Lilian Lema amesomeshwa shule za gharama ila anaumiza sana wazazi

Yeye na wenye degree walio mtaani wamekaa tuu nani anaumiza zaidi wazazi? Bro tukubali dunia inabadilika wapo wenye master ni video vixen wanacheza uchi, wapo wenye degree ni mashoga wanapigwa miti. Acha mtoto atoe shule na atengeneze kipato
 
Elimu hiyo kama wewe huitaki, achana nayo.

Mitandao ina mamilioni ya websites zenye mambo hayo.

Utazifuatilia ngapi?

Umemshitaki serikalini afungiwe au unapiga gumzo hapa JF tu?
Huwezi kunifunga mdomo wala mikono kirahisi hivyo.

Wala huna haki au sababu za msingi za kukuruhusu wewe kunipangia cha kusema ama kuandika.

Nitasema nikiwa na jambo la kusema, popote na wakati wowote ili Mradi sivunji sheria za nchi wala za JF.

Mi hai?!
 
Huyo binti atakuwa kwenye 30+ saa hii, mwili tu huo haujafumuka, ni kajitu kazima hako watu hamkafahamu tu.
 
Nilihisi Wenda huyu binti amelelewa na single mama

Ana niudhi sna kwa content zake
 
Mbona kama shule yake imemsaidia maana kaona fursa... si ndio mambo wabongo wanapenda..
Hizi shule zetu wengine zinatufundisha kuajiriwa tu.
 
Kaka hapa umeeleweka kabisa
 
Wewe ndiye unataka kumfunga mdomo huyo binti, halafu ukiambiwa hilo unasema mimi nataka kukufunga mdomo wewe?

This is psychological projection.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…