Lilian Lema amesomeshwa shule za gharama ila anaumiza sana wazazi

Lilian Lema amesomeshwa shule za gharama ila anaumiza sana wazazi

Serikali ina-promote ngono kwa Kasi sana. Online tv hazina kazi nyingine
 
Ajira ngumu, hako ni kabinti tu kanatafuta umaarufu, kanajua ukishakuwa maarufu bongo umetoboa au ni kanajitengenezea soko la kuuza NYAPU.

Mie nilikuwa sikajui, hapa nimekajua, miezi kadhaa mbele huenda kakawa maarufu.
 
Kajua atumie njia ipi kupromote biashara yake ya duka. Degree yake ya uchumi kaitumia. Fuatilia kahojiano aliyofanya na Ayo Tv utapata kujua mengi kumhusu
 
Habari wadau.

Huna binti anatred sana mtandaoni huyo hapo kwenye picha anaitwa LILIAN LEMA.

Huyu binti ana elimu nzuri tu na ana degree ya uchumi kutoka chuo kikuu cha taifa udsm

Huyu binti hajasoma kayumba toka shule ya msingi ni shule za ada kubwa maarufu kama english medium.

Baada ya kumaliza chuo kajiajiri kama kungwi mtandaoni anafundisha watu jinsi ya kupigana miti.

Imagine mzazi Mtu anapata mshahara wa 1 M kwa mwezi halafu analazimisha kulipa ada ya mtoto 3-4M kwa mwaka, huku pato lake kwa mwaka likienda 12M kabla ya kutoa kodi na matakataka mengine anajikuta zaidi ya 40% ya pato lake kwa mwaka analitumia kulipa ada, halafu baada ya kumaliza chuo mwanae huyo anaishia kuwa kungwi mtandaoni hapa ni lazima afe kwa msongo wa mawazo

Hili ni somo kubwa sana kwamba hichi kizazi cha kisasa Kuliko usomeshe mtoto shule za gharama kwa kujinyima sana bora asome shule za kawaida tu. Maana ajira za maana hakuna. Hata angesoma shule za serikali ukungwi angeumudu tu
Nani aliekwambia au kukudanganya kua "anaumiza sana wazazi"?

Au "anaumiza" wazazi wako?

Huwaelewi wewe koo za simba. Jisomee chini japo kidogo uwaelewe koo za simba; Zijuwe koo za Simba
 
Baba yake akiwa na wenzake anajivunia kuwa na binti mwenye uzoefu wa mibhoro tofauti tofauti na umahiri wa kudinyana kuliko hata wao wazazi wake! Ni ujinga na ukosefu wa adabu kwa sababu mambo ya ukungwi yapo miaka mingi lakini yamekuwa yakifanyika kwa faragha na yanayohusisha wahusika tu lakini leo hii wamezuka hawa malaya wa kidigitali imekuwa vurugu tupu mtu anafundisha mabinti wa watu umalaya wake hadharani bila ya aibu na wazazi wengine wanawaalika hawa malaya kwenda kuwaharibia binti zao bila kujua!
 
Acha unafki uyo dem kasoma government maisha yake yote.
Primary;Kurasini primary
O level;Kisutu Sec school Alevel;Weruweru girls.....siwezi kujisifia ila najua kwasababu mimi ni mmoja wa ma x wake kipindi hicho
Mtamu kitandani au huu ukungwi ana wapiga changa la macho tuu dada zetu ?!
 
Wabongo wengi kama wanaolalamika hapa hawaelewi uhuru ni nini, wanawangiana wenyewe kwa wenyewe kunyimana uhuru wa msingi.

Halafu wanakuja kuilaumu serikali inawanyima uhuru!

Lakini Uhuru unaogeuka Ushawishi kwa wengine ni Uhuru unaovuka mipaka ya haki za msingi za binafsi na kuiingilia hadhara kwa kushawishi muelekeo ama fikra fulani.

Binafsi zibakie huko kwenye Ubinafsi, wasizifanye public issues.
 
Habari wadau.

Huna binti anatred sana mtandaoni huyo hapo kwenye picha anaitwa LILIAN LEMA.

Huyu binti ana elimu nzuri tu na ana degree ya uchumi kutoka chuo kikuu cha taifa udsm

Huyu binti hajasoma kayumba toka shule ya msingi ni shule za ada kubwa maarufu kama english medium.

Baada ya kumaliza chuo kajiajiri kama kungwi mtandaoni anafundisha watu jinsi ya kupigana miti.

Imagine mzazi Mtu anapata mshahara wa 1 M kwa mwezi halafu analazimisha kulipa ada ya mtoto 3-4M kwa mwaka, huku pato lake kwa mwaka likienda 12M kabla ya kutoa kodi na matakataka mengine anajikuta zaidi ya 40% ya pato lake kwa mwaka analitumia kulipa ada, halafu baada ya kumaliza chuo mwanae huyo anaishia kuwa kungwi mtandaoni hapa ni lazima afe kwa msongo wa mawazo

Hili ni somo kubwa sana kwamba hichi kizazi cha kisasa Kuliko usomeshe mtoto shule za gharama kwa kujinyima sana bora asome shule za kawaida tu. Maana ajira za maana hakuna. Hata angesoma shule za serikali ukungwi angeumudu tu
Kwa hiyo mzazi wake tayari kesha fariki kwa msongo wa mawazo?
 
Lakini Uhuru unaogeuka Ushawishi kwa wengine ni Uhuru unaovuka mipaka ya haki za msingi za binafsi na kuiingilia hadhara kwa kushawishi muelekeo ama fikra fulani.

Binafsi zibakie huko kwenye Ubinafsi, wasizifanye public issues.
Kwa nini uhuru unaogeuka ushawishi kwa wengine ni uhuru unaovuka mipaka?

Huoni kwamba hapo umeshaweka kasumba kwamba hiki kitu ni kibaya?

Tukisema uhuru unaogeuka ushawishi kwa wengine ni uhuru unaovuka mipaka, hivyo tufunge makanisa, misikiti na shule zote, kwa sababu vyote hivyo vina uhuru unaojenga ushawishi, utakubali?
 
PENGINE HAMJAMUELEWA HUYO BINTI.
NI WALE TOKA JAMII YA WATU WASIOJUA KABISA MAPENZI.
KWAMBA NI WAKATI SASA WA KUPELEKA ELIMU KWA WATU WA KWAO HUKO.
 
Back
Top Bottom