LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
Mkuu, Unachanganya vitu viwili kaka. Hapa hoja ya mtoa mada haihusiani chochote na suala la uhuru wa mtu.Haya matatizo ya watu kufuatikiana sana maisha binafsi ni matatizo ya umasikini wa hali na mali tu.
Yani umasikini wa mawazo na mali, lakini zaidi wa mawqzo.
Mtu mwenye utajiri hata wa mawazo tu ataeleea kanunibya juwaachia watu waishi wanavyotaka, na yeyr kuishi anavyotaka, na ataeleea kuwa haki yake ya kuishi anavyotaka ndiyo ile ike inayoruhudu wengine waishi wanavyotaka.
Na, kwa hivyo, kuuingikia uhuru wa watu wengine kuishi wanavyotaka, kimsingi, ni kuuhatarisha uhuru wake yeye mwenyewe kuishi anavyotaka.
Kama hata anaelewa kuna uhuru wa mtu kuishi anavyotaka.
Maana kuna watu wengine hawaelewi kwamba kuna uhuru huo.
Wanafikiri kuwa maisha ni kufuata sheria unazopangiwa na jamii tu.
Hoja ya mtoa mada ni kuhusu ubovu wa elimu ya Tanzania.
Mtoa mada anasema kwamba elimu ya Mtanzania haimuandai mwanafunzi kukabiliana na changamoto mpya ( za sasa hivi) wala haimpi mwanafunzi uwezo wa kutatua changamoto zilizopo katika jamii yake.
Amemtolea huyo mdada kama case study kwamba pamoja na wazazi wake kutumia mamilioni ya hela kumsomesha kwenye shule za gharama kuanzia chekechea hadi chuo kikuu lakini ameishia kuwa kungwi kazi ambayo angeweza kuifanya hata bila kusoma English Medium wala kufika chuo kikuu.
So mtoa mada anasema kuliko kupoteza mamilioni kumlipia mtoto shule za English Mediums ni bora umuache aisome tu shule za serikali ambazo elimu inatolewa bure kwa sababu there is no point paying a millions to someone only for her to end up being a hoe( literally)...
So mtoa mada anatumia uhuru wake wa kutoa maoni yake kwa watanzania wenzake bila kuathiri uhuru wa huyu binti ame amua kuwa hivyo alivyo amua kuwa