Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmevamia mapenzi sasa 😅😅Accumen Mo na darcity hawajaiona hii?
Nani aliekwambia au kukudanganya kua "anaumiza sana wazazi"?Habari wadau.
Huna binti anatred sana mtandaoni huyo hapo kwenye picha anaitwa LILIAN LEMA.
Huyu binti ana elimu nzuri tu na ana degree ya uchumi kutoka chuo kikuu cha taifa udsm
Huyu binti hajasoma kayumba toka shule ya msingi ni shule za ada kubwa maarufu kama english medium.
Baada ya kumaliza chuo kajiajiri kama kungwi mtandaoni anafundisha watu jinsi ya kupigana miti.
Imagine mzazi Mtu anapata mshahara wa 1 M kwa mwezi halafu analazimisha kulipa ada ya mtoto 3-4M kwa mwaka, huku pato lake kwa mwaka likienda 12M kabla ya kutoa kodi na matakataka mengine anajikuta zaidi ya 40% ya pato lake kwa mwaka analitumia kulipa ada, halafu baada ya kumaliza chuo mwanae huyo anaishia kuwa kungwi mtandaoni hapa ni lazima afe kwa msongo wa mawazo
Hili ni somo kubwa sana kwamba hichi kizazi cha kisasa Kuliko usomeshe mtoto shule za gharama kwa kujinyima sana bora asome shule za kawaida tu. Maana ajira za maana hakuna. Hata angesoma shule za serikali ukungwi angeumudu tu
Aiseee
Mtamu kitandani au huu ukungwi ana wapiga changa la macho tuu dada zetu ?!Acha unafki uyo dem kasoma government maisha yake yote.
Primary;Kurasini primary
O level;Kisutu Sec school Alevel;Weruweru girls.....siwezi kujisifia ila najua kwasababu mimi ni mmoja wa ma x wake kipindi hicho
Wabongo wengi kama wanaolalamika hapa hawaelewi uhuru ni nini, wanawangiana wenyewe kwa wenyewe kunyimana uhuru wa msingi.
Halafu wanakuja kuilaumu serikali inawanyima uhuru!
Kwa hiyo mzazi wake tayari kesha fariki kwa msongo wa mawazo?Habari wadau.
Huna binti anatred sana mtandaoni huyo hapo kwenye picha anaitwa LILIAN LEMA.
Huyu binti ana elimu nzuri tu na ana degree ya uchumi kutoka chuo kikuu cha taifa udsm
Huyu binti hajasoma kayumba toka shule ya msingi ni shule za ada kubwa maarufu kama english medium.
Baada ya kumaliza chuo kajiajiri kama kungwi mtandaoni anafundisha watu jinsi ya kupigana miti.
Imagine mzazi Mtu anapata mshahara wa 1 M kwa mwezi halafu analazimisha kulipa ada ya mtoto 3-4M kwa mwaka, huku pato lake kwa mwaka likienda 12M kabla ya kutoa kodi na matakataka mengine anajikuta zaidi ya 40% ya pato lake kwa mwaka analitumia kulipa ada, halafu baada ya kumaliza chuo mwanae huyo anaishia kuwa kungwi mtandaoni hapa ni lazima afe kwa msongo wa mawazo
Hili ni somo kubwa sana kwamba hichi kizazi cha kisasa Kuliko usomeshe mtoto shule za gharama kwa kujinyima sana bora asome shule za kawaida tu. Maana ajira za maana hakuna. Hata angesoma shule za serikali ukungwi angeumudu tu
Kwa nini uhuru unaogeuka ushawishi kwa wengine ni uhuru unaovuka mipaka?Lakini Uhuru unaogeuka Ushawishi kwa wengine ni Uhuru unaovuka mipaka ya haki za msingi za binafsi na kuiingilia hadhara kwa kushawishi muelekeo ama fikra fulani.
Binafsi zibakie huko kwenye Ubinafsi, wasizifanye public issues.
Nitumie niione.Si ndiyo video yake ya kutigo na aslay imetrend?🥴