huyo Manzi hajasoma English Medium, primary kapiga Kurasini, sekondari Kisutu, high skuli katambaa na WeruWeru girls, Chuo kamaliza UDSM,Aliyeandika huu uzi ni ndugu yake huyo dem .....au jirani yao kwako
Ila ni wale ndugu au jirani wenye chuki wivu kujifanya wanapangia maisha watu sasa hapo wivu tu hakuna chochote kwa huoni kawa maarufu anaweza fungua hata company ya kuuza dawa za nguvu za kiume au kuuza dawa za kuwasaidia kina mama kwani lazima aajiliwe
Narudia ten huyu aliyeandika anamjua vizuri huyo dem ni ndugu rafiki au jirani wa huyo dem WIVU TU....