Mshamba wa kusini
JF-Expert Member
- Jun 30, 2015
- 2,857
- 3,593
Amin...MUNGU akutumizie hitaji la mwanao🙏🙏🙏Ni fresh maana yeye mwenyewe ameamua, kwani hawa wanaotatuliwa sio watoto wa kiume wa watu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amin...MUNGU akutumizie hitaji la mwanao🙏🙏🙏Ni fresh maana yeye mwenyewe ameamua, kwani hawa wanaotatuliwa sio watoto wa kiume wa watu?
Hizo zote ajira watu waliokutawala wameziweka rasmi na wanazitoza kodi.She is a hoe mkuu. Huwezi kuita ajira hiyo mkuu.. Huwezi kusema pusha anaeuza bangi amejiajiri...
Upumbavu tu umekuathiriUna hoja ya msingi sana. Lakini nafikiri hata wewe mwenyewe hujaielewa kwa kina kirefu, unaiangalia kwa juu juu tu.
Jambo ambalo mimi sipendi kufanyiwa sitaki mtu mwingine afanyiwe.
Mimi sitaki kuingiliwa katika maamuzi yangu ya maisha yangu binafsi.
Na hivyo sitaki binti wa watu aingiliwe katika maamuzi yake ya maisha yake binafsi.
Umeshaielewa hoja yako wewe mwenyewe?
Au unaisema tu bila kuielewa kwa kina?
Kama wewe hupendi kuamuliwa mambo katika maisha yako binafsi, lakini unapenda kuamulia wengine mambo katika maisha yao binafsi, hapo utakuwa unavunja kanuni yako mwenyewe, unaelewa hili?
Mbona unatetea sana mkuu nawe lishatatuka nini?Ni haki yake ikiwa ni maamuzi na matakwa yake.
huyo lilian lema tunayemjadili ni mtu au kituUnashindwa kujadili.mada, unajadili watu.
Eleanor Roosevelt alisema
"Great minds discuss ideas; average minds discuss events; small minds discuss people."
You are not discussing ideas, you are not discussing events.
You are discussing people.
Liliani ni mtu mzima,msomi kuliko majority mnaomdiscuss,anajua anafanya Nini!Na Kwa ufupi hiyo ni elimu kama elimu zingine na ipo tangu ancient error,hiyo ni human Sexology ,Jifunzeni jamani msikurupuke tu....... Eeeeh halafu unavyosema anaumiza wazazi wake wewe umepata wasaa wa kuzungumza na wazazi wa Lilian?mnawajua?Swala sio kumpangia maisha
Wewe mtoto wako wa kike akifanya anachofanya huyo binti utamssuport au utaona ni sawa naomba unijibu hili swali
Mimi nimemuuliza swali mtoto wake wa kike akifanya anachofanya huyo binti atamsupport hataki kujibu swali analikimbiaUpumbavu tu umekuathiri
Mtoto wako akifanya anachofanya huyo lilian utakua comfortable mbona unakwepa swaliLiliani ni mtu mzima,msomi kuliko majority mnaomdiscuss,anajua anafanya Nini!Na Kwa ufupi hiyo ni elimu kama elimu zingine na ipo tangu ancient error,hiyo ni human Sexology ,Jifunzeni jamani msikurupuke tu....... Eeeeh halafu unavyosema anaumiza wazazi wake wewe umepata wasaa wa kuzungumza na wazazi wa Lilian?mnawajua?
Mkuu,Upumbavu tu umekuathiri
Hakuna jambo la ajabu hapo,kwani wewe ndio una uchungu wa wazazi wa Lili kuliko yeye?hebu punguza umbea we jamaaNdo maana jamii yetu imeharibika sana
Sababu mtoto wa jirani yako anaweza fanya mambo ya kijinga huwezi sema chochote kwa point kwamba ndo maisha aliyochagua ana uhuru
Kesho anafanya mtoto wako mambo yale yale ya hovyo ndo utaona uchungu wake
Atamsapoti vizuri tu. Si unajua tena hawa wenzetu waliotorokea ulaya tayar washakua enslaved. Huku hawapo kule hawapo, wao wapo wapo tuuMimi nimemuuliza swali mtoto wake wa kike alikufanya anachofanya huyo binti atamsupport hataki kujibu swali analikimbia
Amebuni? Yeye ndo kabuni kazi ya ukungwi? Mashangazi kibao wanafanya kazi hiyo mtandaoni wala hata hajaja na kitu chochote kipya..Sasa hapo kosa lake ni Nini?Lilian anatumia vizuri elimu aliyoipata kubuni kitu Cha kumuingizia kipato,Ajira za huo uchumi aliosomea hazipo Sasa Elimu aliyoipata kajiongeza......Hicho kitu anafanya hapo sio maajabu mbona Ulaya Kuna hiyo course inaitwa sexology ,...basi Wabongo Kwa vile hizi mambo ni ngeni mmezoe kufanyia gizani mnaona kafanya dhambiiiii tokeni zenu
Mimi nimekuuliza wewe mbona unakwepa swaliHakuna jambo la ajabu hapo,kwani wewe ndio una uchungu wa wazazi wa Lili kuliko yeye?hebu punguza umbea we jamaa
Kwani kafanya Nini hapo Cha Ajabu?kakaa uchi?Yes as long as ana vision zake Mimi ni nani nimpangie mama wa 30yrs...we mwanababa vipi?Mtoto wako akifanya anachofanya huyo lilian utakua comfortable mbona unakwepa swali
Mtoto kwa mzazi hakui kama ulikua hujui
Kwani huyo binti ni mtoto wangu wa kike?Mimi nimemuuliza swali mtoto wake wa kike alikufanya anachofanya huyo binti atamsupport hataki kujibu swali analikimbia
mbona mlikua mnaishi vizuri tu 🐒Habari wadau.
Huna binti anatred sana mtandaoni huyo hapo kwenye picha anaitwa LILIAN LEMA.
Huyu binti ana elimu nzuri tu na ana degree ya uchumi kutoka chuo kikuu cha taifa udsm
Huyu binti hajasoma kayumba toka shule ya msingi ni shule za ada kubwa maarufu kama english medium.
Baada ya kumaliza chuo kajiajiri kama kungwi mtandaoni anafundisha watu jinsi ya kupigana miti.
Imagine mzazi Mtu anapata mshahara wa 1 M kwa mwezi halafu analazimisha kulipa ada ya mtoto 3-4M kwa mwaka, huku pato lake kwa mwaka likienda 12M kabla ya kutoa kodi na matakataka mengine anajikuta zaidi ya 40% ya pato lake kwa mwaka analitumia kulipa ada, halafu baada ya kumaliza chuo mwanae huyo anaishia kuwa kungwi mtandaoni hapa ni lazima afe kwa msongo wa mawazo
Hili ni somo kubwa sana kwamba hichi kizazi cha kisasa Kuliko usomeshe mtoto shule za gharama kwa kujinyima sana bora asome shule za kawaida tu. Maana ajira za maana hakuna. Hata angesoma shule za serikali ukungwi angeumudu tu
Kama uko sawa kwa mtoto kufanya anachofanya huyo binti uko sawa na unachoaminiKwani kafanya Nini hapo Cha Ajabu?kakaa uchi?Yes as long as ana vision zake Mimi ni nani nimpangie mama wa 30yrs...we mwanababa vipi?
Mbona hao mashangazi kibao hamuwadiscuss?Ukiona wanababa na ndevu zenu mnamdiscuss kaja kivingine!Ana KituAmebuni? Yeye ndo kabuni kazi ya ukungwi? Mashangazi kibao wanafanya kazi hiyo mtandaoni wala hata hajaja na kitu chochote kipya..
Kuna tofauti kubwa sana kati ya kubuni kitu kizuri cha kukuingizia kipato na kulazimika kufanya kitu chochote hata kama kibaya kwa sababu umekosa akili ya kubuni kitu cha maana cha kufanya. Kitu ambacho ni constructive.
Huyu binti sasa hivi wazazi wake watakuwa wanakula vidonge vya presha tu au watakuwa vilingeni huko kutafuta mchawi.
Ame wa disgrace kiasi cha kutosha..
Toa watoto wako EM ili wasije kuwa kama Lilian Lema. Watoto walio soma Kayumba hivi vitu wanavijua tangu wapo darasa la sita. Yeye huyu hana hiyo exposure ndio maana anadhani anafanya kitu kipya..
Anyways kikubwa anacho kifanya hapo ni kutangaza biashara ya kuuza mwili wake period. Ndio hoja ya mtoa mada ipo hapo tuishi humo
Sojadili Lilian Lema. Najadili dhana ya mtu binafsi kuachiwa awe huru kuamua mambo yake binafsi kwenye maisha yake.huyo lilian lema tunayemjadili ni mtu au kitu
Tumiaga akili
kabisaa. Kila jamii ina utamaduni wake ,hiyo ndio miongozo na maadam wewe ni mwanajamii hizo ndio benchmark za ku judge kile umachoofanya kama ni sahihi au lah.Unataka kusema wewe unapenda watu baki kija kukuamulia mambo yako binafsi?