Lilian Lema amesomeshwa shule za gharama ila anaumiza sana wazazi

Lilian Lema amesomeshwa shule za gharama ila anaumiza sana wazazi

Ni ile hali kwamba jambo halijazoea kuzungumzwa,akijitoa mtu fahamu kulizungumzia na kwakuwa hakuna reference wa kumlinganusha bali linakuwa. Hakuna mbinu za kuchukua pale.
Bora umeona,yuko overrated.Naona anajaribu ku mcopy yule demu wa South Africa anaitwa cucumber pots ndo anatoaga videos za namna hiNi
 
Hii thread infanya nini hapa; kwa nini haijondolewa na kuwekye kwenye jamvi la udaku?
 
Chuo kikuu cha taifa ndo chuo gani?

Kwamba ikishindiksna Vyuo vya Kata,Wilaya na Mkoa unakata rufaa kwenda chuo cha taifa au Degree za uko zina Heavy weight and Black belt?

Vijana wa sasa mnafanana sana akili japo mnajitahid kukosoana.
 
Wewe Wajibu wako kama Mzazi ni Ipi ?; Timiza wajibu wako ukizaa lazima usomeshe no matter returns zitakuwa vipi..., Huyo ni mtu mzima anajichagulia maisha kazi yako kama mzazi ilikwisha wakati unamlea....

(By the way sijaangalia anachofanya) to each his / her own ; Na nadhani since anayo audience kwahio kuna need anayokidhi...., Tatizo ni wewe usiyependa haya mambo unakwenda huko kufukunyua kutafuta nini ? au inakuja kama pop-up kwenye simu yako bila wewe kujua ?
 
Kiukweli hata Mimi ningekuwa na mwanangu wa umri huo wa Binti lema na nkamuona ni mjanjamjanja ningemwambia ajichanganye na hzo ishu za kijingajinga coz hizo ndio wabongo wanazipenda na ndio wajinga kama wakina mwijaku wanajipigia pesa
 
Back
Top Bottom