kibobori mahoro
JF-Expert Member
- Dec 12, 2022
- 7,452
- 10,785
Anachojua yeye "anaingiza pesa ".
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikuulize swali mdogo wako wa kike au mtoto wako wa kike akifanya hicho anachofanya huyo binti hapo kwenye video utamsupport kwa kitumia kauli mbiu yako ana uhuru huoKwa nini uhuru unaogeuka ushawishi kwa wengine ni uhuru unaovuka mipaka?
Huoni kwamba hapo umeshaweka kasumba kwamba hiki kitu ni kibaya?
Tukisema uhuru unaogeuka ushawishi kwa wengine ni uhuru unaovuka mipaka, hivyo tufunge makanisa, misikiti na shule zote, kwa sababu vyote hivyo vina uhuru unaojenga ushawishi, utakubali?
Huyo jamaa ana changamoto alafu pia ana ubinafsi wa hali ya juu sanaLakini Uhuru unaogeuka Ushawishi kwa wengine ni Uhuru unaovuka mipaka ya haki za msingi za binafsi na kuiingilia hadhara kwa kushawishi muelekeo ama fikra fulani.
Binafsi zibakie huko kwenye Ubinafsi, wasizifanye public issues.
Nimeongelea habari ya kutochanganya watu wasionihusu na wanaonihusu hapo juu.Nikuulize swali mdogo wako wa kike au mtoto wako wa kike akifanya hicho anachofanya huyo binti hapo kwenye video utamsupport kwa kauli mbiu kama ana uhuru huo
Nasubiria jibu
Yaan unazidi kupasua ukweliii, semaa babaa semaaa.Asante.
Wachangiaji wengi kwenye mada hizi na Watanzania kiujumla hawaelewi mambo ya msingi kabisa kwenye habari za uhuru binafsi wa mtu kujiamulia maisha yake anavyotaka mwenyewe.
Wamezoea maisha ya kupangiana.
Na hata huko kupangiana, mara nyingi ni wao kuwapangia wengine, wakipangiwa wao wasivyotaka mgogoro.
Ni haki yake ikiwa ni maamuzi na matakwa yake.Yani kutatuliwa linda ni haki ya mtu? [emoji23][emoji23][emoji23]
We ni hasara kwa taifa.
Mkuu,Huyo jamaa ana changamoto alafu pia ana ubinafsi wa hali ya juu sana
Kuwa na uhuru wa kufanya jambo haina maana tukusupport au tuone ni sawa wewe kufanya upumbavu sababu tu una uhuru tutakupinga tu as long ni moral wrong watu watapinga tu hata kama una uhuru wa kisheria
Huwezi support jambo wanalofanya watu wengine ilihali akitokea ndugu yako au mtoto wako akifanya utaumia huo ni ubinafsi wa hali ya juu sana
Sema babaa semaaa, tena ongeza sautii wasikiee na wengine pia. [emoji122][emoji122][emoji122]Sasa kama mwenyewe kapenda, marinda yake, kaamua yatatuliwe kwa hiyari yake, wewe kinachokuuma hasa ni kipi?
Wewe ni nani umkatalie asitatuliwe anavyotaka?
Unamuonea wivu unataka utatuliwe wewe?
Hasara kwa taifa ni wewe kufuatilia maisha ya watu wasiokuhusu bila sababu wala tija.
Kasema ukweli na uwazi, hayo mengine ni yako, sio shida zangu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa vile kagusia unapopataka.
Watu wetu wengi hawaelewi dhana za msingi kabisa za uhuru wa mtu binafsi.Yaan unazidi kupasua ukweliii, semaa babaa semaaa.
Watu wapatee kuponaa. [emoji122][emoji122][emoji122]
Ni fresh maana yeye mwenyewe ameamua, kwani hawa wanaotatuliwa sio watoto wa kiume wa watu?mwanao wakiume akiamua kutatulia fresh tu?
Koo ya simba hiyo, huyo msimshangae anaanzia nyumbani hayo mambo na watu wake wa karibu kabisa.
Msioelewa kuhusu koo za simba, wasomeni hapa; Zijuwe koo za Simba
Watu weuweeeeeeee!!!! Pasuaaa nasemaa pasuaaaa.Naomba usinijadili mimi wala hoja zangu, jadili hoja.
Ukianza kunijadili mimi unakwenda kufanya "ad hominem attack", a logical fallacy.
Fanya kama sijaandika mimi unajadiliana na mtu tu.
Mimi sijawahi kupenda kusifiwa kwa kiasi unachotaka kudai hapa, ningekuwa napenda kusifiwa hivyo, nisingetetea pande ambazo hazikubaliki na Watanzania wengi kama Mungu kutokuwepo au watu kuwa na haki ya kuamua sexual orientation zao.
Ningekuwa napenda sifa, ningeweza kujipanga vizuri na majority ya watu hapa wanaoamini Mungu na kulaani watu wanaofuata sexual orientation tofauti na za majority.
Watu wana haki za kuamua sexual orientation zao, na ukiwanyima haki hii, unafungua mlango na wewe unyimwe haki hiyo hiyo.
Utakuta ukungwi unamlipa balaa, kuna yule video vixen wa ameloa....nae kungwi, ana group lina watu kama 300 hivi na ada kila mwezi kila mtu analipa 2000, kwa chap ni laki 6 hiyo mishahara ya mtu.
Nadhani kachangamkia fursa
Yaan unanikoshaaa mnooo, nasemajeee piga spanaa hadi wapoteaneee. [emoji122][emoji122][emoji122]Kwa nini uhuru unaogeuka ushawishi kwa wengine ni uhuru unaovuka mipaka?
Huoni kwamba hapo umeshaweka kasumba kwamba hiki kitu ni kibaya?
Tukisema uhuru unaogeuka ushawishi kwa wengine ni uhuru unaovuka mipaka, hivyo tufunge makanisa, misikiti na shule zote, kwa sababu vyote hivyo vina uhuru unaojenga ushawishi, utakubali?
Sasa kama mwenyewe kapenda, marinda yake, kaamua yatatuliwe kwa hiyari yake, wewe kinachokuuma hasa ni kipi?
Wewe ni nani umkatalie asitatuliwe anavyotaka?
Unamuonea wivu unataka utatuliwe wewe?
Hasara kwa taifa ni wewe kufuatilia maisha ya watu wasiokuhusu bila sababu wala tija.
Akikujibuu nitag,Nimeongelea habari ya kutochanganya watu wasionihusu na wanaonihusu hapo juu.
Soma post namba #67
Watanzania wengi kama wewe wana tatizo la kufikiria hoja kidhahania.
Ili kufanya mjadala, inabidi wai personalize mada.
Na hii ni dalili ya udogo wa mawazo.
Mjadala si wa kunihusu mimi. Mimi si muamuzi. Nikikubali mdogo wangu afanye hivyo au nisipokubali, hilo halibadilishi ukweli.
Zaidi, naiheshimu sana familia yangu kiasi kwamba sitaki kuifanya iwe mfano katika swali la kufikirika.
Kitu muhimu si mimi nitaamua nini katika hoja ya kufikirika. Mimi ni mtu mmoja tu, ambaye sina umuhimu.
Kitu muhimu ni hoja, ukweli ni nini? Uhuru ni nini? Haki ni nini?
Mtu mzima asiyekuhusu akiamua kuishi anavyotaka yeye, kwa uhuru wake, wewe una haki gani ya kumpangia?
Wewe unajipaje umuhimu wa kumpangia mtu baki maisha yake kwenye masuala yaliyo katika miliki ya faragha yake?
Alikupangia na wewe utakubali?
Toa somo babaaa, watu wapatee kuelewa mambo kwa undani sio kupovukwa na kuhemkwa na hakuna 7bu.Watu wetu wengi hawaelewi dhana za msingi kabisa za uhuru wa mtu binafsi.
Halafu wamelishwa ujinga mwingi sana na dini ambao mwingine hata hawaujui kuwa ni ujinga wala hawajui kuwa umetoka kwenye dini.
Mtu anapinga haki ya mtu kuishi maisha anavyotaka, a clear moral wrong, halafu anasema anapingabkwa sababu huyo anayempinga anafanya moral wrong.
Huyu mtu hata haelewi kwamba kumkataza mtu kuishi anavyotaka kwa uhuru wake ni a fundamental moral wrong.
Tatizo haiko kwa LILIAN , liko kwa kwenye mfumo wa chuo ulioshindwa kumshawishi Lilian aone fursa inayoendana na anachosoma...pili Watoto wamesababisha au kuchangia wazaz Kula RUSHWA na KUIBA ili wawafurahishe watoto wao, Karo 4m Kwa mshahara wa 1m, unaweza ona gape Hilo na huyo ana watoto 3, pia ndo njia za kukwepa Kodi ili mtoto asome....Elimu Hailet maarifa but exposure do.Habari wadau.
Huna binti anatred sana mtandaoni huyo hapo kwenye picha anaitwa LILIAN LEMA.
Huyu binti ana elimu nzuri tu na ana degree ya uchumi kutoka chuo kikuu cha taifa udsm
Huyu binti hajasoma kayumba toka shule ya msingi ni shule za ada kubwa maarufu kama english medium.
Baada ya kumaliza chuo kajiajiri kama kungwi mtandaoni anafundisha watu jinsi ya kupigana miti.
Imagine mzazi Mtu anapata mshahara wa 1 M kwa mwezi halafu analazimisha kulipa ada ya mtoto 3-4M kwa mwaka, huku pato lake kwa mwaka likienda 12M kabla ya kutoa kodi na matakataka mengine anajikuta zaidi ya 40% ya pato lake kwa mwaka analitumia kulipa ada, halafu baada ya kumaliza chuo mwanae huyo anaishia kuwa kungwi mtandaoni hapa ni lazima afe kwa msongo wa mawazo
Hili ni somo kubwa sana kwamba hichi kizazi cha kisasa Kuliko usomeshe mtoto shule za gharama kwa kujinyima sana bora asome shule za kawaida tu. Maana ajira za maana hakuna. Hata angesoma shule za serikali ukungwi angeumudu tu